CV ya William Lukuvi

Status
Not open for further replies.
- Simtetei Lukuvi, ninatetea CV yake, nasema hivi vipi na huko upande wa pili mkileta Cv ya anamfanana kwa cheo bungeni tuone kama kweli inazidiana au ni yale yale tu!

William.

Si lazima wakuletee,we jaribu kuchungulia mwenyewe na utoe hoja hapa, we mwanasiasa gani unataka kulumbana kusiko msingi hapa? Lukuvi ni Chf Whip nani yuko upande wa pili. Angalia usijiharibie staha kdogo waliyokupa vjana wenzio. Elimu ya Lukuvi si ya waziri wa miaka hii.
 
ndo raha ya kuwa magamba...hata ukiwa kuwadi unaneemeshwa ka-post ka kukufanya ule per diems..,lol!!
 
unamfananisha William Lukuvi na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani Tundu Lissu, you must be kidding

ua kwasababu na wewe ni William, halafu inawezekana haya majina ya William wanayopewa watanzania huwa ni vilaza

- Mkuu umenivunja mbavu sana! ha! ha! ha! mbona unamkimbilia Lisu bana na wakati unajua kabisa kiutawala wa bunge sio level ya Lukuvi, ha! ha! unakwepa nini mkuu wangu! ha! ha! ha! peleka ujsukani unapotakiwa tuone mchelle na pumba zilipo! ha! ha! ha!

William.
 
Si lazima wakuletee,we jaribu kuchungulia mwenyewe na utoe hoja hapa, we mwanasiasa gani unataka kulumbana kusiko msingi hapa? Lukuvi ni Chf Whip nani yuko upande wa pili. Angalia usijiharibie staha kdogo waliyokupa vjana wenzio. Elimu ya Lukuvi si ya waziri wa miaka hii.

- Jamani mnanivunja mbavu sana leo na hii kitu! ha! ha! ha! ha! sasa level ya Chief Whip huko Upande wa pili ni nani? ha! ha! ha! ha!

William.
 
- Simtetei Lukuvi, ninatetea CV yake, nasema hivi vipi na huko upande wa pili mkileta Cv ya anamfanana kwa cheo bungeni tuone kama kweli inazidiana au ni yale yale tu!

William.
Kwa upinzani aliye na nafasi ya kufanana na Lukuvi bungeni japo kwa mbali ni Tundu Lisu. Unahitaji kuwa maiti kutaka kulinganisha CV ya Lisu na Lukuvi!!!
 
- Jamani mnanivunja mbavu sana leo na hii kitu! ha! ha! ha! ha! sasa level ya Chief Whip huko Upande wa pili ni nani? ha! ha! ha! ha!

William.
H William twambie basi kwa upinzani mtu aliye na cheo kinachoshabihiana na cha Lukuvi ni nani km si Lisu Tundu, maana binafsi najua wote ni wanadhimu.
 
Mtafuteni kainelugaba msemakweli anawajua wote hao.
Nasikiasiku hizi marafiki sana na kainerugaba, kila akimwambia nikutoe? Yeye ujibu , "Hapana Hapana Ndugu yangu, acha kabisa utaharibu" sasa unasemaje? "Tuonane jioni nikitoka kikaoni, nita -KuATM, au Kutigopesa.
 
KWA MATOKEO TUNAYOHITAJI CV YAKE INATOSHA KABISA. HATA AGEISHIA LA 7 INATOSHA. HII NCHI WALIOSOMA NA WASIOSOMA WOTE SAWA. mBONA CHAMI AMEBORONGA? LUKUVI KULA MAISHA MWANANGU MATANZANIA HAYA YANACHAPA USINGIZI TU!
 
- Simtetei Lukuvi, ninatetea CV yake, nasema hivi vipi na huko upande wa pili mkileta Cv ya anamfanana kwa cheo bungeni tuone kama kweli inazidiana au ni yale yale tu!

William.

Hivi W. J. M huwa huna kazi nyingine ya kufanyazaidi ya kukesha hapa jf. Maana kwenye thread zote za kidaku hukosekani. Aisee!!!..............Kazi kweli kweli!!!
 
Sekondari hajasoma, aliishia la 7 na hicho Chuo cha Iringa anachodai amesoma DEFENCE and SECURUTY ni CHUO CHA VIJANA WA CCM IHEMI pale Ifunda kozi ya mwezi tu. AIBU AFadhali angeenda JKT ndio angesema amesoma ulinzi na usalama
 
Kuna kazi nyingine ya Lukuvi hamjaiweka hapa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom