CV ya Dr. Francis

CV ya Dr. Francis

we mtoto wa malecela mbona una mwaibisha mzee wako? Una akili mbovu sana kijana, jaribu kuu act like mtu mzima haswa.
Sio kijana huyo....ana miaka 54. Ila kwa school bash humtoi na kupiga picha za selfie na kukunja mdomo kama ms..ch......
 
Huyu jina lake ni KASAVUBU kabila lake ni M-bembe. Ni maji ya kuvuka. Anatokea Kitongoji cha BUZEBAZEBA Kigoma. Aliwahi kuwa Kiongozi mkubwa DARUSO UDSM miaka ya 99 chini ya MKUMBO KITILA. Amepata kashfa nyingi sana akiwa kiongozi moja wapo ni umalaya wa kurubuni first year ili wapate favour na kusaliti wanafunzi wakati wa migomo. Alikuwa cheap na easy to compromise. Alitaka kugombea ubunge Kigoma 2005 but historia ya uraia wake unamkosesha amani. Wale wanaojua radicalism ya watu wa Kigoma watamshangaa sana ndugu huyu. Ni mpenzi wa basketball na jogging. Ana watoto kila pahala alipoishina kusoma . Wachaga ni shemeji yeni...warangi shemeji ueni...wazaramo....wasafwa....wahaya.... you mention....
Aisee kumbe Mkongo kisha anapewa Unaibu katibu mkuu Utumishi.
Licha ya kuwa mwalimu wangu wa HR lakini siafiki kupewa uongozi mamluki
 
Back
Top Bottom