CV ya Dr. Francis

CV ya Dr. Francis

- Yaaani MWalimu wa Chuo Kikuu kama UDSM unaweza kumlinganisha na nani huko Chadema? Hao watoto wa Vigogo sio mimi kaka nimeenda majuu nimejisomesha mwenyewe, pole sana!1

Le Mutuz System

Ndio aseme reli ya Tanga itajengwa kwa kiwango cha lami? Hebu mtafakari tena huyu jamaa.
 
- Yaaani MWalimu wa Chuo Kikuu kama UDSM unaweza kumlinganisha na nani huko Chadema? Hao watoto wa Vigogo sio mimi kaka nimeenda majuu nimejisomesha mwenyewe, pole sana!1

Le Mutuz System

Mmh we umesoma kitu gani? Nina wasiwasi na elimu yako, cos unaonyesha kichwani hamna kitu kabisa uko kama mburula fulani. Kama kweli we ni msomi basi hujaelimika.
 
Nyie watu wa Ukawa sijui mmesoma hata hya la saba au vp!Sugu huwa anaongea pumba bungeni hadı Wabunge wake wanamcheka.Spika mara nyingı huwa hajishughulishi na Sugu.Elimu ni zaidi ya hayo unayoyataja, ni pamoja na wingi wa maarıfa.
 
Usije kushangaa ukisikia ndio mrithi anayeandaliwa kuchukua mikoba ya Mkandala....maana hii nchi maajabu huwa hayaishi
 
Maneno ya watu waliokimbıa umande haya,Mbona Kishmba hajasoma lakini tajiri,Mbona Bharesa hajasoma lakn hv na Sasa utawasıkia mbona Sugu hajasoma lakini Mbuge!!Shame on you, itafute elimu!Sugu anaelekezwa km mtoto bungeni,hawezi kujenga hoja mwenyewe.
 
Wajinga hujishughulisha na habari za watu wengine! Tunahitaji mada za maendeleo hapa acheni kutumia jf vibaya
 
Ila hata kama huyo dr.hivi kweli yawezekana reli kujengwa kwa kiwango cha lami?na akarudia tena.si kwamba alikosea bali alimaanisha.
 
ndio mfano bora wa propagandist...mfano bora wa mouth piece ya akina ghaddafi, siasa za middle east,wahubiri wa unyanyasaji na harakati za kiislam, mabingwa wa kugeuza matukio y akigaidi ya kiislama ktk hii nchi kuwa y akihalifu au watu wasiojulikana.Mabingwa wa kupigana vita ya kidini kw akisingizio cha ukoloni,ubepari etc. Huyo boya kwa kutojielewa na kuwalewa matakataka mengine waliopewa sifa nyingi km JK kablaya kuchaguliwa n akupewa sifa y amatumaini ya watanzania ili kuhsinikiza fikra za watu kumchagua..Km Kinana na uovu wake kupigia upatu kuwa bingwa wa siasa za nchi, sijui kiungo kizuri cha CCM ..huku sasa hivi anafuel CCM kufanya kazi za wanaharakati. Anachofanya huyu boya ni ushetani wa UDSM kutumika....ili wapandishwe umaarufu haraka ktk matukio,midahalo na upuuzi mwingine ili aanze itwa gwiji..

Haroub Othman usimuingize kwenye siasa zako za maji taka. Kama una chuki na dini za watu kuwa wazi sio ku attack mtu fulani.
 
worse PHD ni ya UDSM....matakataka yaleyale ya akina haroub othman.
wewe kijana kuwa na hekima pamoja na heshima kwa wazee wako. Unasema matakataka ya akina Haroub Othuman ukiwa na maana gani? Ulikuwa ukimfahamu Prof. Haroub wewe?
 
Ndugu yangu yapo mambo mengi ya kujadili kwenye jf ya kujengana na ya maendeleo kwetu kuliko kujadili mambo ya mtu. Hebu lete mada nyingine nzuri kwa faida ya wengi kama sio wote na Mungu atakubariki
 
Back
Top Bottom