CV ya William Lukuvi

CV ya William Lukuvi

Status
Not open for further replies.
Jamani mbona ni vishule vya kuung unga kama vile vichuo vya mitaani, Certificate, certificate. Hamna shule hapa
 
Hivi W. J. M huwa huna kazi nyingine ya kufanyazaidi ya kukesha hapa jf. Maana kwenye thread zote za kidaku hukosekani. Aisee!!!..............Kazi kweli kweli!!!

- At least wewe unajua nani anyefanana kwa cheo upande wa pili! ha! ha! ha!

William.
 
Tnamjadili mtu wakati yeye anakula nchi.bora tujadili mstakabali wa nchi yetu kuliko kumjadili lukuvi kwasababu kama ccm itaendelea kututawala siku moja watuletea waziri mwendawazimu.
 
Hivyo vigaragasha vya certificate alivyotoa ni upuuzi tu hakuna elimu yoyote hapo, ila nampongeza kuwa mwishoni alisoma OUT na kupata Masters unless digrii zao sasa zimeanza kuwa za bwelele tu.

Kwangu mimi ninawapongeza sana watu wanojiendelea kielimu ukubwani bila kuwa na motive nyingine zaidi ya knowledge; hata hivyo ninajua fika kuwa watu wa namna hiyo huwa na elimu ya kuunga tu, kwani anapojifunza basic laws ukubwani wakati network ya ubongo wake imeshakamilika, asilimia kuwa ya mambo anayojifunza huwa yanaingia na kutoka, ndiyo maana tunakazaniwa kutoa elimu nzuri sana kwa watoto wetu wakati wangali wanakua. Elimu sahihi ya ukubwani ni ile inayoendeleza udadisi utokanao na elimu ya msingi. Tukumbuke kuwambwa mzee hafunidishwi mbinu za kuwinda.

Mawaziri wetu wote waliosomea ukubwani wakiwa na madaraka walikuwa na motive ya kuboresha CV zao na kwa jumla watu hawa hawana elimu yoyote kwani iwapo wakipewa cheti bila kuhudhuria darasani watakichukua tu.
 
Naomba maelezo kutoka kwa Mh Lukuvi. Hiyo Diploma ya kusoma mwaka mmoja au miwili aliisomea chuo gani Urusi.Huwezi kupata Diploma nchini Urusi kwa chini ya miaka minne.
Vile vile BA aliyoipata USA aliipata kutoka Chuo anachodai kinaitwa Washington International University.Je, chuo hiki kiko mtaa gani na address ya chuo ni ipi?Mh Naomba unisaidie kupata ufahamu.
 
The name "Washington International University" is used in promotional materials for other unaccredited distance learning institutions. There are no known accredited institutions by this name, but at least four accredited Washington universities exist: the University of Washington, Washington State University, Washington University in St. Louis and George Washington University (see "Similarity of names" section, below).

Degrees or other qualifications from unaccredited institutions may not be accepted by civil service or other employers.

Alipataje Uwaziri Si jk alisema watendaji wake lazima wawe wasomi
 
Hivyo vigaragasha vya certificate alivyotoa ni upuuzi tu hakuna elimu yoyote hapo, ila nampongeza kuwa mwishoni alisoma OUT na kupata Masters unless digrii zao sasa zimeanza kuwa za bwelele tu.

Kwangu mimi ninawapongeza sana watu wanojiendelea kielimu ukubwani bila kuwa na motive nyingine zaidi ya knowledge; hata hivyo ninajua fika kuwa watu wa namna hiyo huwa na elimu ya kuunga tu, kwani anapojifunza basic laws ukubwani wakati network ya ubongo wake imeshakamilika, asilimia kuwa ya mambo anayojifunza huwa yanaingia na kutoka, ndiyo maana tunakazaniwa kutoa elimu nzuri sana kwa watoto wetu wakati wangali wanakua. Elimu sahihi ya ukubwani ni ile inayoendeleza udadisi utokanao na elimu ya msingi. Tukumbuke kuwambwa mzee hafunidishwi mbinu za kuwinda.

Mawaziri wetu wote waliosomea ukubwani wakiwa na madaraka walikuwa na motive ya kuboresha CV zao na kwa jumla watu hawa hawana elimu yoyote kwani iwapo wakipewa cheti bila kuhudhuria darasani watakichukua tu.

- Fair analysis hasa kutoka kwako!

William.
 
Primary,Secondary hakusoma? au alisoma wapi? na ile Ya Russia ya mwaka moja nahisi alisoma lugha tu akashindwa ndiyo maana alisoma mwaka moja maana wasomi wengi wakati ule ilibidi wasome lugha kwanza ndiyo waendelee na masomo walioenda kusomea
 
Tnamjadili mtu wakati yeye anakula nchi.bora tujadili mstakabali wa nchi yetu kuliko kumjadili lukuvi kwasababu kama ccm itaendelea kututawala siku moja watuletea waziri mwendawazimu.
Yu masti bi jiniasi. Naunga mkono wazo lako.
 
Hivyo vigaragasha vya certificate alivyotoa ni upuuzi tu hakuna elimu yoyote hapo, ila nampongeza kuwa mwishoni alisoma OUT na kupata Masters unless digrii zao sasa zimeanza kuwa za bwelele tu.

Kwangu mimi ninawapongeza sana watu wanojiendelea kielimu ukubwani bila kuwa na motive nyingine zaidi ya knowledge; hata hivyo ninajua fika kuwa watu wa namna hiyo huwa na elimu ya kuunga tu, kwani anapojifunza basic laws ukubwani wakati network ya ubongo wake imeshakamilika, asilimia kuwa ya mambo anayojifunza huwa yanaingia na kutoka, ndiyo maana tunakazaniwa kutoa elimu nzuri sana kwa watoto wetu wakati wangali wanakua. Elimu sahihi ya ukubwani ni ile inayoendeleza udadisi utokanao na elimu ya msingi. Tukumbuke kuwambwa mzee hafunidishwi mbinu za kuwinda.

Mawaziri wetu wote waliosomea ukubwani wakiwa na madaraka walikuwa na motive ya kuboresha CV zao na kwa jumla watu hawa hawana elimu yoyote kwani iwapo wakipewa cheti bila kuhudhuria darasani watakichukua tu.
Nimeipenda analysis hii.
 
huyu jamaa ni hewa,o level atakuwa alifeli na a level hajakanyaga.Alafu kakusanya certificate kibao ambazo hata TCU hawazitambui,then katoboa BA,inachekesha hii.
Jamaa sio kama kafeli form 4!Bali Hajawahi kanyaga Sekondari kabisa!
 
[h=2]Member of Parliament CV[/h] [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD="colspan: 3"] GENERAL
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Salutation
[/TD]
[TD] Honourable
[/TD]
[TD="width: 42%"]
Member picture
C:%5CUsers%5Cdell%5CAppData%5CLocal%5CTemp%5Cmsohtml1%5C01%5Cclip_image002.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] First Name:
[/TD]
[TD] Freeman
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Middle Name:
[/TD]
[TD] Aikaeli
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Last Name:
[/TD]
[TD] Mbowe
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"] Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"] Constituency Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Constituent:
[/TD]
[TD] Hai
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Political Party:
[/TD]
[TD] CHADEMA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Office Location:
[/TD]
[TD] P.O. Box 3070, Moshi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Office Phone:
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ext.:
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Office Fax:
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Office E-mail:
[/TD]
[TD] fmbowe@parliament.go.tz
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Member Status:
[/TD]
[TD] Current Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Date of Birth
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD="colspan: 5"] EDUCATION
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 35%"]
School Name/Location
[/TD]
[TD="width: 27%"]
Course/Degree/Award
[/TD]
[TD="width: 15%"]
Start Date
[/TD]
[TD="width: 13%"]
End Date
[/TD]
[TD="width: 10%"]
Level
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Secondary School
[/TD]
[TD]
Secondary Education​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
HIGH SCHOOL​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD="colspan: 4"] EMPLOYMENT HISTORY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Company Name
[/TD]
[TD]
Position
[/TD]
[TD]
From Date
[/TD]
[TD]
To Date
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Bank of Tanzania
[/TD]
[TD] Bank Officer
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[TD]
-​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hili ni mojawapo ya MAJIBU kwa swali la siku nyingi: "Kwa nini Tanzania ni maskini licha ya kuwa na raslimali kibao?" Fikiria hawa ndio wanafanya maamuzi kuhusu maendeleo na mustakabali wa taifa!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani nataka kumjua waziri LUKUVI,Historia yake kisiasa,elimu na fitina zake..NAMUOMBA MUNGU HUYU JAMA ANGOKE JIMBO LA ISIMANI 2015,KAMA CCM WANAMTAKA AENDE AKAGOMBEE LUMUMBA SISI WANAISIMANI HATUMTAKI TENA..NI BORA JIMBO LETU LIONGOZWE NA MAHINDI TUNAYOLIMA LAKINI SIO LUKUVI
jamani naombeni kumjua kiundani huyu jamaa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom