Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,313
- 33,808
Katiba ya znz ya mwaka 1984 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2010 imetoa uwezo kwa BLW kufanya jambo lolote bila idihini ya JMT. Wamefanya hivyo si kwa jambo moja bali zaidi ya 10 na hakuna aliyewazuia.Nadhani nilishakuonya muda mrefu huko nyuma kuwa.l, ninapo jadili na wewe SIPENDELEI uingize watu wengine ktk mjadala! Lkn kutokusikia kwako ni dalili tosha ya hizo busara zako zilivyo nyingi!
Suala la wazanzibari Kwenda huko kwa wagogo Dodoma limekuwa HALINA BUDI! Na cha kushangaza ni kuwa nyie mjifanyao na busara za kuwapangia wazanzibari mambo yao mnashindwa kutambua kuwa Systems zilizowekwa na wagalatia ni kuwa HUWEZI KUFIKISHA UJUMBE WAKO NA MAHITAJI YAKO mpaka uwe nao huko dodoma!
Ya laiti kama hilo baraza la wawakilishi lingekuwa na nguvu km hilo la Dodoma SIDHANI KAMA UNGEKUTA MZANZIBARI MMOJA HUKO Ugogoni!
Wanasema Waungwana mtaka cha uvunguni.....!
Na hao wazanzibari walioko huko dodoma m kilicho wapeleka huko Sio kutamani au KUPENDA kujiingiza ktk System za kigalatia bali HAWANA BUDI kufanya hivyo ili na wao WAPATE JAPO KUSIKIKA VILIO VYAO!
Ni km mfano wa Leo Palestine kujiingiza ktk BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA!
Sio mapenzi ya wapalestina kujiunga na wale makafiri wa UN bali ni moja ya njia ya kuweza KUSKIKA SAUTI ZAO Juu ya dhulma na inda wanazifanyiwa na MAKAFIRI WA Israel!
Narudia tena kukwambia WAACHENI WAZANZIBARI NA MAMBO YAO! Kiherehere kwa mwanamme madhbuti HAKIFAI!
Na km hayo unayaita matusi basi let be it!
Mimi nakwambia ukweli tu! Tatizo lako wewe na wenzako mnataka muambiwe mnacho kitaka nyie!
Na mwisho nakuonya tena!
Mnakasha wangu mi na wewe usiingize wasio kuwemo.
Au utanilazimisha nikuvunjie heshima yako!
Waacheni WAZANZIBARI WAAMUE WAKITAKACHO WAO! Nyie kalimeni mahindi huko uziguani. Mvua zimeshaanza!
Hivyo uwezo wanao isipokuwa ni woga na sijui ni kwanini.
Leo wasingekuja Dodoma nani angejadili muungano wasioutaka?
Leo wasingekuwa na hoja ya serikali 3 nani angejadili muungano?
Leo wasingekuwa na hoja za mkataba nani angejadili muungano?
Makundi yote ya wznz hakuna, narudia hakuna hata moja lililowahi kuja na option tofauti na hizo hapo juu. Leo unatuaminisha wamefungwa mikono. Wameanzisha kila kitu chao bila hata kuulizwa. Wana wimbo wa taifa, bendera yao, nembo yao, Ikulu yao, BLW, SMZ. Hakuna hata siku moja mwakilishi ndani ya BLM au BLW ameahi kufikisha mswada wa kukataa muungano.
Leo wanaotafuta cha uvunguni ni hao akina Pandu, Duni na Jusa.
Oktoba 6 2012 pale bwawani wafutao wamesema kwa meneno yao wanataka muungano
Jusa Ismail
Nasor Moyo
Manosur Himid
Prof Sheriff
Maalimu yeye keshachukua kitambulisho pale kareimjee mapema kabisa.
Naye pia hataki muungano!!! lakini ana kitambulisho mfukoni
Sheni juzi kazindua sherehe za muungano Maalim Seif akiwa pembeni, nao wanataka cha uvunguni eti.
Vuai keshasema muungano wanautaka.
Hawana mtu aliyewashika, na ndani ya BMLK siyo lazima ni hiari ya mtu.
Walikuwa na hiari ya kusema hatuji Dodoma kwasababu hatupendi kuwa wajumbe, hadi hapo muungano unegefika tamati. Wamejaa tele Dodoma wanavuta laki 3 useme eti wameshikiliwa na system! Kweli, real hoja ina chembe ya mantiki hiyo.