CV ya Dr. Francis

CV ya Dr. Francis

Thanks malecela, maana nilivozipitia comments zao, zinaonyesha kuwa kuna waalimu udsm wanaowalisha sumu. Lakini pia wanaposema francis anafundisha kwa mbwembwe unaweza kusema tu kwamba hata wewe ulifindishwa na nae na uligundua kuwa he knows what he is teaching. Utakuwa na mbwembwe ukiwa mweupe, zaidi ya hayo umeona cv yake kwamba yuko multidisciplinery
 
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)

msalimie mcheza ngoma mwenzio vicencia shule na wenzake...hawa ndio wanafanya kazi ya kutembeza sumu..ndio maana nikawaomba na nyie CV zenu maana tunawajua hamna kitu..tembezeni sumu lakin ukweli daima utasikika..mimi niko hapa UDSM namfahamu francis, na tangu mchakato wa katiba unaanza yeye amekuwa ni muumin wa serekali mbili sasa leo kasema anachoamini ni sawa imekuwa nongwa? ukawa pamoja na vecencia na kundi lako rudini darasani na sio kuharibu taswira za watu hasa wanapoamua kukisema wanachoamini ni sawa..
 
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)

Wakuu, elimu ya kuungaunga inaitwa complete metamorphosis.

Yaani jamaa anamaliza form four hivyo hivyo bora liende

Baada ya form four anaweza kwenda chuo kupata certificate mahali au Baadaye anaunga kidato cha sita kama private candidate

Baada ya hapo anapata chuo kupata diploma

Diploma inatumika kupata Degree

Baadae Masters na hatimaye PhD.
 
na mimi alinifundisha Labour Laws sema ana pozi nyingi ingawa ni mwalimu mzuri,kwa hili la juzi amenisikitisha sana kwa kweli:embarassed2::embarassed2:
 
Mbona unang'ng'ania article aliyopublish. Inaelekea haufahamu kama university ina functions nyingi zikiwemo na public outreach pamoja na kufundisha. Mbona huulizi consultancy alizofanya au evaluation ya ufundishaji wake. Kwani unafikiri hoja ya kupublish ina mashiko siku hizi? Au haujafahamu kwamba watu wanapata uprofersor na u senior lecturer kwa kulipia dollar 400 kwenye journals za nchi za nje. Dr francis hataki huo ujinga eti kwa hoja tu amepublish.

What.....!!!! unataka kusema ku publish sio issue tena kwa academicians?
 
Soma vizur comments zangu Githeri! Jinsi magamba mtavyoitumia haikuwa sahihi!
 
Ndiyo maana mnabwabwaja bwabwaja humu ndani? Sijasema kupublish sio muhimu, nimesema publishing ni muhimu ila sio for the sake of publishing kwa akili ya kukimbilia promotion kama wanavofanya hao jamaa zako, imekwisha fahamika wazi kwamba watu wengi wanaojifanya wanapublish wengi wanapublish kwenye baadhi ya journals ambazo zinahitaji ulipie gharama ya kupublish halafu article yako inakuwa published.
 
Mie namjua kwa jina la "Kasabubu" sijui kwa nini huwa halitumii hili jina?

Nyamizi,

Hilo jina ni Kasavubu au Kasabubu? Nasikia anatokea maeneo ya karibu na mpaka wa Zairwa au DRC ya sasa. Huyu jamaa ukimwangalia kwa sura,umbile na ongea yake anaonekana ni MKONGOMAN perce! Huyu lazima atakuwa mnyamlenge au M23! Hebu wale wanaoweza kuchimba zaidi watuwekee URAIA wake hapa tujue asili yake na ukoo wake!!!

Huyu jamaa ni STIFF BOARER!
 
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)


Huyu jamaa hana u-Doctor wowote, ni Kihiyo tu aliye-fluke elimu ya kuunga unga!
Watu wenye akili wanajulikana tu hata wanapoongea. Lakini huyu kihiyo hata ukisikiliza anavyotamka maneno unaona kabisa kuna shida ndani ya ubongo wake!!

Sina hakika kama anaweza akazungumza hata sentenso moja ya Kiingereza kwa ufasaha.Kama kuna Waalimu waliowahi kumfundisha watakuwa walipata taaaabu sana!!!
 
Nyamizi kichwa maji kwelikweli..wewe sidhan hata kma std seven ya kayumba kama ulimaliza...historia inasema waz Congo wanaitwa Kasavubu..mmekimbia umande sasa povu linawatoka...fanya tafiti za kutosha sio uje na pumba zako hapa..huyu jamaa ni francis kasabubu...lakin hata ukienda burundi kuna bizimana, ndikumana,ndayishimiye na atungimana so as tanzania ambako waha wanayatumia haya majina..kwa kukusaidia tu hebu tafuta hlo jina kasabubu ni la mkoa gan na lina maana gan..tumechoka na pumba zenu za kasavubu hapa...msalimie mpuuzi mwenzio shule huko sweden
 
Makoye tunakujua na shilingi ngapi unalipwa ili kuchafua watu kwenye mitandao!
 
Kaka hiki ni kikundi cha watu fulan wachache wajinga wanaodhani wameelimika kumbe badoj ni wajinga, wanachajua ni kuchafua taswira za watu..bahat mbaya wameshajulikana..tushindane kwa hoja na si matusi yasiyo na maana
 
Naweka rekodi sawa; ni KASAVUBU, F. M. Hilo Kasavubu ndio jina lake hasa analojulikana kwalo huko nyumbani kwao.

Huyu jamaa hapendi kulitumia jina lake la Kasavubu kwani jina hili lina asili ya kongo hivyo anahofu uraia wake kutiliwa shaka.
Ukweli ulivyo huyu jamaa ni mkongo.
 
We dada tuletee ushahid wa uraia wa huyu jamaa wa congo.
Otherwise usituletee habar za mipasho hapa. Achen wivu wa kike, fanya research njoo na habar kamil usituletee habar za kimbea..jamii forum sio ukumbi wa taarab
 
Ghagadema na siasa zenu za udini ... points zko zooote zinazunguka ktk udini ..mazafanta
Wewe mwehu sana...kuongelea dini ...si kuwa mdini au kukosa haki.Ni km kusema mgombea wa ubunge hana haki ya kupiga kura....au asiwe na dini
 
Alisoma sandwich programme. Ni bondia na pia mcheza basket ball.
Ila cho cha Tamthilia na mambo ya kubuni kina shida sana..hata hiyo sandwich haiwezi kuwa km za putin..sasa report za repoa ni za kupika, vitabu vinavyoandikwa km reference ni habari za kubuni....na leo wanaendelea kubuni.
 
Back
Top Bottom