CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

Acha upuuzi wa kishabiki usio na sababu. Kiukweli CV ya SUNGU haifai anatakiwa akasome. La sivyo aibu.

kwahiyo inabidi wale ambao hawajasoma zaidi ya form 4, iwe ni aibu kuongoza, acha ushamba na ulimbukeni bwana mdogo.
 
Company - self employed, position - celebrity, 1994-1998.
Hii kali kwelikweli...
 
Kweli uko juu Mkuu.. Napenda watu wanaojiamini hivi, sio kama watukanao. badala ya kujenga hoja wanabaki kumlilia mod.
Mkuu hata robo ya elimu yangu hauingi.Na madrasa nimepiga vile vile.
 
Amesoma O-level miaka miwili (2), na amewahi fanya kazi kama 'celebrity'!

Hajasoma O LEVEL miaka miwili...kuanzia 1988 mpaka 1991 ni miaka mi 4, ila amesoma shule mbili tofauti...kwa maana form 1 na 2 shule moja then akahama na kumalizia form 3 na 4 shule nyingine.
 
Acha kutete upuuzi. Hivi unakubaliana kabisa na CV ya Sugu kuwa ni poa?

Taratibu mkuu, maana hata jk anakubali kuwa cv ya mulugo ni poa, tena mbaya zaidi hata hakuchukua hatua baada ya jamaa kuiaibisha nchi huko SA. The higher the monkey climbs...
 
Je huyo Dr Dr Kikwete (moja ya UDOM na nyingine ya MUHAS) katufanyia nini licha ya UFiSADI?
 
waliomchagua wameona anafaa kuhamasisha maendeleo acheni nyodo
 
Je huyo Dr Dr Kikwete (moja ya UDOM na nyingine ya MUHAS) katufanyia nini licha ya UFiSADI?
Wewe tatizo lako unataka wakununulie vitu vya ndani. Ndio ujue umefanyiwa nini. Je SUGU katenda nn?
 
Kwa kuwa ilikuwa lazima kuchagua mbunge na hapakuwa na mwingine, basi ikabidi wampitishe tu. Wasingefanya hivyo, lingeingia gamba ambalo halikuhitajika hata kidogo.
 
Sio vizuri kuwalinganisha watu kwa kutumia viwango vya elimu na nahisi mtoa mada hamjui vizuri SUGU. Nakushauri utafute kitabu chake cha SUGU AUTOBIOGRAPHY umjue vizuri, jamaa ana experience kubwa ya maisha na akapitia mengi sana na nafikiri hicho ndo muhimu sana ili mtu kufanikiwa na kuwasaidia watu wako kama mbunge na sio kiwango cha elimu peke yake unaweza ukaenda shule na usiwe na msaada wowote kwako na kwa wenzio. Tuwapime watu kwa vitu wanavyofanya na si elimu yao.
 
mwanaharakati wa kweli toka kupigania hip hop bongo mpaka ubunge, huyu ni mpiganaji kwel kwel... big up sugu
 
Hivi unataka aje akununulie suti na familia yako ndio ujue kafanya nini? Acha hizo.

Ulikununulia masinia ya ubwabwa ktk kampeni 2010, ndo maana unajua alichokifanya, Subiri list ya Uswiss ndo utazima domo
 
Sio vizuri kuwalinganisha watu kwa kutumia viwango vya elimu na nahisi mtoa mada hamjui vizuri SUGU. Nakushauri utafute kitabu chake cha SUGU AUTOBIOGRAPHY umjue vizuri, jamaa ana experience kubwa ya maisha na akapitia mengi sana na nafikiri hicho ndo muhimu sana ili mtu kufanikiwa na kuwasaidia watu wako kama mbunge na sio kiwango cha elimu peke yake unaweza ukaenda shule na usiwe na msaada wowote kwako na kwa wenzio. Tuwapime watu kwa vitu wanavyofanya na si elimu yao.
 
Wekeni CV ya Professa Maji mengi,yule mbunge wa pale kanda ya kati'
 
Hao wenye degree kibao wamesaidia nini taifa? Si ndo hgao waliosaini mikataba ya wizi.

Are you a great thinker as well!? basi wafungie watoto wako wasiende shule ili utimize msimamo wako huo ktk blue hapo juu! tena wachape bakora na uwaambie elimu ni sumu!!
 
Back
Top Bottom