CUF yapinga bara kupewa ardhi Z’bar

CUF yapinga bara kupewa ardhi Z’bar

aisee na chadema kina wangapi zanzibar au nao ndio lengo lishatimia hawana haja na zanzibar?

Nadhani ww ndio mtoa hoja ya kuwa cuf wana wabunge zanzibar na ccm bara,nikakuuliza je bara hamtaki wabunge au lengo limeshatimia yakhe,na wewe mtoa hoja unacopy na kupaste swali langu kwako,ina maana hukutumia hekima kwenye comment zako pole na jioni njema
 
Tatizo lenu nyinyi ni muungano ili kuweza kuitawala zanzibar na kunyakua rasilimali zake, kamwe hilo halitowezekana kwa kizazi hiki, mukwangwe uchi bungeni lakini mtaimbo umewaganda.

Tatizo kubwa linalo wasumbue eti zanzibar kujitangaza nchi, hivi mulikuwa hamuelewi kuwa zanzibar ni nchi ? Sasa muliiungana na nani kama zanzibar sio nchi ? Ndio mufahamu kuwa zanzibar ni nchi ina mipaka yake na ramilimali zake, hivyo basi rasilimali za zanzibar zitabakiwa kuwa za wazanzibari wenyewe, mukitaka musitake ndo ivyoo, vunjeni huo muungano tugawane mbao.

Ole Sendeka analia bungeni kura ya siri na wazi, ni wazi kwamba hofu yake kurudi kwa Tanganyika, na dhahiri kwamba wanao taka huu muungano ni Watanganyika kutaka kuitawala zanzibar na kuiba rasilimali zake, sasa munatumia vitisho kuwatisha wazanzibari watakao kwenda na msimamo wa DODOMO . Yagujuu

Mamlaka kamili kwanza ya Zanzibar.

P.S

Mujiandae kugawana mikoa, 120 makabila ? Hakutaishi salama ever and never. Soon utasikia mafia nao wanataka kujitenga, Na mkoa wa Tanga nao watataka kurudi himaya ya zanzibar, ,mombasa kenya harakati zimeanza kudai kutaka kujiunga na zanzibar. kazi kwenu.

Crimea ziko nyingi ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki!!!
 
yaaani mimi toka nijue cuf...wamekuwa wakipigania......
1.uhuru wa wapemba........
2.sera zao zilijikita katika dini
3.muungano wa uvunjikee.....

Lakini wenzao chadema...muda mwingi wa wanaoutmiaa

1.katika kujenga hoja nzito bungeni......
2.kujenga chama chao....

3.kuunesha nia ya kwenda ikuluuu
C programming,

Start
Chadema - Ukristo
Chadema - Ujimbo
End
C++
 
Last edited by a moderator:
Safi sana - inabidi pia Wazanzibar na Wapemba wanaomiliki ardhi bara wanyang'anywe kwani wanamiliki isivyo halali [sheria zetu haziwapi ruhusa wageni kumiliki ardhi na kwa kuwa wazanzibari siyo raia wa tanganyika ardhi yeyote wanayo imiliki Tanganyika wanaimiliki kinyume cha sheria na kama wana hati yoyote ile basi hiyo hati ni NULL & VOID

Unaota?hiyo tanganyika iwapi?
 
Hapa nilipo kuna jirani yangu ambaye ni mzanzibar pure na anamiliki ardhi ya kutosha. Sasa huu uzi umenifungua macho kuwa kumbe ile ardhi inaweza kuwa yangu muda wowote,ni suala la muda tuuuu. Huyu jirani yangu alishawahi kumkatalia mtoto wangu wa mwanaume alipoenda kuchumbia kwake kwa kigezo cha kwamba suala la kuoleana si la muungano!!!!, kumbe hata ardhi nayo cyo suala la muungano!! Huyu jamaa atanikoma kwenye hili suala la ardhi lazima alikimbie jiji la sivyo akubali kijana wangu amuoe binti yake.
Kingo,

Kaa na tamaa ya fisi kusubiri mkono udondoke, subiri aje mpemba amloge binti yako utamwozesha na utatoa mpaka shamba la mama mdogo umpe mpemba na huku unacheka teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3

Nimesoma bayana zako umewashutumu sana kina Jussa,Nassor Moyo,Prof Sheriff na wengine,hivi unakumbuka kauli ya mwanasheria wa Chadema Tundu lissu kwamba muungano Umeshavunjika?

Je Chadema kwenda kusimamisha mgombea znz ni unafik/uzandiki au ni uroho wa madaraka unawasumbua?

Nguruvi ni sababu gani ilimfanya Nyerere kupata msukumo wa kufanya muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

Je Nyerere alikuwa hajui huu muungano utawaathiri watanganyika hasa ile mikoa ya kusini Mtwara na Lindi kwasababu mgao wa bajet inayotoka Tanganyika kwenda Zanzibar ingeenda kuwasaidia watu wakusini?
Mbona lakuvunjika tunaliongelea kila siku kule duru za siasa? Mwaka 2010 znz walivunja muungano, Watanganyika wakasema ah jamani wenzetu wametuacha! ndiyo maana unasikia kilio cha Tanganyika kurudi kwasababu wameachwa na wenzao. Watanganyika watabaki salama.

Nyerere na Karume walikuwa na maono ya nchi moja watu wamoja. Wazanzibar wamekataa na kuwaacha Watanganyika wakishangaa, aah jamani wenzetu mnatuacha! Watanganyika watabaki salama.
 
Kutokana na mazingira ya ki-geografia haiwezekani kabisa watanganyika kupewa haki ya kumiliki ardhi Zanzibar. Kufanya hivyo ni kuifuta Zanzibar....Hebu fikiria watanganyika milioni moja wahamie Zanzibar , nini kitatokea?

Muhimu mkajielewa ,rudisheni Tanganyika yenu na muweke sheria zenu za uhamiaji, kama wazanzibari wana safiri na kuishi hadi Ulaya ,Asia na Amerika hawatashindwa kusafiri na kuishi Tanganyika kwa sheria zozote zitakazo kuwepo...

..una maana gani unaposema kuifuta Zanzibar?

..mimi nadhani mnajenga mazingira ya hofu tu.

..kama kungekuwa hakuna sheria inayoruhusu wa-Znz kumiliki ardhi Tgk basi hakuna ambaye angepiga kelele.

..wa-Znz wanaishi kila mahali kama ulivyoeleza ktk post yako. lakini hakuna nchi yoyote ile iliyopokea wa-Zanzibar wengi kama Tanganyika.

..haiwezekani wa-Znz kwa maelfu mhamie huku Tanganyika, wakati huo huo mkisema hamuwataki wa-Tanganyika ktk ardhi yenu.

cc gombesugu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu JokaKuu,

Hishma yako ndugu yangu na nimekusoma!

Hapo nilipo-BOLD kwenye hiyo bayana yako...nafikiri ni muhimu pia tukajaribu kutazama vigezo/vipengele vilivyotumika na hilo Baraza la Wawakilishi wakti huo na mpaka ikawalazim kupitisha sharia hiyo ya umiliki wa ardhi pale Zanzibar!?

Kama pana mwenye navyo na avilete hivyo vipengele hapa jamvini,ili tuvitazame soote kwa pamoja...kuliko kuviita vya "kibaguzi" bila ya kujua mantiki/madhumuni yake kiundani na kutazama validity yake kitaaluma,khasa katika haya "mazingira" yaliyopo hivi sasa katika huo "Muungano"!?

Hayo ndo maoni yangu kiduchu,kwa sasa!

Ahsanta.

..yaani Maalim Seif amiliki mashamba makubwa makubwa pamoja na majumba huku Tanganyika, lakini Prof.Lipumba hana ruhusu ya kumiliki ardhi Zanzibar hata kiduchu?
 
Ni vizuri wanasiasa na Wazanzibari wote wakaelewa na kujipanga, kuwaandalia Mazingira au maeneo ya kuhamia Wazanzibar kwa walioko huku Bara kwa sasa.
Maana kama hawatakuwa tayari kufungua milango kwenye zoezi la Uhuru wa kumiliki ardhi kwa pande zote za Muungano. Uwepeo wa Tanganyika baada ya Katiba hii hautawacha salama Wazanzibar wote walioko Tanganyika na hii haitaishia hapo itakwenda mbali (Unguja VS Pemba).

Wengine mtakumbuka Maneno ya Hayati JK-Nyerere.

NB.Ni vigumu Wazanzibar wakafurahia Ardhi Bara na wabara wawe wakuja wakiwa Kule zanzibar wacha tu subiri!

mm nipo bara lkn sioni tatizo ikiwa mutaanua kutufukuza tutarudi nyumbani na wala hakuna atakae kosa pakuishi. kwani kabla ya muubgano tuliishi wapi?
 
..yaani Maalim Seif amiliki mashamba makubwa makubwa pamoja na majumba huku Tanganyika, lakini Prof.Lipumba hana ruhusu ya kumiliki ardhi Zanzibar hata kiduchu?

Katka viongozi wasiochafulika ktk maswala ya ubadhirifu mbele ya uso wa Wazanzibar, Maalim no moja, najua unapiga domo tu, ila nikikwambia uthibitishe utashndwa, ila kwa kila Mzanzibar Maalim seif anamtambua kwamba maisha yote ameishi kweny nyumba ya serikali na sio kama uwezo hana, bali kazi yake ni kuwatumikia Wananchi sio kuishi kweny majumba mazuri, sasa twakushangaa kijana ww unaetuletea pumba lako hapa, ni uzushi na urongo, kama unaugonvi nae we funguka tuu
 
..yaani Maalim Seif amiliki mashamba makubwa makubwa pamoja na majumba huku Tanganyika, lakini Prof.Lipumba hana ruhusu ya kumiliki ardhi Zanzibar hata kiduchu?

JokaKuu

Wewe umemuona maalim Seif tu Arusha kuna mtu anaitwa Gerald Miller ni raia wa uingereza anamiliki hekari nyingi tu kushinda wazawa hilo hamulioni?

Hilo la kumiliki/kutokumiliki ardhi ni maamuzi ya SMZ kwani wewe hujui Zanzibar ni nchi?

Hata Tanganyika mnaweza kufanya maamuzi yenu bila kuingiliwa na mtu yeyote.
 
Lazima Tuwe wakweli. Hivi wakija Watu millioni 2 tu kutoka Bara wakataka ardhi kweli tunayo ardhi hiyo. WaZanzibari wapo 1.2 million kuna matatizo ya kugombea ardhi

Jalood
Kama ulivyosema tuwe wa kweli tu. Hao watu milion 2 kutoka bara watakao kuja Zenj kutafuta ardhi ni kwa kuwaona Bara ni watu wa njaa ya ardhi au??? Watu wanatafuta ardhi Zenj au viwanja vya kujenga tuu?? Unaona bara walowezi mnakuja jinyakulia maeka na maeka unasema watu wakagombee ardhi Zenj?? Mbona kioja?? Watu wanatafuta viwanja wajenge huko kama ninyi mnavyo kuja bara kununua viwanja vyetu K/Koo
 
Ni wapangaji wa muda tu, ndiyo maana CUF inawashauri Wazanzibar wote wilioka Tanzania Bara wajitayarishe kurudi makwao kama Warudi na Warwanda walivyorudi makwao! hii siyo Utanganyika wala Uzanzibar ila ni kosa la katiba ya Zanzibar kwa kupenda kujipendelea ambapo ni hatari kwa maisha ya wazenj walio na mashamba, nyumba Tanzania Bara.
 
JokaKuu

Wewe umemuona maalim Seif tu Arusha kuna mtu anaitwa Gerald Miller ni raia wa uingereza anamiliki hekari nyingi tu kushinda wazawa hilo hamulioni?

Hilo la kumiliki/kutokumiliki ardhi ni maamuzi ya SMZ kwani wewe hujui Zanzibar ni nchi?

Hata Tanganyika mnaweza kufanya maamuzi yenu bila kuingiliwa na mtu yeyote.

..lakini Maalim anapata ardhi huku bila kikwazo, wakati huyo mzungu anapata ardhi kama mwekezaji.

..wa-Tgk na wa-Znz ni ndugu, sasa sidhani kama ni vizuri upande mmoja ukafanya maamuzi ambayo yanaleta hali ya kulaumiana kama hii sheria iliyopitishwa Znz.

cc gombesugu, dullyhami
 
Last edited by a moderator:
..lakini Maalim anapata ardhi huku bila kikwazo, wakati huyo mzungu anapata ardhi kama mwekezaji.

..wa-Tgk na wa-Znz ni ndugu, sasa sidhani kama ni vizuri upande mmoja ukafanya maamuzi ambayo yanaleta hali ya kulaumiana kama hii sheria iliyopitishwa Znz.

cc gombesugu, dullyhami

umekuwa zombi kiasi hicho, hebu tuoneshe wapi Maalim Seif anamiliki ardhi yenu ya Tanganyika...?
Kisha Wazanzibar hatuna udugu na watu mafedhuli, makatili, watwana wa Mrima, kama ni ndoa tunaishia BagaMoyo mbali tunafika Tanga ama Kondoa hao ndio ndugu zetu sisi...!!
 
Last edited by a moderator:
umekuwa zombi kiasi hicho, hebu tuoneshe wapi Maalim Seif anamiliki ardhi yenu ya Tanganyika...?
Kisha Wazanzibar hatuna udugu na watu mafedhuli, makatili, watwana wa Mrima, kama ni ndoa tunaishia BagaMoyo mbali tunafika Tanga ama Kondoa hao ndio ndugu zetu sisi...!!

kama umemsikia rais wenu akiwa anafungua sherehe za miaka 50 ya muungano kasema Mtu ana uhuru wa kujenga sehemu yeyote ya muungano including huko Tumbatu, Uzini, Kiembe samaki etc

nanyi mnakaribishwa Sumbawanga, ileje etc tuudumishe muungano wetu
 
uamuzi bado ila ukifika hali itaonekana tu
Tatizo ni kuwa tu wanafiki na laiti uwezo na ukubwa ungekuwa ndio unaoleta uamuzi basi huo muda ungalikwishakuja zamani!
 
..una maana gani unaposema kuifuta Zanzibar?

..mimi nadhani mnajenga mazingira ya hofu tu.

..kama kungekuwa hakuna sheria inayoruhusu wa-Znz kumiliki ardhi Tgk basi hakuna ambaye angepiga kelele.

..wa-Znz wanaishi kila mahali kama ulivyoeleza ktk post yako. lakini hakuna nchi yoyote ile iliyopokea wa-Zanzibar wengi kama Tanganyika.

..haiwezekani wa-Znz kwa maelfu mhamie huku Tanganyika, wakati huo huo mkisema hamuwataki wa-Tanganyika ktk ardhi yenu.

cc gombesugu

Naona unachanganya mambo, haki ya kuishi katika inchi ya kigeni na haki ya kumiliki ardhi katika nchi ya kigeni ni vitu viwili tofauti... Maelfu ya wa tngk wanaishi Zanzibar, vile vile maelfu ya wa znz wanaishi tngk...Linapokuja suala la kumiliki ardhi hapo ndio tunatofautiyana.Kwa mfano , Tanzania iwe na uhusiano mzuri na china au India halafu kuwe na makubaliano ya kila raia wa upande mmoja awe na haki ya kumiliki ardhi upande mwengine , sasa hapa nani ataathirika ?
 
Back
Top Bottom