Lukuvi anaitwa mzee wa kanuni ya 64, ndio kazi inayomuweka hapo bungeni. Asipofanya hivyo, bosi wake atamfuta kazi. Ni muendelezo ule ule wa sinema mtambuka aka vikao vya bunge!
ni matumaini yangu hamjambo...lengo la thread hii ni kutaka kujua uhalali wa lukuvi kujibu hoja iliyokuwa inaelekezwa kwenye wizara ya elimu na kusimama na kujibu kuwa mitaala ataletwa kabla ya mwisho wa kikao wakati waziri mwenye dhamana hyo yupo bungeni na ndiye aliye ahidi.
Waziri wa nchi ofisi ya rais!
Andika vizuri mkuu, unaandika ki fesi boku?ofcoz nilikuwa sijamfaham vyema lukuv lakni baada ya hoja hyo nimdhalau mno
ni matumaini yangu hamjambo...lengo la thread hii ni kutaka kujua uhalali wa lukuvi kujibu hoja iliyokuwa inaelekezwa kwenye wizara ya elimu na kusimama na kujibu kuwa mitaala ataletwa kabla ya mwisho wa kikao wakati waziri mwenye dhamana hyo yupo bungeni na ndiye aliye ahidi.
Heheheheheh,hii wizara nyoko maana lazima waziri awe KIHEREHEREwaziri maji ya shingo.......
Unasema kwamba hata waziri mkuu akiondoka lukuvi anakaimu,,, je, kwa hoja iliyokuwa inajadiliwa alikuwa na ulazima wa kuijibu wakati waziri husika alikuwepo bungeni??? Na swali hilo lilikuwa na ugumu gani hadi lijibiwe na lukuvi???UMEFANYA VIZURI KUULIZA KWA SABABU ULIKUWA HUJUI..
kisheria LUKUVI anaruhusiwa kujibu hoja ya wizara yeyote ile as llong there is need kufanya hivyo,tafuta manual ya majukumu ya wizara yake akiwa waziri wa nch ofisi ya rais utaelewa...ndio maana hata waziri mkuu akiondoka Lukuvi hukaim..na kwa nyongeza tu wazri mkuu anaweza jibia swali lolote lile bungeni