Pamoja na kukupa "like" naomba masharti na vigezo kuzingatiwa. Unaifahamu katiba ya CCM vizuri? Unaifahamu katiba ya Chadema vizuri?Unazifahamu sifa za mtu kuwa mbunge kulingana na katiba za vyama vyao?Bungeni huwa kuna mijadala mingapi muhimu na ya msingi ambayo huwasilishwa? Uzi huu naamini mods watauheshimu kama ukinijibu maswali yangu yote hapo, na kama hutajibu basi humu jamvini kuna watu watatusaidia ku-attach katiba zote mbili ili kuwe na uwiano wa mjadala.
Na wewe pia nenda shule ukasome. Achana na madrassa.
hivi kwani utendaji wa mtu unaangaliwa kwenye CV....naombeni kufahamishwa jamani
Nakwenda zangu Ilala kusakasaka mademu, nipo Sinza nasaka saka mademu, nipo Masaki nasaka saka mademu maisha hayawezi kuwa matamu bila mademu-SUGU
Mara kumi Joti angekuwa mbunge.
Unajifanya kipofu au. Mfano: Mtu kajiunga 2010 CDM na kugombea mwaka huo huo je nifungulia dog au. Siasa ni taaluma.
siasa ni kipaji na siyo elimu, kwani hao maprofesa na madocta si ndiyo hao wezi wakubwa, tena kama mtu hajasoma sana inasaidia kuwa mchapa kazi mzuri kama wazee wetu KAWAWA na KARUME.
Acha kutete upuuzi. Hivi unakubaliana kabisa na CV ya Sugu kuwa ni poa?hauna jipya, hizo ndo nyimbo zetu wakongwe, sasa siku hizi wanimba kulewalewa nazo ni nyimbo. SUGU ANAJUA.
sisi tuliyeanza naye 1995 tunajua, sasa JOTI ANAIMBA MATUSI NA WATOTO, anatuharibia vijan, angebaki kuwa mchekeshaji tu na siyo mwanmziki.
Acha upuuzi wa kishabiki usio na sababu. Kiukweli CV ya SUNGU haifai anatakiwa akasome. La sivyo aibu.ulitaka ajiunge mwaka gani? kama vp na wewe jiunge 2015 na uwe DIWANI tuone kama utapata?
Hahahahaha nakubaliana na wewe. Siyo profesa Muhongo ngonjera nyingi but he doesn't walk the talk
CV nyingine vituko.
Acha upuuzi wa kishabiki usio na sababu. Kiukweli CV ya SUNGU haifai anatakiwa akasome. La sivyo aibu.