CV ya Balozi Wilson Masilingi

CV ya Balozi Wilson Masilingi

Jua kuwa huyo balozi ni wale vichwa Nyerere alituachia katika dakika zake za mwisho wa uongozi wake. Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako.
Asante kwa taarifa hii, lakini basi toka takwimu ili tuwe na hakika kwamba hutudanganyi. Maana wengine twapenda kufanya kross reference in tujiridhishe. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unajua hoja hazina majibu kama balozi unaenda kufanya nini?
Ugike wakati watubwaache njaa kisa kuogopa kutumbuliwa na mkulu eti anaenda kumtetea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa siamini kama yule ndio Balozi anayewakilisha nchi pale US.

Achana na mambo ya Lugha, hoja hana kabisa yani ni mweupe kichwani na sijui alikubali vipi kwenda kujiabisha pale kwa TL.

Hebu angalieni basi hata watu mnampekea Lisu infact sijui kama yuko huko CCM.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule balozi wa nyumba kumi,amelidhalilisha taifa,na pale amemkuta Lisu ametoka wodini na akili yake bado ina usingizi wa madawa ya operations,
Kama ingekua sio hivyo sijui hali ingekuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikio la kufa sikuzote halisikii dawa watu walitoa maoni yao hapa JF wakaonya ccm kutokumjibu Lissu wengi walisema hoja zake hazijibiki ccm wakaleta ubishi wakasema zinajibika tutawatuma ma-Pof na ma- PHD Watu kasema mnaenda kujipaka kimba bora kumucha Lissu aonge mwenyewe kua wavumulivu dawa iwaingie wakakataa sasa yakowapi Balozi kasaidia kitugani kama sio kuibu hoja mapya
 
Wengi wameshindwa kuwa na moyo aliokuwa nao Masilingi. Kwenda kubishana na Lissu kwenye chombo cha habari cha kimataifa, tena ughaibuni, kwa lugha ya kingereza, mtangazaji na mgeni mwalikwa mwenzio wote wako dhidi yako. Yataka moyo
Kwahiyo mkuu unataka kuniambia kuwa balozi alijilipua kwelikweli hahahahhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanyi hamtaki kuulizwa CCTV iko wapi?


Sent from my iPhone using JamiiForums

CCTv inasubiria wahanga wstoe ushirikiana sio kukimbilia ughaibuni. Ndg wa Dewji wslitoa ushirikiano na majibu chanya yakapatikana.

TL atuambie katika utafiti wake alioufanya na kuaminisha watu amejua simu ya dereva wake iko wapi?
 
Back
Top Bottom