TUNTEMEKE
Platinum Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 580
Duh! imebidi nishike kichwa!!!.... kumbe msela kapiga on-line akiwa chumbani kwake!.... Duh! alafu chuo ndio vile unaccredited institution of higher education ...
Tena kama ni kachukua online, inaonekana kafanyiwa na mtu na wala si yeye. Kuna mtu alimpa hiyo kazi.