MALECELA, Dr. Slaa ni Doctor of Canon Law (Juris Canonici Doctor; J.C.D.). Amesoma Urbaniana University. Siku hizi internet imeturahisishia mambo mengi, nakushauri u-google program structure ya J.C.D halafu linganisha na ile ya doctor of laws (LL.D.) kama ile aliyonayo Dr. Mwakyembe, utashangaa jinsi content zinavyofanana. Hili ndio jambo ambalo mimi nalisifu sana kanisa katoliki, wakati madhehebu na dini nyingi wamejikita kuwaelimisha watumishi wao elimu za dini pekee, mapadre huwa wanasoma vyote, elimu ya dini na ile ya dunia. Wewe hushangai Dr. Slaa na hiyo PhD yake mnayoita ya kanisa alivyokuwa anawatoa jasho kwa hoja pale bungeni? Kuifananisha PhD ya Francis Kasabubu na ya Dr. Slaa ni matusi makubwa; umeenda mbali zaidi eti unamlinganisha Kasabubu na Lipumba, Loool! matusi makubwa sana hayo. Tafadhali naomba nitajie title ya paper moja tu aliyo publish Francis Kasabubu.