Duu umeuungaunga sana elimu yk Babu. Pole sana Kimberly una adv dipl
msomi wa dini, sawa na wale masheikh waliosoma theology lakini wakadharauliwa humu kwa sababu wamesomea theology ya dini nyengine. Elimu ni elimu tu, hata wale masheh utakuta wana degree kutoka sudan, Egypt nk tatizo linakuja hivi usome theology law hata ya phd level halafu uwe expert wa economy au siasa ni kitandawili..
Weka na CV ya Godbless Lema...................
Dr kumbe majungu hayajengi nchi? Bonge la comment lakini mbona wewe kila kukicha majungu kwa jk sasa ndio tutajenga nchi kweli hapo
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Kama Membe naye ana PhD ya Kanisa basi naye namuweka kapu moja na Dr Slaa.
wewe ni punguani namba moja<hapa ndo mwisho wako wa kufikiri?kwani hujui ukimtaja babu umegusa kanisa na waumini wake?
umenichekesha sana kwa kale kamsemo kako kwamba kuruka shule ni dalili za kuwa kipanga.
Nimekumbuka kale katoto kangu kalivyokuwa kiwembe. Kametoka la kwanza kakarukia la tatu. Kametoka la tano kakaingia form one na kakapata 10 bora kwenda vipaji maalum sekondari na form four kakapiga daraja la kwanza pointi 6. Sasa kako six mwakani. Chezea toto yangu weee!
Kumbe Dr. Slaa ni tishio kwa watu wa magamba (ccm). Angalia wanavyohangaika naye katika mtandao!! Eti kaanzisha siasa za udini. Umesahau pale yule Dr. feki, JK alipoona mambo yanamwendea kombo akaanza propaganda za udini ili apate ushindi. Sasa si unaoma udini aliouasisi unavyomtesa! Ebu shusheni CV ya JK muone uchakachuaji wa elimu ulipoanzia. Siku hizi kila mtu wa magamba hujipachika u-dokta bila kujua kuwa ni hadhi ya kisomi. Ooh..dr. nchimbi, dr. nagu, dr. mrema, dr. dr. dr. Hivi karibuni tutasikia Dr. Kinana, Dr. Nape, Dr. Makamba, ama kweli la kuvunda halisikii ubani.padiri babuuuuu mzee wa ving'astire povu linamtoka bado nenda kasome,huna elimu yoyote zaidi ya dini.
Huyu ndo alotuletea udini ktk siasa za tz
padiri babuuuuu mzee wa ving'astire povu linamtoka bado nenda kasome,huna elimu yoyote zaidi ya dini.
Huyu ndo alotuletea udini ktk siasa za tz
umesahau na ya mrema na chamiAkili yako ndogo sana. Tupatie hizo zenu za kina Nchimbi, Kamala na JK....... huna adabu