CV ya Balozi Wilson Masilingi

CV ya Balozi Wilson Masilingi

TL mwenyewe alichachawa na kila wakati akimwita a very senior lawyer in Tanzania which means TL na misifasifa yake yote anakubali ni jr kwa mh Masilingi.
Hapo ndipo anaposhindaga TL kamheshimu in terms of age na utangulizi kwenye fani ya sheria lakini kwenye hoja alikalishwa mpaka anataka kupigana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Angle zipi hizo?? Unalinganisha kichwa na Nazi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuwa Mimi ndo huyo balozi aiseee hata kwa kutumia greda siendi kukutana na lissu !

Maswali ya kuaibika dunia nzima mi siwezi bora nife walahi
 
Angalia na saikolojia yake Kuna watu huwa sio waongeaji hivyo akikutana na muongeaji lzm apigwe chini hii hali ipo kimakundi fatilia sayansi ya saikolojia huyo balozi mnamuonea bure tu hawezi kushindana na lisu hasa kama hana taarifa za kutosha juu ya tukio la lisu
Balozi ni kilaza hajielewi kabsa
 
Hii issue ya Lissu ni ngumu kwa yeyote yule except kwa aliyetoa order ya ule unyama na waliotekeleza.. Balozi alijitahidi kadri ya uwezo wake!
 
Wengi wameshindwa kuwa na moyo aliokuwa nao Masilingi. Kwenda kubishana na Lissu kwenye chombo cha habari cha kimataifa, tena ughaibuni, kwa lugha ya kingereza, mtangazaji na mgeni mwalikwa mwenzio wote wako dhidi yako. Yataka moyo
".....mtangazaji na mgeni mwalikwa wote wako dhidi yako...", umetumia akili nyingi kuliona hilo. Shaka mpaka sasa Uganda huingia kwa kunyemelea kutokana na propaganda zake dhidi ya Afrika kupitia VoA. Msilingi alijikuta katikati ya vibaraka wawili wa mabeberu na shahidi(kiranja)mmoja.
 
Masilingi kafanya vizuri sana na kamuonesha Lisu alivyo muongo sema , ni kwa kuwa watu wana upande kabla ya mjadala ndio maana wana payuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajua ukweli kwamba Lissu alibanwa ndio mana haja trend kama alivyokua akiongea peke yake kule BBC
Lissu angekuwa peke yake kwenye mdahalo ingekuwa fursa ya kufunguka anavyotaka lakini uwepo wa Masilingi umefanya mjadala uegemee kwenye counter attack za Masilingi na mwisho ile impact imekuwa diluted to satisfactory level. Shortly swala limebaki na utata ule ule hadi Polisi watapotoa taarifa yao baada ya uchaguzi.

Ni sawa na sisi Simba tulivyokuwa na high percentage ya ball possession kwenye mechi dhidi ya AS Vita lakini tukala tano, usipojua lengo hutafikia lengo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushirikiano upi?mlishindwa kwenda kumhoji Hapo Nairobi,mmeshindwa kutumia INTERPOL kumhoji huko Brussels,mligoma vyombo vya kigeni kuja kuchunguza wkt kipindi kile cha JK Serikali ilikubali FBI waje nchini kwny lile sakata kule Zanzibar(au ulikua bado mdogo hujui hata kilichokua kinaendelea)?

Hahah kama CCTV tu mizinguo ije kua simu ya dereva wa lissu?empty brain.




Sent from my iPhone using JamiiForums

Empty brain ni kutolea mfano serikali ya JK.
 
Nilicheka sana ile interview. Eti lissu wewe ni mdogo angu, lissu alichomjibu aibu niliona mimi

Ifike mahali watu wamuache lissu kutafuta kuumbuka tu
😂😂😂😂😂 Lissu ile kichwa ni automatic ndio maana jk alisema Bora Dr silaha awe Rais kuliko Lissu kwenda Bungeni!
 
Back
Top Bottom