CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

Pamoja na kukupa "like" naomba masharti na vigezo kuzingatiwa. Unaifahamu katiba ya CCM vizuri? Unaifahamu katiba ya Chadema vizuri?Unazifahamu sifa za mtu kuwa mbunge kulingana na katiba za vyama vyao?Bungeni huwa kuna mijadala mingapi muhimu na ya msingi ambayo huwasilishwa? Uzi huu naamini mods watauheshimu kama ukinijibu maswali yangu yote hapo, na kama hutajibu basi humu jamvini kuna watu watatusaidia ku-attach katiba zote mbili ili kuwe na uwiano wa mjadala.

Unazifahamu sifa za mtu kuwa mbunge kulingana na katiba za vyama vyao?

sifa za kuwa mbunge hufafanuliwa na sheria mama ambayo ni katiba ya Jamhuri wa Muungano...Mtu yoyote aliyemaliza shule ya msingi, ambaye ana umri zaidi ya miaka 21, mwenye akili timamu, ambaye hajawahi kutiwa hatiani na mahakama n.k. Hizo ni baadhi ya sifa za mtu anayeweza kuwa mbunge.
 
Nakwenda zangu Ilala kusakasaka mademu, nipo Sinza nasaka saka mademu, nipo Masaki nasaka saka mademu maisha hayawezi kuwa matamu bila mademu-SUGU

Mara kumi Joti angekuwa mbunge.

hauna jipya, hizo ndo nyimbo zetu wakongwe, sasa siku hizi wanimba kulewalewa nazo ni nyimbo. SUGU ANAJUA.
sisi tuliyeanza naye 1995 tunajua, sasa JOTI ANAIMBA MATUSI NA WATOTO, anatuharibia vijan, angebaki kuwa mchekeshaji tu na siyo mwanmziki.
 
how wenye PHD wamefanyia nini nchi yetu zaidi ya ufisadi,uongozi siyo elimu tu bali uzalendo
 
Unajifanya kipofu au. Mfano: Mtu kajiunga 2010 CDM na kugombea mwaka huo huo je nifungulia dog au. Siasa ni taaluma.

ulitaka ajiunge mwaka gani? kama vp na wewe jiunge 2015 na uwe DIWANI tuone kama utapata?
 
siasa ni kipaji na siyo elimu, kwani hao maprofesa na madocta si ndiyo hao wezi wakubwa, tena kama mtu hajasoma sana inasaidia kuwa mchapa kazi mzuri kama wazee wetu KAWAWA na KARUME.

Hahahahaha nakubaliana na wewe. Siyo profesa Muhongo ngonjera nyingi but he doesn't walk the talk
 
hauna jipya, hizo ndo nyimbo zetu wakongwe, sasa siku hizi wanimba kulewalewa nazo ni nyimbo. SUGU ANAJUA.
sisi tuliyeanza naye 1995 tunajua, sasa JOTI ANAIMBA MATUSI NA WATOTO, anatuharibia vijan, angebaki kuwa mchekeshaji tu na siyo mwanmziki.
Acha kutete upuuzi. Hivi unakubaliana kabisa na CV ya Sugu kuwa ni poa?
 
ulitaka ajiunge mwaka gani? kama vp na wewe jiunge 2015 na uwe DIWANI tuone kama utapata?
Acha upuuzi wa kishabiki usio na sababu. Kiukweli CV ya SUNGU haifai anatakiwa akasome. La sivyo aibu.
 
Kwa uchapakazi wake na uchambuzi wa mambo nilijua ana masters!!! Kweli nimekubali CV kubwa si utekelezaji!!! Bravo Mh. Joseph Mbilinyi. Yaani unawashinda hata wale wanaojiita madaktari? Wakiambiwa ni madakari feki wanabisha!!! Mahanga na wenzako mpo?
 
Hao wenye degree kibao wamesaidia nini taifa? Si ndo hgao waliosaini mikataba ya wizi.
 
kumbe kubwa janja hamna shule ee!!,DUU MBNA KNA NYIMBO ANATUPIA SNA KIMOMBO AU NDO DUUUUU!!!!
 
celebrity ni kazi gani hiyo wandugu?
 
Nadhani watanzania tuna tatizo katika kuandika CV zetu.Sababu kwa CV hii maana yake hajamaliza kidato cha nne.Na kuna mchangiaji amesema amemaliza kidato cha sita.
Inabidi waheshimiwa wetu watafute wataalamu wa kuandikiwa CV vizuri ile zilete maana kamili na nzuri.
 
Back
Top Bottom