wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,829
Empty brain ni kutolea mfano serikali ya JK.
Empty brain ni kudhani serikali ya Jk na Magu ni tofauti wkt zote ni za CCM na watu wake ni wale wale.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Empty brain ni kutolea mfano serikali ya JK.
Kwa kosa lipi ?
Baada ya kuangalia kipindi cha Straight Talk Africa, ambapo Mh. Tundu Lissu na Balozi Wilson Masilingi walihojiwa, nilishangazwa na jinsi Balozi wetu huko Marekani alivyopwaya na kupata tabu kujielezea kwa Kimalkia na pia kushindwa kudhibiti jazba zake.
Nilidhani pengine ni Kimalkia tu kinamsumbua huyu ndugu yetu, lakini nikagundua kuwa tatizo sio lugha kwani kwenye mahojiano mengine yaliyofanyika kwa kiswahili katika VOA Swahili, hali ni ile ile.
Mbaya zaidi kwenye hii interview ya pili, hata kufuata taratibu ndogo tu za midahalo ya kistaarabu hakuweza.
Haya yote yamenipa hamu ya kufahamu safari ya kiongozi wetu huyu na ni jinsi gani ameweza kufika katika nafasi kubwa kama hiyo pamoja na mapungufu hayo.
Hivyo basi, nawaomba wenye ufahamu juu ya elimu na uzoefu wa Balozi Wilson Masilingi atuhabarishe.
Ww Lissu mi mjanja aliamua kuact in professional wayTL mwenyewe alichachawa na kila wakati akimwita a very senior lawyer in Tanzania which means TL na misifasifa yake yote anakubali ni jr kwa mh Masilingi.
Jua kuwa huyo balozi ni wale vichwa Nyerere alituachia katika dakika zake za mwisho wa uongozi wake. Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako.
Weka hizo hukumuWanao ulizia wanaishi dunia ipi zaidi ya dotcom? Watafute kesi na hukumu za huyu mheshimiwa zilivyokuwa vigongo.
Ni kweli mkuu, Lakini huyo ni nafuu humo, kuna wabovu zaidi yake! Huwa najiuliza sijui hao watu walifikiaje hizo nafasi? Au ni mambo ya ubaguzi?🤔Baada ya kuangalia kipindi cha Straight Talk Africa, ambapo Mh. Tundu Lissu na Balozi Wilson Masilingi walihojiwa, nilishangazwa na jinsi Balozi wetu huko Marekani alivyopwaya na kupata tabu kujielezea kwa Kimalkia na pia kushindwa kudhibiti jazba zake.
Nilidhani pengine ni Kimalkia tu kinamsumbua huyu ndugu yetu, lakini nikagundua kuwa tatizo sio lugha kwani kwenye mahojiano mengine yaliyofanyika kwa kiswahili katika VOA Swahili, hali ni ile ile.
Mbaya zaidi kwenye hii interview ya pili, hata kufuata taratibu ndogo tu za midahalo ya kistaarabu hakuweza.
Haya yote yamenipa hamu ya kufahamu safari ya kiongozi wetu huyu na ni jinsi gani ameweza kufika katika nafasi kubwa kama hiyo pamoja na mapungufu hayo.
Hivyo basi, nawaomba wenye ufahamu juu ya elimu na uzoefu wa Balozi Wilson Masilingi atuhabarishe.
Hizi stori za kizamani sana hazina maana karne hii. Unataka kusema anamzidi Propesa?Jua kuwa huyo balozi ni wale vichwa Nyerere alituachia katika dakika zake za mwisho wa uongozi wake. Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako.
Ni kweli kabisa, waliojaa humu JF mambo ya awamu ya kwanza na ya pili hawawezi kuyafahamu kwa undani.
Hahahahaahaa so sadHahah na kuna watu wanakwambia huyo balozi ni mwanasheria Genius kwa hapa Tz.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli mkuu, Lakini huyo ni nafuu humo, kuna wabovu zaidi yake! Huwa najiuliza sijui hao watu walifikiaje hizo nafasi? Au ni mambo ya ubaguzi?🤔
Historia ipi ?masilingi ni genius ameacha historia pale washington university marekani
Out of the topicUchochezi wa TL umetupelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe. Tumeanza na vita vya maneno mitandaoni. Tukikutana uso kwa uso ni ngumi kama ilivyotokea kwa yeye TL na Masilingi. Akitugaia bunduki ndio kabisa vita ya risasi na mitutu ya bunduki. Ndio maana tunawahimiza wenye dhamana ya chukua hatua za makusudi kudhibiti huyu jamaa wafanye hivyo bila kuendelea kuchelewa. TL anatamani siku moja Watanzania walio wengi wafate mkumbo wake na watembelee gongo kama yeye.
Sio kweli kama watu ni wale waleEmpty brain ni kudhani serikali ya Jk na Magu ni tofauti wkt zote ni za CCM na watu wake ni wale wale.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hujasaidia kujibu na au unakubaliana nami kuwa siyo competent kwenye fani yake mwenyewe! What to do with seniority!? Haibadili lolote siyo? So hoja yako ni mfu!TL mwenyewe alichachawa na kila wakati akimwita a very senior lawyer in Tanzania which means TL na misifasifa yake yote anakubali ni jr kwa mh Masilingi.
Jifunze kutofautisha basi ili twende sawa. Kwanza ni vyombo viwili tofauti vya habari na pili waongoza mdahalo ni watu tofauti na ndio maana hata maswali yaliyoulizwa BBC hayakuulizwa voa!mbona hard talk ya lissu hamkuizungumzia/wakati na yeye alipuyanga.
Ha ha ha ! DohBinafsi Nampongeza Balozi, si kazi ndogo mchana kweupe kutetea rangi nyeusi,kuwa ni nyeupe.
Sent using Jamii Forums mobile app