OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
namjua mkuu... ni njaa kali anatafuta pa kutokea
Daaanh taratibu jamani!!!!
Hivi Sinza karibu na Lion Hotel alihama???
namjua mkuu... ni njaa kali anatafuta pa kutokea
haha..anaweza kuwa na km ya magufuli.....Ha ha haaaaaaaa usimtusi mwalimu aseeeee!!!!!!! Ati data storage yaaani huyu kawa na capcity gani sasa 1tera au????
Kwani kufundisha vyuo vya TZ ni ngumu....chukua mtoto wa form mwenye kujiamini n amwili mkubwa kidogo..mpe skills kwa dk 5 mwambie akingie kufundisha 3rd class mlimani km hakufundisha....unawapa syllabus, unasoma desa, anawapa ref anatangaza paper ....watakimbizana kuiba paper, watakariri paper za nyuma.....siku inapita.Tutorial mtu mwingine.....jamaa alitufundisha HR UDSM
Thibitisha!!Huyu jamaa ni mkongo, jina lake ni Kasavubu. Kuna wanafunzi wengi sana amefanya nao ngono ili waweze kufaulu. Mkihitaji uthibitisho tutaubandika hapa hapa jukwaani
Ila umewahi jiuliza anavyowapiga chini wengine kwa kudai kuwa shule za kuungaunga si viwango vyake...umejiuliza kwanini hata hiyi nayo anai abuse...?Semeni yote tuyajue vema......lakini elimu ya kuungaunga'si ndio safi jamani coz inakuwezesha kupitia experience tofauti na kukufanya uwe perfect zaidi......sioni.ubaya wa yeye kusona kwa'style hiyo..atkeast anapata cha kusimulia......jadilini hoja za msingi za kujenga na kuleta tija na ustawi kwa taifa letu achen kujadili maisha ya watu binafsi
Hivi kumbe wasomi km hao ni too local eh.hawana hakika za elimu yao kukubalika popote....ndio maana wananunulika km condom tuu..hawana ubunifu wa kutengeza hela.Ndio maana akina shigongo , na watoa mada wengine wanauza sana kuliko haya mapimbi ya UDSM.....machokoraa wanatuongoza, na machinga ni zaidi ya roll model ktk hii nchi.....so usishngae wanokwenda china ,honk kong, turkey, france italy etc si wasomi..ila BOT wanahesabu Forex..machokoraa wanaonyesha kuwa wanaweza leta kombe, hata urembo tumeletea na akina Na yule dada odemba ambaye hakuwa hata anajua kusalimia kiingereza, hadi alipokua haribiwa na maCCM....hii nchi kufanikiwa ni bor aukakwepa sana UDSM...ukakwepa sana akili za CCM bila hivyo utabaki kuwa local....wapo watu wengi sana wanasema UDSM ni miserable ktk mindset..na hata ktk interview si watu wazuri kuwakuta..watakuuliz aujinga tuu na kukatisha tamaa....na sasa hivi.kashavuta mshiko subiri arudi chuo muone hizo nyodo...
JF siyo Mr Punch tafadhali!Huyu jamaa ni mkongo, jina lake ni Kasavubu. Kuna wanafunzi wengi sana amefanya nao ngono ili waweze kufaulu. Mkihitaji uthibitisho tutaubandika hapa hapa jukwaani
Thibitisha!!
Unadhani misifa ya Kimarangu km ya kihaya+ kiherehere cha wamarango ni kibaya mbaya..mrema hakuwa kiongozi mzuri ila kihehere...si tofauti sana na mbatia..ingawa mbatia anapenda kusoma sana..na sasa ana motivation aya kusoma vitabu baada y amaukio fulani yaliyowasomba watz na maCCM ambayo ukiyatime ktk matatizo wasiyo na majibu huwa wanakuachia ,ukisolve tayari wanakuingia ktk list ya roho zao...Sasa mbatia ndipo alipopatia exitements..ila naturally ni jamaa mnoko kwelikweli na si msikivu kihivyo...ndio typical patterna ya watu huko.So na huyu kenge kwa sifa za asili+ukijumlisha kujidanganya kwa UDSM kuwa ni mojawapo ya vyuo bora nchini kwa kazi za propraganda irrational reasoning lazima ajiamini kuwa nakwenda mwaga nondo Dodoma...Ukimkuta huyo Kasavubu kwenye "Industrial Relations and Labour Law" ana pozi na misifa utamkoma!!!!!
Mwalimu, sababu ya kuandika yote haya ni ipi hasa?....NB: Hii nilmeiweka pia kwenye uzi wake mwingine. Mods tafadhalini unga hizi threads
Francis Michael Kasab(v)ubu Ntiriniga
1. Inabidi kufahamu historia yake vizuri. Kuanzia tu akiwa mwanafunzi UD. Alikuwa na tuhuma nyingi sana za ukosefu wa maadili...waliokuwa wazee wa pale miaka hiyo wanakumbuka. Anayeweza kupekua faili lake la uanafunzi anaweza kuleta taarifa zaidi hapa
2. Kwa chuo chenye heshima asingestahili hata kuajiriwa kwa kashfa alizokuwa nazo. Sio mtu wa kuaminika kwenye lolote...sketi, pesa, mawazo, taarifa...Ni mbaguzi, anadharau sana hata kwa wafanyakazi wenzake
3. Hajatumwa na UDAS. Inasemekana alichakachua mchakato wa kupata wajumbe, akajichagua akaenda Dodoma
4. Anawasiliana na Lumumba kwa ukaribu wa ajabu...aliyoyaongea leo sio mapya kwa wanaomfahamu. Ila amejifunua zaidi kwa Watanzania na kuaibisha wenzake
5. Usishangae akapewa nafasi kubwa ... Watu kama yeye ndio wanaopendwa na watawala. Wanafaa kutumika kirahisi. Anatamaa ya madaraka, na anweza kuua mtu ayapate
6. Listi ni ndefu...ongezeeni wengine
Kumjengea CV mwanafunzi wanguMwalimu, sababu ya kuandika yote haya ni ipi hasa?....
OK.........................Kumjengea CV mwanafunzi wangu
PhD mkuu ni kazi binafsi na supervisor na access ya material kuliko ulipo!!!!
Ni mtumwa sana wa umarekani hasa kwnye kutamka maneno.
Namkumbuka sana kipnd hicho udsm ana masifa sana
duh..dr.fransis atajuta kuwa mwenyekiti wa kamati. watu watamchunguza mpaka na mahawara zake wote..hahaha hii ndio siasa za tanzania