Nnyindojihadini
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 643
- 437
Kwani junior na senior unaelewa maana take nini?
Naelewa swali hili limeulizwa na anayetumia akili za makalio.
Kwani junior na senior unaelewa maana take nini?
Sidhani kama ana muda mrefu kwenye hicho cheo. JPM atakua anaanda mrithi wake.Huyo Masilingi alikuwa enzi hizo kwa sasa ni outdated. Ukiona mtu umri umeenda anapaka nywele dark &lovely jua huna mtu hapo.
Hiyo sio hoja bwana, wewe vipi. Yaani kufunga watu jela ndio umekuwa "Legend". Je kama aliwaonea. Your reasoning reflects shallow thinking and I wish you didn't post this.Jua kuwa huyo balozi ni wale vichwa Nyerere alituachia katika dakika zake za mwisho wa uongozi wake. Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako.
Uchochezi wa TL umetupelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe. Tumeanza na vita vya maneno mitandaoni. Tukikutana uso kwa uso ni ngumi kama ilivyotokea kwa yeye TL na Masilingi. Akitugaia bunduki ndio kabisa vita ya risasi na mitutu ya bunduki. Ndio maana tunawahimiza wenye dhamana ya chukua hatua za makusudi kudhibiti huyu jamaa wafanye hivyo bila kuendelea kuchelewa. TL anatamani siku moja Watanzania walio wengi wafate mkumbo wake na watembelee gongo kama yeye.
Empty brain ni kudhani serikali ya Jk na Magu ni tofauti wkt zote ni za CCM na watu wake ni wale wale.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sidhani kama ana muda mrefu kwenye hicho cheo. JPM atakua anaanda mrithi wake.
Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
kipindi kilikuwa cha pwagu vs pwaguziBaada ya kuangalia kipindi cha Straight Talk Africa, ambapo Mh. Tundu Lissu na Balozi Wilson Masilingi walihojiwa, nilishangazwa na jinsi Balozi wetu huko Marekani alivyopwaya na kupata tabu kujielezea kwa Kimalkia na pia kushindwa kudhibiti jazba zake.
Nilidhani pengine ni Kimalkia tu kinamsumbua huyu ndugu yetu, lakini nikagundua kuwa tatizo sio lugha kwani kwenye mahojiano mengine yaliyofanyika kwa kiswahili katika VOA Swahili, hali ni ile ile.
Mbaya zaidi kwenye hii interview ya pili, hata kufuata taratibu ndogo tu za midahalo ya kistaarabu hakuweza.
Haya yote yamenipa hamu ya kufahamu safari ya kiongozi wetu huyu na ni jinsi gani ameweza kufika katika nafasi kubwa kama hiyo pamoja na mapungufu hayo.
Hivyo basi, nawaomba wenye ufahamu juu ya elimu na uzoefu wa Balozi Wilson Masilingi atuhabarishe.
Ww Lissu mi mjanja aliamua kuact in professional way
Hapo ndipo ELIMU YA DANGANYIKA ilipofikishwaKwa CCM, CV doesn't matter at all, na ndio maana huwezi kutofautisha anapoongea mtu kama Kibajaji aliyeishia Darasa na Nne na Profesa X aliyebukua mabuku yote hadi yakawa yanakimbia pindi yakimuona!!
Hizi stori za kizamani sana hazina maana karne hii. Unataka kusema anamzidi Propesa?
Kashatumbuliwaaa!!!!Masilingi ana u genius gani bhana...!!!
Ndugu zangu, hiyo mlioiona ndio hulka ya viogozi wa sasa walioko madarakani, hamna cha kushangaza. Rais, wakati anaomba urais alipiga push-up kwa wingi. Hii inawakilisha nini? Misuli na matumizi ya misuli ni nini? Mheshimiwa Job Ndugai alimpinga mgombea mwezie hadjarani hadi akazimia, CCM ikampitisha kuwa mgombea ubunge na akapewa promotion kwa kuteuliwa kuwa spika. Mhe. Tundu Lissu ali[powazidi kwa hoja Bungeni, wakamsubiri atoke nje wakampiga risasi nyingi kuliko alizowahi kupigwa tembo. Ben Saanane alipowasema sana wakampoteza hadi leo sio mwili au nguo alizokuwa amevaa zimeonekana. Na nina uhakika kama mahojiano yangefanyika Tanzania Mhe. Masilingi angepigana.Nilifuatilia ni kawa na shaka sana kuwa katika shule alizopitia hakuwai kuendesha,kuchangia na kusikiliza midahalo mbalimbali kujifunza jinsi ya kujipanga na kuanda data za kutosha pale unapokabiliwa na maswali yenye hoja nzito kama za lissu japo ni yakawaida ila kama balozi wa Tanzania to USA alitakiwa awe amejihanda kwa hili najua ni mzee na binafsi na muheshimu kam mzee na mtu mwenye elimu kubwa tu ila ushauri angetafuta njia nyingine ya darkness njee ya kisiasa kukwepa kujivua nguo na kuidhirisha dunia kuwa anayodai mh tundu antipus lissu ni huhakika usio na uwalakini
Ijumaa njema wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Out of the topic
Tatizo tukio l4le la kikatili limechezwa kipumbavu kiasi kwamba mtu yeyote mwenye akili timamu utapata tabu sana kulijibu au kulitetea.Angalia na saikolojia yake Kuna watu huwa sio waongeaji hivyo akikutana na muongeaji lzm apigwe chini hii hali ipo kimakundi fatilia sayansi ya saikolojia huyo balozi mnamuonea bure tu hawezi kushindana na lisu hasa kama hana taarifa za kutosha juu ya tukio la lisu
to me balozi alijitahidi kuisemea serikali nyeusi kuwa ni nyeupe!Binafsi Nampongeza Balozi, si kazi ndogo mchana kweupe kutetea rangi nyeusi,kuwa ni nyeupe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasaidia kujibu na au unakubaliana nami kuwa siyo competent kwenye fani yake mwenyewe! What to do with seniority!? Haibadili lolote siyo? So hoja yako ni mfu!
Balozi anataka kutumbuliwa uyo wenzake wanaingia mitini yeye anajipeleka mbele lisu anadhani atamfurahisha jiwe, mtu ambaye anaweza kukaa na lisu na kumfurahisha jiwe ni mtu ambaye bongo lala ajui kureason yani mlopokaji mlopokaji mfano bashite na ndungai hao ndio wanaweza mfurahisha jiwe maana watatoka nje ya madam nakuanza matusi kejeli na kebehi sasa balozi msomi hawezi zaidi atatumbuliwa tu save the dat e miezi sita haipiti anatumbuliwa sababu kashindwa muattack lisu[/QUOT
Kashatumbuliwa.we jamaa noumaa!!!Balozi anataka kutumbuliwa uyo wenzake wanaingia mitini yeye anajipeleka mbele lisu anadhani atamfurahisha jiwe, mtu ambaye anaweza kukaa na lisu na kumfurahisha jiwe ni mtu ambaye bongo lala ajui kureason yani mlopokaji mlopokaji mfano bashite na ndungai hao ndio wanaweza mfurahisha jiwe maana watatoka nje ya madam nakuanza matusi kejeli na kebehi sasa balozi msomi hawezi zaidi atatumbuliwa tu save the dat e miezi sita haipiti anatumbuliwa sababu kashindwa muattack lisu
Tofauti na Mtazamo wako....Balozi alikabili vilivyo uzushi uliopitiliza wa Lissu.Amesaidia kuwafahamisha walio nje ya nchi uhalisia wa mambo kama vile Ukweli kuwa akina Mbowe hawajafungwa gerezaani kama anavyodanganya... hao wamelundikwa mahabusu tena kwa kosa la kukiuka masharti ya dhamana, kwa kesi ya jinai na si ya kisiasa. Kuwekwa mahabusu na kufungwa ni mambo mawili tofauti. Big up Masilingi.Baada ya kuangalia kipindi cha Straight Talk Africa, ambapo Mh. Tundu Lissu na Balozi Wilson Masilingi walihojiwa, nilishangazwa na jinsi Balozi wetu huko Marekani alivyopwaya na kupata tabu kujielezea kwa Kimalkia na pia kushindwa kudhibiti jazba zake.
Nilidhani pengine ni Kimalkia tu kinamsumbua huyu ndugu yetu, lakini nikagundua kuwa tatizo sio lugha kwani kwenye mahojiano mengine yaliyofanyika kwa kiswahili katika VOA Swahili, hali ni ile ile.
Mbaya zaidi kwenye hii interview ya pili, hata kufuata taratibu ndogo tu za midahalo ya kistaarabu hakuweza.
Haya yote yamenipa hamu ya kufahamu safari ya kiongozi wetu huyu na ni jinsi gani ameweza kufika katika nafasi kubwa kama hiyo pamoja na mapungufu hayo.
Hivyo basi, nawaomba wenye ufahamu juu ya elimu na uzoefu wa Balozi Wilson Masilingi atuhabarishe.