CV ya William Lukuvi

Status
Not open for further replies.
nyani mkubwa na mwizi mkubwa huyu!!!!!!!,kaiba vyeti vya secondary tcu na necta wamchunguze

Haswaaaa......& on his face he pretends to look very confident, & he loves royal status like living, kana kwamba aba force vitu vingi, he is stupid of First order, kihiyo huyu..... mhuni kweli.....
 
kwa cv kama hii kwa waziri,sishangai nchi yetu kuwa shamba la bibi

Mkuu watu wa aina ya kina Lukuvi ndani ya serikali yetu wamo wakumwaga, si huyo tu! Na kwa staili hii ufanisi ndani ya serikali yetu utoke wapi? Hakuna! Matokeo yake yanayofanyika huko ni Mungu tu mwenyewe anajua, but this time at this moment for sure silence is no longer in option!
 
Jamani elimu aliyonayo inatosha kuwa kiongozi cha msingi ni kumpima kwa utendaji wake manake kuwa na elimu kubwa si kusema utakuwa kiongozi mzuri tuna misomi mingi vyuoni,mitaani na serikalini haina lolote inafanya mambo ya ajabu tofauti na elimu iliyonayo cha msingi hapa tuangalie uwezo wa mtu kiutendaji na wala si kuwa na elimu kubwa sana mbona Mh Jacobo Zuma wa Afrika ya kusini elimu yake ni ndogo sana ukilinganisha na Mh Lukuvi na bado anawajibika vizuri kwa taifa lake,,jamani elimu kubwa sana si kigezo cha kuwa kiongozi mzuri.........!
 
Mimi nawaomba muweke CV ya Mh Mbowe na CV ya Mh Zito tulinganishe na tuchambue uwezo wa hawa viongozi wetu! tafadhari wekeni CVs zao hapa jamvini.....!
 
Majina mengine bwana yaani unaweza ukamwita kwa mbali kiwaviiiiiii akakuitikia..............
 
Ok the guy is a joke..Jeuri yote ile kumbe elimu ya kuchomeleachomelea.Ndio maana anatetea mabwana wakubwa tu kwa sababu anajua amebebwa hana vigezo.
 
Unayo habari?.. hata aendapo kijijini kwao kusalimia halali kwao, hurudi kulala hoteli mjini.
Eti kwao pachafu, pashamba!!!!!
 
Mimi nawaomba muweke CV ya Mh Mbowe na CV ya Mh Zito tulinganishe na tuchambue uwezo wa hawa viongozi wetu! tafadhari wekeni CVs zao hapa jamvini.....!


Huwezi kufananisha kichuguu na Mlima wa kilimanjaro wewe Zitto kielimu yupo juu labda kipesa ndio Mbowe kamzidi Zitto
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom