CV ya William Lukuvi

CV ya William Lukuvi

Status
Not open for further replies.
Umeweka hizo CV sasa umefaidika nini,tatizo nyie Chadema mnakunywa viroba sana ndiyo maana akili yenu haijatulia.Lukuvi ni kichwa na ni msema ukweli hapeni unafiki kama Mbowe na Lissu.

Eti lukuvi kichwa kichwa cha mbo au!

Kaongea ujinga ata watoto wasikuhizi wakiwa wamefanya kosa wanajieleza vizuri adi una msamehe lukuvi kaongea mavi kanisani huku bungeni kaja kumwanga mikojo bire kabisa
 
Lipumba ni kichwa wacha maana record yake ya kupata A zote katika mtihani wake wa mwisho alipomaliza first Degree 1976 UDSM haijavunjwa!!!halafu inamlinganisha na mwalimu wa UPE??????
 
Wivu tu unamsumbua mtoa mada, aliyekwambia kuwa na madegree ndio tiketi ya uwaziri nani? Au kuna chuo cha uwaziri na ubunge siku hizi ndugu.
 
Mbona watu wa aina yake wako wengi huko ssm, hii nchi bwana bila shaka tumelaaniwa kama hawa ndo tunawategemea kututengenezea katiba wanaolamba miguu ya wafalme ili wapate kuishi tuna safari ndefu sana
 
Jaman hii ndo Tz inayowapuuza wasomi na kuwaabudu mbulura wa certificate wasiotambuliwa hata na watoto zake.Huenda hz cv za lukuvi huwa zinafichwa ktk chumba maalum ili watoto wasizione wakamcheka
 
Mkuu kweli hii cv ni balaa. Ndio maana hata vilaza wakiwemo waiba mitihani hujiona wanafaa kuwania kuingia ikulu 2015.
 
Kama hiyo CV yake imeishia halo na yeye apuuzwe kwqni akili yake ndo imeishia halo
Hivi mtoto mdogo qkililia gari lako si utampuuzq tu
 
Kama alikuwa mwalimu wa UPE basi atakuwa hakusoma sekondari,
 
Washington International University - USA is it a credible and reputable academic institution????
 
Wenye CV kama hizi ni hatari sana kwa taifa linalotakiwa libadilike kuendana na mabadiliko ulimwenguni!
HAKUNA CHUO KINACHOTAMBULIKA CHA WASHINGTON INTERNATIONAL UNIVERSITY kwa hiyo watu wote wanaojigamba na shahada za huko ni vihiyo. Ona hapa:
The name "Washington International University" is used in promotional materials for other unaccredited distance learning institutions. There are no known accredited institutions by this name.
 
Eti "Maoni yangu binafsi"! Halafu alikuwa kwenye function ya kumwakilisha Waziri Mkuu aliye alikwa rasmi. Sasa common sense inaonesha kuwa 'Ni serikali iliongea" Jamaa mwenyewe Elimu SIFURI! Aende India kisha tumpokee JKIA na kumpamba na "Tangulia Vangimembe".
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom