CV ya Balozi Wilson Masilingi

CV ya Balozi Wilson Masilingi

Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Alipwaya pakubwa sana na nitakuonyesha kaeneo kadogo tu, pale alipoulizwa kuwa nchini Tanzania kuna subjects au citizens? Mbona hakujibu badala yake alijumauma! Angle nyingine ni pale anapoitetea mahakama kumnyima mtu dhamana kww makosa yanayodhaminika licha ya kuwa yeye ni mwanasheria. Kiukweli hakuwa size ya Lissu na kiuhalisia wanaowatuma wanaichora nchi ni bora wakubali na kuomba po!
 
TL mwenyewe alichachawa na kila wakati akimwita a very senior lawyer in Tanzania which means TL na misifasifa yake yote anakubali ni jr kwa mh Masilingi.
 
sasa kilichompeka kwenye mdahalo ni nini?? we unajua kabisa huna detais za shambukio nzima then unajipeleka kichwa kichwa ukaumbuke!!

Zile hoja hakuna mwana CCM yeyote anaweza kuzijibu; suala lile halina majibu kabisa.
 
Baada ya kuangalia kipindi cha Straight Talk Africa, ambapo Mh. Tundu Lissu na Balozi Wilson Masilingi walihojiwa, nilishangazwa na jinsi Balozi wetu huko Marekani alivyopwaya na kupata tabu kujielezea kwa Kimalkia na pia kushindwa kudhibiti jazba zake.

Nilidhani pengine ni Kimalkia tu kinamsumbua huyu ndugu yetu, lakini nikagundua kuwa tatizo sio lugha kwani kwenye mahojiano mengine yaliyofanyika kwa kiswahili katika VOA Swahili, hali ni ile ile.
Mbaya zaidi kwenye hii interview ya pili, hata kufuata taratibu ndogo tu za midahalo ya kistaarabu hakuweza.

Haya yote yamenipa hamu ya kufahamu safari ya kiongozi wetu huyu na ni jinsi gani ameweza kufika katika nafasi kubwa kama hiyo pamoja na mapungufu hayo.

Hivyo basi, nawaomba wenye ufahamu juu ya elimu na uzoefu wa Balozi Wilson Masilingi atuhabarishe.

Balozi wetu katika Taifa kubwa duniani na msomi wa sheria anashindwa kutofautisha kati ya Serikali na Taifa
 
Alipwaya pakubwa sana na nitakuonyesha kaeneo kadogo tu, pale alipoulizwa kuwa nchini Tanzania kuna subjects au citizens? Mbona hakujibu badala yake alijumauma! Angle nyingine ni pale anapoitetea mahakama kumnyima mtu dhamana kww makosa yanayodhaminika licha ya kuwa yeye ni mwanasheria. Kiukweli hakuwa size ya Lissu na kiuhalisia wanaowatuma wanaichora nchi ni bora wakubali na kuomba po!
mbona hard talk ya lissu hamkuizungumzia/wakati na yeye alipuyanga.
 
moja ya vitu ya mapungufu niliyoyaona kwake katika VOA part 2 ni kuwa ubalozi kagewa kishikaji tu - huyu jamaa siyo diplomatic kabisa!!
Pia kutetea uongo ni kazi kubwa sana.
 
TL mwenyewe alichachawa na kila wakati akimwita a very senior lawyer in Tanzania which means TL na misifasifa yake yote anakubali ni jr kwa mh Masilingi.

Huku naye balozi kila saa akichachawa kwa kumuita Lissu 'MY BROTHER LISSU'

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hakuwa na majibu alienda kufanya nini sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ka
Wengi wameshindwa kuwa na moyo aliokuwa nao Masilingi. Kwenda kubishana na Lissu kwenye chombo cha habari cha kimataifa, tena ughaibuni, kwa lugha ya kingereza, mtangazaji na mgeni mwalikwa mwenzio wote wako dhidi yako. Yataka moyo

Kama unazo point za kutosha si hoja, Hakuna Kazi ngumu kama kujibu ukweli
 
Lakini kuupotosha ukweli kuwa uwongo ni kazi ngumu Sana labda uwe na CV za shetani ndio unaweza ukafaulu kubadili ukweli ukawa uwongo, kwa kuwa shetani ni baba wa uwongo.
 
Back
Top Bottom