Nnyindojihadini
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 643
- 437
Hapo ndipo anaposhindaga TL kamheshimu in terms of age na utangulizi kwenye fani ya sheria lakini kwenye hoja alikalishwa mpaka anataka kupigana
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchochezi wa TL umetupelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe. Tumeanza na vita vya maneno mitandaoni. Tukikutana uso kwa uso ni ngumi kama ilivyotokea kwa yeye TL na Masilingi. Akitugaia bunduki ndio kabisa vita ya risasi na mitutu ya bunduki. Ndio maana tunawahimiza wenye dhamana ya chukua hatua za makusudi kudhibiti huyu jamaa wafanye hivyo bila kuendelea kuchelewa. TL anatamani siku moja Watanzania walio wengi wafate mkumbo wake na watembelee gongo kama yeye.

