crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,860
- 2,956
Ni kweli kabisa. Mfano, Lissu alishindwa kuweka wazi; anatuhumu polisi kutohoji yeyote au kutotangaza kuwa wamemhoji nani?Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukiibiwa, kuvamiwa na majambazi, polisi kama wanachunguza hawalazimiki kukuambia nani wamemuhoji.
Mtu ukiiangalia hii issue ki-Simba na Yanga utaona kile tu unachopenda kukiiona.