Ongeza na hili:
Alibisha sana juu ya hoja aidha Freeman Mbowe na Esther Matiko kuwa "there are in prison because of sedition offenses"
Yeye bwana yule pasipo hata kufikiria akasema "they are not in prison........"
Mtangazaji akam - interrupt kwa kumshona swali muunganisho...
"So, you mean, they are free, Mr Ambassador?"
Mr Mashilingi akajibu:
"No, they are in ruman😛😛😛😛😛!!"
Kule kwenye mahojiano ya Kiswahili, nadhani kungekuwa na muda wa kutosha zingeweza kupigwa ndani ya studio!!
Ilifika mahali Tundu Lissu akamuwakia Masilingi kwa kutetea ujinga wa kung'ang'ania eti aende nyumbani akahojiwe hata kuuliza uanasheria wa Mashilingi:
"Wewe ni mwanasheria wa wapi balozi usiye jua kuwa ipo sheria ya mtu yeyote kuhojiwa po pote ?
Kwa kifupi TL yuko very smart. Huwa wanajaribu kumwingiza kwenye 18 zao, lakini anaukwepa mtego huo na hivyo kubaki wanaelea hewani!!