Sword
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 864
- 183
Halafu anatangaza eti tuichague chagadema.... huyu mpuuzi kweli aiseehivi we jamaa ubongo wako umejaa mavi au funza? saa zote we ni.kutukana waislamu tu huoni hata aibu.
Halafu anatangaza eti tuichague chagadema.... huyu mpuuzi kweli aiseehivi we jamaa ubongo wako umejaa mavi au funza? saa zote we ni.kutukana waislamu tu huoni hata aibu.
so what is your dad phd?- Maaan this is JF we don't care what comes in our face we just deal with it as it is, so it up to yah kusuka au kunyoa we can play both U know hoja and nonsense too, so enjoy it, now tell me what kind of PhD does Dr Slaa holds?
Le Mutuz System
Msomi gani anawasaliti wenzake na kuwafanya waonekane hovyo mbele ya umma wa watu wa Tanganyika na Zanzibar?
Hivi angaamua kusimamia ukweli wa rasimu angepoteza nini.m?
Haya kwa njaa yake anafanyeje kwa wanafunzi kweye kozi weki kama hawampi fedha na kuwajazia alama tu bila ya assignment wala mtihani?
Babu Slaa ana PhD ya theolojia, ni mjuzi khasa wa bibilia aliyoisaliti.- Maaan this is JF we don't care what comes in our face we just deal with it as it is, so it up to yah kusuka au kunyoa we can play both U know hoja and nonsense too, so enjoy it, now tell me what kind of PhD does Dr Slaa holds?
Le Mutuz System
Slaa anahusiana Nini na hii thread?poor and cheap minds discuss people and why Slaa and not maalim seif,mbatia,Kuga mziray,mtikila,dovutwa etc?Babu Slaa ana PhD ya theolojia, ni mjuzi khasa wa bibilia aliyoisaliti.
- Maaan this is JF we don't care what comes in our face we just deal with it as it is, so it up to yah kusuka au kunyoa we can play both U know hoja and nonsense too, so enjoy it, now tell me what kind of PhD does Dr Slaa holds?
Le Mutuz System
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)
Ila ktk midahalo na maoni BBC alipenda sana changia km Political scientist.....na aliishi km political analyst...ndio kazi za watu wa DS wapo general sana......ndio maana hata class za DS na Desa zake UDSM ni hovyo sana.ZInaonyesha jinsi fikra za waadhiri zilivyodumaa.Haroub Othman (Mungu amrehemu), Harrison Mwakyembe - SHERIA. Francis Michael - ELIMU NA BIASHARA. Siyo Political Science
haha.....ok....okwe jambazi la kichaga ni kenge sana
Shida si msimamo wa anachokiamini....ila hicho anachokiamini ni nini?Ndugu yangu kwa watu wenye akili fast ya kushika waongo kwa kulinganisha walichosema na wanachosema, walichotenda na wanachotenda....Haroub Othman was Islamist..ndio maana misikiti inataka mfanya super hero....ktk propaganda zao km zile za kuficha Majina ya maustaadhi KINJEKILE NGWALE,MKWAWA etc ..ili waonekane watanzania waafrica wapigania nchi....Ila wanaamudiwa sana na Waislam,kwa vile wanajua walifanya kazi za kiislam,waliuza watumwa makafiri, walipigana jihad dhidi ya wamisionary kuliko wazungu mabepari.Hii ndio ilifanyika kwa Tanganyika kupotezwa jina, Haroub othman km Lipumba na wengine,km JK, Shivji,Dau etc wanapigiwa upatu sana..ili baadae wasipingwe wanapodanganya watanzania na dunia kwa maslahi ya ..ya imani yao....bahati mbaya sana Mungu kamuondoa John Mpiga Ramli,ambaye nae kazi yake ilikuwa hiyo....UDSM..kuna brain washing mbaya sana....na kitovu cha kubadili Historia iandikwe kwa Kuugeuza Uislam km ulipigani uhuru, baada ya kuwageuza wauza watumwa na jihadist toka ktk Uovu wa watu kuwa mashujaa wa kiafrica, waliotaka gome auhuru hadi wapewe kila kitu walichokuwa nacho wakristu ndipo wakkubali kujiunga na uhuru sasa ndio wanadau ushujaa.....haroub othman alikuwa akimpigia sana upatu Mohamed Said ktk kudanganya taifa kuwa wamegundua dhulma kwa waislam na mfumo Kristu..km hukuweza ona hayo basi nakushauri u revisit lecture zake hata kichwani,uangalie maadui wa waafrica na wakoloni kwa akili zake walikuwa nani..hawezi waona Waarabu na wachina..ni magharibi tuu...Kaka Marehemu Prof Haroub Othman kanifundisha Development Studies au DS. Alikuwa ni mtu wa msimamo wa alichokiamini, had I anafariki
Usihofu sana km mengine ni salama kwako..kwani naturally ,hujuma na ubadhirifu ,na nia ya umalaya wake km silaha ya kuangamiza taifa..itammaliza mapema kabisa kabla mijinga ya CCM haijampa nafasi ya kuua taifa..Naamini kabisa kagame anaona jinsi gani miccm ilivyo mijinga,mikanjanja, mibabaishaji, na inayotoa majigambo ya bure..km Lissu na CDM wanavyoiumbua kila siku kwa miataarifa yao ya uongo hata pale inapoweka taifa hatarini kwa kutowajibika..na huyu jamaa unaweza shangaa sana kuwa si mkongo..akawa mnya rwanda,mrundi etc huwa ni watu wa kubadili sana uraia ktk huo ukanda for convenience....na anaweza kuwa kazi yake ni kuipotosha misomi ya TZ kwa miaka kadhaa..nchi inaangukia mikononi kwa wale tuwaoanao kuwa wanyonge leoHupenda kutembea na wanachuo wanaenda kigoma kufanya TP kigoma. Kuna mwaka nilienda na demu wangu A.K akawa anamtolea macho. Huyu Dr ni majanga na ni muhuni asiyejiheshimu
Vilaza wanawatoa jasho hivyo..mpo tayari kuuza nchi ili kuwapiga vita....wametoa wabunge wengine ktk list ya vilaza ila wakifika Bungeni ..basi MCCM yote huwategemea na kuwapa majukumu kwa fujo....labda akawanie ubunge kwa vilaza moshi marangu au machame
upuuzi tu mnasakama bure Dr.Francis kwa sababu kawakuna
Heshima yake inajulikana duniani kote! Ni upotoshaji mkubwa na unafanywa na magamba.
watanzania tunapenda kujadili mtu pasipo matatizo yanayowahusu watanzania. .Dr.Francis ni mtu makin sana
kwani Mtu kuwa Mtt wa Kiongozi ndyo umtusi Ndg William J.Malecela ametoa ufafanuzi mzuri tu
Toka kujiunga mwaka juzi kafikisha posts nne na zote zamtetea Dr. Francis (Francis who?) Kweli JF inafurahisha, kuna mada zaweza kumtoa hadi nyoka pangoni!jibu hoja kwa hoja na si kebehi na matusi William J.Malecela ametoa ufafanuzi mzuri wa kina tu nawe jibu kwa hoja
Mbona wanawake wote wenye ukaribu na wewe hawaoni aibu kunigombania....muulize mke wa baba yako.we chaga jinga unawaaibisha wachaga wenzio
Haha..kujita mkatoliki au hata kuwa mkatoliki hakuthibitishi kuwajibika kwako ktk ukatoliki...km wewe ni mkatoliki basi ungekuwa umeona hao unaowatetea wamefikia wapi ktk kuushambulia ukatoliki.....Utakuwa USEFUL .....i.........di....e alifuta siafa..ot...km Kingunge..kingunge alifuta siafa za kijinga, akatafuta visingizio vya kusupport hao ndugu zako....ili apate mamlaka akajidai kuwa ucommunist umemkaa na hivyo kuwa Atheist..akajidanganya sana na kuishia kumtoa mtoto kafara...porojo zipi nimetoa na wewe umetoa fact gani zaidi ya kuslam na kujipa upande wa kuhukumu, na upande wa usahihi...?unajichanganya hapa tuu hapa km wale wajinga wenzio wanaodhani wakianza sema hawana dini,timu sijui kabila..kutawapa uzito wa kuonekana wakweli..au wajuaji...logic ya nyumbu ,tena aliyeliwa ubongo na funza na tayari kaanza zunguka km pia.Una matatizo ya akili wewe aliyekwambia mimi muislam nani? Mimi ni Mkristo Mkatoliki sasa naanza kupata picha kwanini ndugu zetu waislam humu wanakulalamikia kuwa wewe ni Mdini na inawezekana ni kweli kabisa unamsema Pro Horoub Othman kwasababu ya dini yake hujatoa fact hata moja ya kumdis zaidi ya porojo tu
Haha,,ila MIT, YALE,Harvard..hatoki mjinga labda wale wa promo za kusaidia nchi masikini..ambao hufanana sana na PHD za heshima kwani huingiwa kwa minimum.ila mwisho wa siku nao huwa fiti kw akukutana na supervisors dedicated na wenye mifano mizuri..wengi hao ndio huja kuharibika baada ya miaka kw akuwa ktk siasa km akina Diallo,Simbakalia etc..sas huyu bogus yupo ktk academic institution ina maana hayo masomo ya mashairi kayarudia sana ..ila ndivyo unavyomuona..Kakosa Ethics na Values, kakosa kuwajibika.....na kuishia kupoteza consictency..na hivyo kuwa unreliable.Tatizo waafrica wengi hupend akuamini na kuendelea amini walichokwisha amini hata imani ikipotea..Ndio maana watu humu wanaumia vichwa sana kujaribu assume heroes wao/mitume wao wana kinga ya dhambi za wazi walizofanya.Sasa vigezo hivyo unaona vipo sawa kaka kwa vyuo ulivyotaja kama daktari huyo mtoa mada akiwa sampo!!!!!! Ndo maana nikasema ni kazi binafsi ikichagizwa na msimamizi na rasilimali!!!!!! Kilaza hata umpeleke YALE ataishia kutoa macho tu!!!!!!!
Aha wehu wewe...wambulu si waarabu km unavyodhani ....kuna waarabu waliobaki km mabaki mengine ya waarabu ya kule Kilosa, ifakara kimamba tabora etc..na hivyo wachache watakuwa wamezaana na waarabu, ila wambulu wenyewe wana ukaribu na watuw a ethiopia...ambao nao wana damu za Kiyahudi,kiafrica, kiarabu ,kiitaliano etc...warangi wanaweza kuwa na uarabu kuliko hata wambulu waliokaa mitaa iliyolea waarabu wanaozaa hovyo,au hata waburunge.....soma historia vyema....- Sasa wewe kweli unaweza kusimama na kusema Dr. Slaa ni Mtanzania? sio Mwarabu? Karatu kumejaa waarabu kibao mbona hilo husemi? Le Mutuz System
Sasa km hao unawasifia na mivyeti yao hawajapita test ya COMMON SENSE wewe ,kilaza wao na usiye na vyeti km vyao.sidhani km utakuwa hata na chembe ya IQ ya kuweza wapima ..........Nadhani ungeenda mbali ukajiuliza shid anini nini?ni yeye ku undergo halflife..na degradation, ni matatizo ya chuo akifundishacho au nini sumu ya CCM..ila si kukataa shida yake....ndipo maccm mnapokuwa km nyumbu walioliwa ubongo na funza..- Chadema nzima na UKAWA hakuna msomi kama Dr. Fransic, I mean hivi kweli Lipumba anaweza kusimama mbele ya wasomi akasema yeye ni msomi kwa kumshauri uchumi Rais Mwinyi? Dr. Slaa ana PhD ya nini eti? Sasa kuacha hao nani msomi huko Chadema/Ukawa? Wote wamekimbia umande leo mna hata ubavu wa kuuliza CV ya Dr. Fransic? Please!! Eti huko UKAWa nani ni msomi? - Hebu wekeni CV yaKE HAPA TU9ONE!! lE mUTUZ sYSTEM
Haha..hata uozo wake pia unajulikana dunia nzima.Ukianza na watanzania walipo duniani kote, halfu na wasomi wanaoweza shangaa logic yake, values anazoamini, na km ana civilization yoyote, au hata km ana course yoyote nzuri kwa human kind anaamini na ku persue.Heshima yake inajulikana duniani kote! Ni upotoshaji mkubwa na unafanywa na magamba.