aisee na chadema kina wangapi zanzibar au nao ndio lengo lishatimia hawana haja na zanzibar?
Tatizo lenu nyinyi ni muungano ili kuweza kuitawala zanzibar na kunyakua rasilimali zake, kamwe hilo halitowezekana kwa kizazi hiki, mukwangwe uchi bungeni lakini mtaimbo umewaganda.
Tatizo kubwa linalo wasumbue eti zanzibar kujitangaza nchi, hivi mulikuwa hamuelewi kuwa zanzibar ni nchi ? Sasa muliiungana na nani kama zanzibar sio nchi ? Ndio mufahamu kuwa zanzibar ni nchi ina mipaka yake na ramilimali zake, hivyo basi rasilimali za zanzibar zitabakiwa kuwa za wazanzibari wenyewe, mukitaka musitake ndo ivyoo, vunjeni huo muungano tugawane mbao.
Ole Sendeka analia bungeni kura ya siri na wazi, ni wazi kwamba hofu yake kurudi kwa Tanganyika, na dhahiri kwamba wanao taka huu muungano ni Watanganyika kutaka kuitawala zanzibar na kuiba rasilimali zake, sasa munatumia vitisho kuwatisha wazanzibari watakao kwenda na msimamo wa DODOMO . Yagujuu
Mamlaka kamili kwanza ya Zanzibar.
P.S
Mujiandae kugawana mikoa, 120 makabila ? Hakutaishi salama ever and never. Soon utasikia mafia nao wanataka kujitenga, Na mkoa wa Tanga nao watataka kurudi himaya ya zanzibar, ,mombasa kenya harakati zimeanza kudai kutaka kujiunga na zanzibar. kazi kwenu.
C programming,yaaani mimi toka nijue cuf...wamekuwa wakipigania......
1.uhuru wa wapemba........
2.sera zao zilijikita katika dini
3.muungano wa uvunjikee.....
Lakini wenzao chadema...muda mwingi wa wanaoutmiaa
1.katika kujenga hoja nzito bungeni......
2.kujenga chama chao....
3.kuunesha nia ya kwenda ikuluuu
Safi sana - inabidi pia Wazanzibar na Wapemba wanaomiliki ardhi bara wanyang'anywe kwani wanamiliki isivyo halali [sheria zetu haziwapi ruhusa wageni kumiliki ardhi na kwa kuwa wazanzibari siyo raia wa tanganyika ardhi yeyote wanayo imiliki Tanganyika wanaimiliki kinyume cha sheria na kama wana hati yoyote ile basi hiyo hati ni NULL & VOID
Kingo,Hapa nilipo kuna jirani yangu ambaye ni mzanzibar pure na anamiliki ardhi ya kutosha. Sasa huu uzi umenifungua macho kuwa kumbe ile ardhi inaweza kuwa yangu muda wowote,ni suala la muda tuuuu. Huyu jirani yangu alishawahi kumkatalia mtoto wangu wa mwanaume alipoenda kuchumbia kwake kwa kigezo cha kwamba suala la kuoleana si la muungano!!!!, kumbe hata ardhi nayo cyo suala la muungano!! Huyu jamaa atanikoma kwenye hili suala la ardhi lazima alikimbie jiji la sivyo akubali kijana wangu amuoe binti yake.
Mbona lakuvunjika tunaliongelea kila siku kule duru za siasa? Mwaka 2010 znz walivunja muungano, Watanganyika wakasema ah jamani wenzetu wametuacha! ndiyo maana unasikia kilio cha Tanganyika kurudi kwasababu wameachwa na wenzao. Watanganyika watabaki salama.Nguruvi3
Nimesoma bayana zako umewashutumu sana kina Jussa,Nassor Moyo,Prof Sheriff na wengine,hivi unakumbuka kauli ya mwanasheria wa Chadema Tundu lissu kwamba muungano Umeshavunjika?
Je Chadema kwenda kusimamisha mgombea znz ni unafik/uzandiki au ni uroho wa madaraka unawasumbua?
Nguruvi ni sababu gani ilimfanya Nyerere kupata msukumo wa kufanya muungano wa Tanganyika na Zanzibar?
Je Nyerere alikuwa hajui huu muungano utawaathiri watanganyika hasa ile mikoa ya kusini Mtwara na Lindi kwasababu mgao wa bajet inayotoka Tanganyika kwenda Zanzibar ingeenda kuwasaidia watu wakusini?
Kutokana na mazingira ya ki-geografia haiwezekani kabisa watanganyika kupewa haki ya kumiliki ardhi Zanzibar. Kufanya hivyo ni kuifuta Zanzibar....Hebu fikiria watanganyika milioni moja wahamie Zanzibar , nini kitatokea?
Muhimu mkajielewa ,rudisheni Tanganyika yenu na muweke sheria zenu za uhamiaji, kama wazanzibari wana safiri na kuishi hadi Ulaya ,Asia na Amerika hawatashindwa kusafiri na kuishi Tanganyika kwa sheria zozote zitakazo kuwepo...
Mkuu JokaKuu,
Hishma yako ndugu yangu na nimekusoma!
Hapo nilipo-BOLD kwenye hiyo bayana yako...nafikiri ni muhimu pia tukajaribu kutazama vigezo/vipengele vilivyotumika na hilo Baraza la Wawakilishi wakti huo na mpaka ikawalazim kupitisha sharia hiyo ya umiliki wa ardhi pale Zanzibar!?
Kama pana mwenye navyo na avilete hivyo vipengele hapa jamvini,ili tuvitazame soote kwa pamoja...kuliko kuviita vya "kibaguzi" bila ya kujua mantiki/madhumuni yake kiundani na kutazama validity yake kitaaluma,khasa katika haya "mazingira" yaliyopo hivi sasa katika huo "Muungano"!?
Hayo ndo maoni yangu kiduchu,kwa sasa!
Ahsanta.
Ni vizuri wanasiasa na Wazanzibari wote wakaelewa na kujipanga, kuwaandalia Mazingira au maeneo ya kuhamia Wazanzibar kwa walioko huku Bara kwa sasa.
Maana kama hawatakuwa tayari kufungua milango kwenye zoezi la Uhuru wa kumiliki ardhi kwa pande zote za Muungano. Uwepeo wa Tanganyika baada ya Katiba hii hautawacha salama Wazanzibar wote walioko Tanganyika na hii haitaishia hapo itakwenda mbali (Unguja VS Pemba).
Wengine mtakumbuka Maneno ya Hayati JK-Nyerere.
NB.Ni vigumu Wazanzibar wakafurahia Ardhi Bara na wabara wawe wakuja wakiwa Kule zanzibar wacha tu subiri!
..yaani Maalim Seif amiliki mashamba makubwa makubwa pamoja na majumba huku Tanganyika, lakini Prof.Lipumba hana ruhusu ya kumiliki ardhi Zanzibar hata kiduchu?
..yaani Maalim Seif amiliki mashamba makubwa makubwa pamoja na majumba huku Tanganyika, lakini Prof.Lipumba hana ruhusu ya kumiliki ardhi Zanzibar hata kiduchu?
Lazima Tuwe wakweli. Hivi wakija Watu millioni 2 tu kutoka Bara wakataka ardhi kweli tunayo ardhi hiyo. WaZanzibari wapo 1.2 million kuna matatizo ya kugombea ardhi
JokaKuu
Wewe umemuona maalim Seif tu Arusha kuna mtu anaitwa Gerald Miller ni raia wa uingereza anamiliki hekari nyingi tu kushinda wazawa hilo hamulioni?
Hilo la kumiliki/kutokumiliki ardhi ni maamuzi ya SMZ kwani wewe hujui Zanzibar ni nchi?
Hata Tanganyika mnaweza kufanya maamuzi yenu bila kuingiliwa na mtu yeyote.
umekuwa zombi kiasi hicho, hebu tuoneshe wapi Maalim Seif anamiliki ardhi yenu ya Tanganyika...?
Kisha Wazanzibar hatuna udugu na watu mafedhuli, makatili, watwana wa Mrima, kama ni ndoa tunaishia BagaMoyo mbali tunafika Tanga ama Kondoa hao ndio ndugu zetu sisi...!!
Tatizo ni kuwa tu wanafiki na laiti uwezo na ukubwa ungekuwa ndio unaoleta uamuzi basi huo muda ungalikwishakuja zamani!
..una maana gani unaposema kuifuta Zanzibar?
..mimi nadhani mnajenga mazingira ya hofu tu.
..kama kungekuwa hakuna sheria inayoruhusu wa-Znz kumiliki ardhi Tgk basi hakuna ambaye angepiga kelele.
..wa-Znz wanaishi kila mahali kama ulivyoeleza ktk post yako. lakini hakuna nchi yoyote ile iliyopokea wa-Zanzibar wengi kama Tanganyika.
..haiwezekani wa-Znz kwa maelfu mhamie huku Tanganyika, wakati huo huo mkisema hamuwataki wa-Tanganyika ktk ardhi yenu.
cc gombesugu