ha ha ha Mkuu unanikumbusha enzi za Primary somo hili lilipendwa sana hasa kwenye kwenye somo kwa vitendo juu ya mapishi, siku hiyo mtakula hadi kuvimbiwa.Huyu kumbe ni mwalimu wa sayansi kimu
Ni Dr wa nini sasa ?????????????????
Huyu jamaa katuaibisha watu wenye Ph.D.
Shame on him.
Suali zuri sana na jibu lake ni jepesi.
Hoyo ni Dr. wa uropokaji na dhereu katika nchi aliyomo.
hahahaha umechemka kijana.. dr. Francis hajawahi kusoma BA (ED) wala hyo MBA hajasoma Umea-Sweden, na hyo PGD liifanya baada ya kuwa ameshapata PhD...kajipange tena Wacha papara na wivu wa kike. leta na ww CV yako na ya baba yako..
kumbe mnalifahamu hlo. vitu vingine havihitaj kupata GPA ya 5 Jaman. Dr. Francis amezungumza anachoona kinafaa. hakutete mafisad wala wizi wowote na hilo nalo ni kosa? si kila anachokisemwa na ukawa ndo iwe kama biblia au msahafu. hii ni haki ya msingi ya kila mtanzania kukisema anachoamin ni sawa. sasa tunalazimishana kukubaliana mawazo. kama tumeezaliwa tofauti lazma na mawazo yawe tofauti. mnajifanya mnamjuaa sana dr. francis..acheni kujiabisa na kujihumiliateAkishakuletea yake ndo iweje?
Twatizama utendaji kazi na je, hiyo ilimu alonayo yamsaidia/yatusaidia nini Watanzania...!??
Jamanini hata hilo pia baya au twaelekea wapi...?!
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)
Semeni yote tuyajue vema......lakini elimu ya kuungaunga'si ndio safi jamani coz inakuwezesha kupitia experience tofauti na kukufanya uwe perfect zaidi......sioni.ubaya wa yeye kusona kwa'style hiyo..atkeast anapata cha kusimulia......jadilini hoja za msingi za kujenga na kuleta tija na ustawi kwa taifa letu achen kujadili maisha ya watu binafsi
asante sana mkuu...hawa watu wanalevel ndogo sana za ku-analyze issue na ndio maana hata comment zao zimejaa matusi na mipasho..kwanza wanakurupuka tu huyo aliejitia kuleta CV jukwaan haijui kaikosea na ndio maana hata alichokizungumza dr. francis hawakukielewa.. sio lazima tufanane kimawazo na ndio maana tunakuja na nguvu za hoja..kaka inaonekana tuna deal na watu wasio na uelewa wa level zetuMbona unang'ng'ania article aliyopublish. Inaelekea haufahamu kama university ina functions nyingi zikiwemo na public outreach pamoja na kufundisha. Mbona huulizi consultancy alizofanya au evaluation ya ufundishaji wake. Kwani unafikiri hoja ya kupublish ina mashiko siku hizi? Au haujafahamu kwamba watu wanapata uprofersor na u senior lecturer kwa kulipia dollar 400 kwenye journals za nchi za nje. Dr francis hataki huo ujinga eti kwa hoja tu amepublish.
Halafu unapodharau PhD ya UDSM, unamaana gani wakati wanaukawa mnyika na mbatia walishindwa kumaliza hata degree ya kwanza pale UDSM.wakaondoka kusoma degree za .com.