CV ya William Lukuvi

Status
Not open for further replies.
According to Kainerugaba William Lukuvi ni kihiyo aliyegushi sambamba na Makongoro Mahanga, Emanuel Nchimbi, Mary Nagu, Samuel Chitalilo baba lao, David Matayo David Matayo, Mwanjelwa, Didas Massaburi, Hussein Mwinyi ongeza uwajuao tafadhali.
 
- Hiyo ni nini mkuu, dictionary au CAG ripoti? ha1 ha! ha!

William.
 
Mkuu hujasoma tabu lake la mafisadi wa taaluma nini? Hiyo ni authoritative source so to speak. Jitahidi upate hilo tabu ufaidike na kujua kuwa Lukuvi wako is but a 'faker'.
 
- Simtetei Lukuvi, ninatetea CV yake, nasema hivi vipi na huko upande wa pili mkileta Cv ya anamfanana kwa cheo bungeni tuone kama kweli inazidiana au ni yale yale tu!

William.
 
Hizi ndiyo faida za freedom of information-enzi zetu hii kitu ilikuwa hamna. Sisi ilikuwa ni kuimba tu: tuna imaani na Lukuviiii, hoya hoya hoyaaaaaa. amesoma , hakusoma kwetu sawa tu.
 
According to Kainerugaba William Lukuvi ni kihiyo aliyegushi sambamba na Makongoro Mahanga, Emanuel Nchimbi, Mary Nagu, Samuel Chitalilo baba lao, David Matayo David Matayo, Mwanjelwa, Didas Massaburi, Hussein Mwinyi ongeza uwajuao tafadhali.
Mkuu TCU ilishamsafisha Mathayo David kwamba PhD yake ni halali. Nchimbi ameshaosha cheti chake na kutunikiwa PhD nyingine na Mzumbe University Mwaka jana.
 
Hata takokula iliwahi kumsafisha Lowassa na Chenge ukweli ukabaki pale pale. Usafishaji wa taasisi zetu za kishikaji hauna maana wala hauaminiki. Nchimbi kapata PhD Mzumbe.

Je hajatumia njia za mkato zile zile? Kwanini wahusika hawakwenda mahakamani kumshitaki Keinerugaba kama walivyokuwa wamedai wangefanya kama si kweli? He who alleges must prove what he alleges and Keine proved his allegations beyond any reasonable doubts so to speak.

Kesho utasikia kuwa mawaziri waliotimuliwa hawakufanya makosa. This is Danganyika bwana. Bado wahusika ni vihiyo come rain come shine. They therefore should not swoon.
 
nchi yetu ndio wajinga wanavyoila wenye elimu hakuna kupewa nafasi unategemea kwa hili lukuvi anaweza ongoza vizuri kazi aliyopewa? jk fikiria kabla ya kutenda unaangamiza taifa
 
- Simtetei Lukuvi, ninatetea CV yake, nasema hivi vipi na huko upande wa pili mkileta Cv ya anamfanana kwa cheo bungeni tuone kama kweli inazidiana au ni yale yale tu!

William.

unamfananisha William Lukuvi na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani Tundu Lissu, you must be kidding

ua kwasababu na wewe ni William, halafu inawezekana haya majina ya William wanayopewa watanzania huwa ni vilaza
 
ha ha ha ha!
 
Teh! Teh! Teh! Teh!
 
Hii CV kaiandika mwenyewe? Mbona imepangwa style ya ajabu!! Miaka ya shule na qualifications inatakiwa ipangwe either ascending or descending order. Angeanza na most recent qualification kwenda nyuma or vice versa. Au anataka kutuchanganya ndio maana kachanganya miaka .
 
Eh Mbona hatuioni hiyo elimu hapa!! We vipi elimu huzijui!! Hii CV haijakaa fresh. Kiini macho tu.
- Duh! hii CV ni safi sana kuliko wengine wengi huko bungeni ambao hatutaki kuwasema hapa, maana tukidai zao itakwua kiama hapa, binafsi I am impressed na hii CV kumbe ana elimu kubwa tu, saafi sana!

- Jamani siasa za siku hizi ni muhimu sana kuchambua kwa Comparative, yaani unaonyesha CV ya Upinzani iliyo sawa unalinganisha na mtu wa CCM mwenye hadhi kama yake huko upande wa pili, na mnajua nani huko upande wa pili anakaribia wadhifa na Waziri Lukuvi, so mlete zote tuone mpunga na mchelle ulipo, au?

- Otherwise, inakuwa unbalanced analysis!

William.
 
Hakuna aliyekanusha alichoandika Kainerugaba so it might be true.
According to Kainerugaba William Lukuvi ni kihiyo aliyegushi sambamba na Makongoro Mahanga, Emanuel Nchimbi, Mary Nagu, Samuel Chitalilo baba lao, David Matayo David Matayo, Mwanjelwa, Didas Massaburi, Hussein Mwinyi ongeza uwajuao tafadhali.
 
- Duh! hii CV ni safi sana kuliko wengine wengi huko bungeni ambao hatutaki kuwasema hapa, maana tukidai zao itakwua kiama hapa, binafsi I am impressed na hii CV kumbe ana elimu kubwa tu, saafi sana!

- Jamani siasa za siku hizi ni muhimu sana kuchambua kwa Comparative, yaani unaonyesha CV ya Upinzani iliyo sawa unalinganisha na mtu wa CCM mwenye hadhi kama yake huko upande wa pili, na mnajua nani huko upande wa pili anakaribia wadhifa na Waziri Lukuvi, so mlete zote tuone mpunga na mchelle ulipo, au?

- Otherwise, inakuwa unbalanced analysis!

William.

Wewe nae,sio kila mjadala hapa ni comparisôn between Gwanda na Gamba, sôme of the issues are worth discussing just for the sake of understanding whîle the above comparison is out of spite!
 
CV haitoshi kwa wizara anazopewa wakati kuna watu wengi wenye uwezo mzuri kuliko yeye
 
eeeeeheeeeeee!!!!!!!!,huyu naye ni waziri hakika we are gone ndio maana huyu jmaaa full kutetea hata asivyovijua,sasa ile ripoti ya CAG anamsomea nani??au huwa anaangalia upepo??? kwanza??Duuuu,yasiyoweza kufanyika popote pale duniani yanafanyika Tanzania sijui kwa nini hatukushinda kwenye maajabu saba ya dunia!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom