CV ya Issa Ponda

Status
Not open for further replies.
bora kuabudu msalaba kuliko kuabudu mtu aliyekuwa anabandua vitoto vya miaka tisa, na aliyekuwa ana mizigo tisa, halafu alivyo mnafiki wengine wanatakiwa wawe na mizigo minne tu wakati anayeabudiwa alikuwa na mizigo tisa! Wakiulizwa inakuaje hapo utasikia oooh, alikuwa anawasaidia tu wajane, unawasaidia ndio uwabandue?

Ulikuwepo wakati akiwabandua?
Ulimtongozea au kumshikia miguu wewe??
 
Aka sisi yetu macho nyie endeleeni kuparuana wenyewe ila msitugusie Maaskofu wetu kama mmoja alivyodhihaki kwenye 2nd post
 
Hapo palipo wivu na ugomvi, ndipo palipo machafuko, na kila tendo baya. Yak. 3:16. Tumekuja duniani kufanya Nini? Ni tunda la haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.
 
Nijuavyo kuna shule nyingi kama kunduchi , shule ya ubungo , kirinjiko,al muintazir.hizi na nyengine zinaongozwa njee ya bakwata na hisi zinafanya uzuri zaidi ya shule za bakwata ya mufti
Pia kuna chuo kikiuu cha kiislaam morogoro waislam hawakutaka kabisa bakwata kushirikishwa na hawana chao pale
Hivyo waislam njee ya bakwata wamefanya mengi mazuri kuliko wao
Kuna hospital pale magomeni na mifuko ya misaada nje ya bakwata
Hivyo wimbi la kumkataa mufti aondoke halizuliki tena linakuja hata magazeti yote mpambeni kwa shere

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

mbona baadhi ya shule ulizotaja ni za watu binafsi na si za taasis za kiislam, mfano kunduchi, na kuhusu chuo kikuu cha Morogoro- hapo unajivunia mafanikio gani?!: chuo ni mali ya TAXPAYERS, na waislam hawahaongeza hata ufito, hapo tujivunue nini shehe?!, ponda amechangia nini hapo na MAKWATA imeshindwa nini hapo?!.
 
Niwarudishe kwenye topic: Anayejua CV ya Ponda naomba atuwekee hapa.
Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu nchini Tanzania, pia ni Katibu wa Kamati ya Kutetea Haki za Waislamu nchini (hapo bold ndio mafisadi hawataki kupasikia) kwa kifupi si mtu mjinga na mhuni kama inavyosemwa na mawakala wa kisiasa. na Laiti angelikuwa ni mtu asiyeweza kusimamia hoja muulizeni che Nkapa anaijua vizuri sana cv ya Sheikh Issa maana aliwahi kumnyang'anya uraia kama Jenerali Dunia alivyofanyiwa... nataraji mpaka hapo umeelewa kitu au unataka cv ya vyeti? Mimi hutazama IQ ya mtu kwanza na Uwezo wake kabla ya vyeti... vyeti siku hizi hata mitaani vipo unanunua tu! wenyewe wanasema "shahada zipo kwenye mfuko wako" au cheti cha kutafutia kazi?
 
karibuni kwenye uzinduzi wa Campus ya Tanga mjini ya Tumaini University mkishamaliza kugombana. Wali, pilau na tende zitakuwepo pia.

.................enyi mlioamini (Waislaam) Mcheni Mwenyezi Mungu, na muaminini Mtume wake, atakupeni sehemu mbili katika rehma yake, na atakujaalieni muwe na nuru ya kwenda nayo. Na atakusameheni. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu.
................ili watu wa Kitabu (Wakristo na Wayahudi) wajue kwamba wao hawana uweza wowote juu ya fadhila za Mwenyezi Mungu. Na fadhila zote ziko mikononi mwa Mwenyezi Mungu, Humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye fadhila kuu. QUR'AN: 57:28-29.
 
CV mambo ya kikafiri,sheikh ponda sheikh wetu mkubwa sisi waumini tunamkubali,,huyo sheikh wa serikali kibabu simba atoke zake huko,,asubirie kifo mtu wenyewe yupo dakika za majeruhi saa na wakati wowote malaika mtoa roho atamgongea hodi mnafiki mkubwa huyu

Hivi hii ni adabu gani ya kumkashifu,kumtusi na kumlaani kiongozi mkuu wako wa dini? na huyo unaemtaka wewe akishindwa kutimiza hayo matarajio yako bila shaka utamdhalilisha hivyo hivyo!
 
Nijuavyo kuna shule nyingi kama kunduchi , shule ya ubungo , kirinjiko,al muintazir.hizi na nyengine zinaongozwa njee ya bakwata na hisi zinafanya uzuri zaidi ya shule za bakwata ya mufti
Pia kuna chuo kikiuu cha kiislaam morogoro waislam hawakutaka kabisa bakwata kushirikishwa na hawana chao pale
Hivyo waislam njee ya bakwata wamefanya mengi mazuri kuliko wao
Kuna hospital pale magomeni na mifuko ya misaada nje ya bakwata
Hivyo wimbi la kumkataa mufti aondoke halizuliki tena linakuja hata magazeti yote mpambeni kwa shere

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Daah! Kama ni Kweli Hongereni, hili ckulijua, plz nipeni uhusiano wa Tanesco, Mkapa, Ponda na Bakwata, na ikiwezekana tujue mchango wa kila niliyemtaja hapo juu! Na ikiwezekana mnikumbushe ile ranking ya ubora wa vyuo vyetu hapa bongo sijui hicho chuo kilishika nafasi ya ngapi?
 
Nijuavyo kuna shule nyingi kama kunduchi , shule ya ubungo , kirinjiko,al muintazir.hizi na nyengine zinaongozwa njee ya bakwata na hisi zinafanya uzuri zaidi ya shule za bakwata ya mufti
Pia kuna chuo kikiuu cha kiislaam morogoro waislam hawakutaka kabisa bakwata kushirikishwa na hawana chao pale
Hivyo waislam njee ya bakwata wamefanya mengi mazuri kuliko wao
Kuna hospital pale magomeni na mifuko ya misaada nje ya bakwata
Hivyo wimbi la kumkataa mufti aondoke halizuliki tena linakuja hata magazeti yote mpambeni kwa shere

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Chuo kipi? Kile mlichopewa na serikali? Jengeni chenu
 
bora kuabudu msalaba kuliko kuabudu mtu aliyekuwa anabandua vitoto vya miaka tisa, na aliyekuwa ana mizigo tisa, halafu alivyo mnafiki wengine wanatakiwa wawe na mizigo minne tu wakati anayeabudiwa alikuwa na mizigo tisa! Wakiulizwa inakuaje hapo utasikia oooh, alikuwa anawasaidia tu wajane, unawasaidia ndio uwabandue?
.............." Enyi mlioamini (Waislaam !) Mcheni Mwenyezi Mungu, na muaminini Mtume wake. Qur'an: 57: 28.
Waislaam hatuabudu mtu, wala kitu ! Mtume tunamuamini akawa ni 'the last Messenger with the last Revelation.
 
Mgalatia bana ! Wewe umemnukuu mufti hapo na amekupa CV ya Ponda, sasa unauliza nini ? Hebu tafuta msalaba uuombe kisha ulale, usisahau kukojoa !

eeh hizi lugha sijui zifunguliwe jukwaa lake ili kilamtu ajimwage wengine wanaogopa ban
 
CV mambo ya kikafiri,sheikh ponda sheikh wetu mkubwa sisi waumini tunamkubali,,huyo sheikh wa serikali kibabu simba atoke zake huko,,asubirie kifo mtu wenyewe yupo dakika za majeruhi saa na wakati wowote malaika mtoa roho atamgongea hodi mnafiki mkubwa huyu
Keshawafanya vibaya huyu . Si yeye ndie alishinikiza na kushawishi Waislam wasihesabiwe? Kama angekuwa ameenda shule unadhani angefanya hivyo? Ameshakula hata akili yenu kidogo mliokuwa nayo. Amkeni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom