Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,548
- 7,486
Acheni kuwa na fikra finyu. huyo aliepost CV ya Dr. Francis mwenyewe haijui, acheni wivu wa kike nyie. Dr. hajawahi kusoma BA (ED) wala hiyo MBA hajasome UMEA-Swedeni.. mnakurupuka tu ebu nendeni mkajipange tena. ana elimu ya kuungaunga leteni na nyie cv zenu tuone...hao ukawa wenyewe wamesoma shule za kata halafu manataka kuwafananisha na dr. Francis. maamuzi ya kutaka serekali mbili au tatu ni ya kwake na ni haki yake ya msingi kabisa kuchagu wapi aende. acheni siasa uchwala. kwa taarifa tu congo wana kasavubu. na huyu ni Dr. francis kasabubu Michael someni historia vizur au rudini shule kwanza msituletee utumbo hapa
Waambie waangalie kwenye prospectus ya UDSM ipo online, just to be sure!