Kwa mwendo huu ndio maana CHADEMA ni tishio

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,800
71,220
*TREND YA USHINDI YA CHADEMA*

CHADEMA kimepta usajili wa kudumu 21.01.1993 baada ya hapo kilianza kushiriki uchaguzi wa SM na Madiwani mwaka 1994. Toka hapo hadi sasa ushindi wetu kwa Madiwani, Halmashauri, Wabunge na kura za Uraisi umekuwa hivi;

*Mwaka 1994*
1. Madiwani 13 Tanzania nzima
2. Hatukupata Halmashauri hata moja.

*Mwaka 1995*
1. Wabunge tulipata wanne (4). Kati ya hao watatu wa Majimbo na mmoja wa Viti Maalum ambao ni;
- Karatu (Dr Slaa)
- Rombo (Masumbuko Lamwai)
- Kigoma Mjini (Dr Wared Kaburu)
- Viti Maalum alikuwa Mary Kabigi wa Mbeya.
2. Uraisi
- Tuliwaunga Mkono NCCR Mageuzi (Mrema)

*Mwaka 2000*
1. Madiwani tulipata 45 nchi nzima
2. Halmashauri mbili (Karatu na Hai)
3. Wabunge watano. Majimbo manne na viti maalum mmoja.
- Karatu (Dr Slaa)
- Hai (Freeman Mbowe)
- Moshi Mjini (Marehemu Ndesamburo)
- Kigoma Mjini (Dr Wared Kaburu)
- Viti Maalum alikuwa Grace Kihwelu ambaye yuko hadi leo.

*Mwaka 2005*
1. Madiwani 102 nchi nzima.
2. Halmashauri mbili (Karatu na Moshi Manispaa)
3. Wabunge tulipata 11. Watano wa Majimbo na sita viti Maalum. Ambao walikuwa;
- Karatu (Dr Slaa)
- Moshi Mjini (Marehemu Ndesamburo)
- Kigoma Kaskazini (Zitto)
- Mpanda Kati (Said A. Arfi)
- Tarime (Chacha Wangwe)
- Viti maalum walikuwa 6 pamoja na Halima Mdee, Grace Kihwelu na wengine.
4. Uraisi Freeman Mbowe
- Tulipata kura 670,000/=

*Mwaka 2010*
1. Madiwani 589 Nchi nzima
2. Halmashauri 7
- Karatu
- Moshi Manispaa
- Hai
- Musoma Mjini
- Ukerewe
- Ilemela
- Kigoma Ujiji (50/50)
3. Wabunge 49
- Majimbo 24 (Ni pamoja na kina Msigwa, Wenje, Mnyika, Halima, etc)
- Viti Maalum 25 (pamoja na Kiwanga, Lyimo, Conchester, etc)
4. Uraisi (Dr Slaa)
- Kura 2,300,000

*Mwaka 2015*
1. Madiwani 1108. Nchi nzima
2. Halmashauri 25 nchi nzima.
- 22 tunaziongoza
- 3 wametupora CCM (Kilombero DC, Sumbawanga MC, Kyerwa DC)
3. Wabunge tumepata 74
- Majimbo 35 pamoja na Ndanda
- Viti Maalum 37
- Africa Mashariki 2
Kati ya hao wanaume 29 na wanawake 45.
4. Uraisi (Edward Lowassa)
- Tulipata kura 6,080,000

* C&P
My take: Kumbe ndio maana watawala ccm wanatumia nguvu kubwa kuiyumbisha Chadema na muungano wa UKAWA kwani inaonyesha kila chaguzi pamoja na mizengwe ya kina Lubuva hesabu ya kura ina double hivyo uwezekano wa kura za urais kuwa 12m+ ni mkubwa sana.
Hata generation hii ya vijana wapigakura wapya 18- 30 yrs ndiyo hiyo iliyo athirika sana na maamuzi ya utawala huu wa awamu ya tano hivyo wataichinja ccm kwa kura.
 
Hujui pia kwa kata zinaongezeka na idadi ya watu pia. Unaweza kuhisi mnatisha kumbe hufanyi mahesabu. Of all nini point yako mbele
 
Mkuu umenena vema na ni ukweli mtupu..

Sasa ni wakati wa CDM kuja na hoja ya Kitaifa kama KATIBA MPYA..

Hii itapelekea kupatikana kwa Tume iliyo HURU kweli ya Uchaguzi plus kuondokana na Madaraka makubwa yanayompa Rais aliye madarakani na kuondokana na sheria zote kandamizi..

Bado CHADEMA ina nafasi kubwa kwa watanzania.
 
Hujui pia kwa kata zinaongezeka na idadi ya watu pia. Unaweza kuhisi mnatisha kumbe hufanyi mahesabu. Of all nini point yako mbele
Wajiandae kisaikolojia kukabidhi madaraka kwa njia ya amani. Na hawana haja ya kuwa waoga wakidhani kuna kulipa visasi vya huu unyama wanaotendea viongozi wa ccm.
Chadema haina asili ya visasi.
 
*TREND YA USHINDI YA CHADEMA*

CHADEMA kimepta usajili wa kudumu 21.01.1993 baada ya hapo kilianza kushiriki uchaguzi wa SM na Madiwani mwaka 1994. Toka hapo hadi sasa ushindi wetu kwa Madiwani, Halmashauri, Wabunge na kura za Uraisi umekuwa hivi;

*Mwaka 1994*
1. Madiwani 13 Tanzania nzima
2. Hatukupata Halmashauri hata moja.

*Mwaka 1995*
1. Wabunge tulipata wanne (4). Kati ya hao watatu wa Majimbo na mmoja wa Viti Maalum ambao ni;
- Karatu (Dr Slaa)
- Rombo (Masumbuko Lamwai)
- Kigoma Mjini (Dr Wared Kaburu)
- Viti Maalum alikuwa Mary Kabigi wa Mbeya.
2. Uraisi
- Tuliwaunga Mkono NCCR Mageuzi (Mrema)

*Mwaka 2000*
1. Madiwani tulipata 45 nchi nzima
2. Halmashauri mbili (Karatu na Hai)
3. Wabunge watano. Majimbo manne na viti maalum mmoja.
- Karatu (Dr Slaa)
- Hai (Freeman Mbowe)
- Moshi Mjini (Marehemu Ndesamburo)
- Kigoma Mjini (Dr Wared Kaburu)
- Viti Maalum alikuwa Grace Kihwelu ambaye yuko hadi leo.

*Mwaka 2005*
1. Madiwani 102 nchi nzima.
2. Halmashauri mbili (Karatu na Moshi Manispaa)
3. Wabunge tulipata 11. Watano wa Majimbo na sita viti Maalum. Ambao walikuwa;
- Karatu (Dr Slaa)
- Moshi Mjini (Marehemu Ndesamburo)
- Kigoma Kaskazini (Zitto)
- Mpanda Kati (Said A. Arfi)
- Tarime (Chacha Wangwe)
- Viti maalum walikuwa 6 pamoja na Halima Mdee, Grace Kihwelu na wengine.
4. Uraisi Freeman Mbowe
- Tulipata kura 670,000/=

*Mwaka 2010*
1. Madiwani 589 Nchi nzima
2. Halmashauri 7
- Karatu
- Moshi Manispaa
- Hai
- Musoma Mjini
- Ukerewe
- Ilemela
- Kigoma Ujiji (50/50)
3. Wabunge 49
- Majimbo 24 (Ni pamoja na kina Msigwa, Wenje, Mnyika, Halima, etc)
- Viti Maalum 25 (pamoja na Kiwanga, Lyimo, Conchester, etc)
4. Uraisi (Dr Slaa)
- Kura 2,300,000

*Mwaka 2015*
1. Madiwani 1108. Nchi nzima
2. Halmashauri 25 nchi nzima.
- 22 tunaziongoza
- 3 wametupora CCM (Kilombero DC, Sumbawanga MC, Kyerwa DC)
3. Wabunge tumepata 74
- Majimbo 35 pamoja na Ndanda
- Viti Maalum 37
- Africa Mashariki 2
Kati ya hao wanaume 29 na wanawake 45.
4. Uraisi (Edward Lowassa)
- Tulipata kura 6,080,000

* C&P
My take: Kumbe ndio maana watawala ccm wanatumia nguvu kubwa kuiyumbisha Chadema na muungano wa UKAWA kwani inaonyesha kila chaguzi pamoja na mizengwe ya kina Lubuva hesabu ya kura ina double hivyo uwezekano wa kura za urais kuwa 12m+ ni mkubwa sana.
Hata generation hii ya vijana wapigakura wapya 18- 30 yrs ndiyo hiyo iliyo athirika sana na maamuzi ya utawala huu wa awamu ya tano hivyo wataichinja ccm kwa kura.
Kwa mwendo huu ndio maana hamtakaa mchukue nchi mnajipa misifa ya kijinga kwa muda wa miaka zaidi ya ishirini wapinzani nchi nyingine ndani ya miaka kumi wameshika jamhuri nyie mnajazwa misifa na mbowe hizo tarakimu mnashikiria kama mwenge jamaa kishawajua mabwege
 
Umewahi kujiuliza kwa nini huko kwingine chama chini ya miaka 10 kinaweza kuchukua madaraka? Ungejiuliza hilo kwanza ungeelewa why 20 years in TZ?
 
Back
Top Bottom