CUF yapinga bara kupewa ardhi Z’bar

CUF yapinga bara kupewa ardhi Z’bar

Mkuu, mimi kwa kifupi nauchukia huu muungano na huwa nasema wazi siku zote bila kuficha

Zanzibar ni kupe asie na shukurani

Kwani nani anaeutaka si nyinyi mwambieni yule raisi wenu kama muna ubavu muifufue tanganyika yenu ama Tanzania halafu muitoe kwani haki ya kujitoa ni ya wanachama wote.Ila sema unahasira na wazanzibar kwa mafanikio basi sisi wachapa kazi sio kusafirisha magari ya wizi na uuzaji u......
 
jamani hivi watanganyika wakipewa ruhusa kwenda zenji kumiliki ardhi itakuwaje? hilo nalipinga kabisa hakuna watanganyika kumiliki ardhi zenji kieneo ni kidogo mno utakuwa ni uonevu acha kabisa fikra hizoooo mweeee!TE=Jalood;8900099]Lazima Tuwe wakweli. Hivi wakija Watu millioni 2 tu kutoka Bara wakataka ardhi kweli tunayo ardhi hiyo. WaZanzibari wapo 1.2 million kuna matatizo ya kugombea ardhi[/QUOTE]
 
mimi naongelea "uamuzi wa kuvunja Muungano ukifika" hali ya ubaguzi itaonekana tu, nani ni mpemba na nani ni muunguja na nani si mzanzibar
Lakini naona kama aidha utachelewa au ktutofika kabisa kutokana na hali ya Dodoma!
 
takashi,

..ninachopendekeza mimi ni kwamba wa-Tanganyika waruhusiwe kumiliki ardhi Zanzibar.

..mapendekezo hayo yanatokana na ukweli kwamba wa-Zanzibari wanaruhusiwa kumiliki ardhi huku Tanganyika.

..tuwe na sheria sawa ya kumiliki ardhi. baada ya hapo umiliki wa ardhi utakuwa determined na nguvu za soko[supply & demand].

. gombesugu ametoa mfano wa maeneo ya Marangu na Machame ambako kuna ardhi ndogo. Pamoja na ukweli huo serikali yetu haijapitisha sheria ya kubagua wa-Tanganyika wasio wazawa wa maeneo[marangu,machame] hayo kuhamia huko na kumiliko ardhi huko.

..wa-Tanganyika na wa-Zanzibari wana mahusiano ya kindugu kwa karne kadhaa sasa. Haipendezi mahusiano hayo kuanza kutiwa mushkel ya sheria za kibaguzi kama hii iliyopitishwa na baraza la wawakilishi.

NB:

..Balozi Seif Idi anapigana vikumbo na walalahoi huku Tgk kupata viwanja kule Kigamboni, lakini Prof.Ana Tibaijuka waziri wa ardhi huku Tanganyika hana haki ya kumiliki ardhi Zanzibar.

..Dr.Mohamed Seif Khatib ameuziwa nyumba za serikali ya Tanganyika na waziri John Pombe Magufuli. Nyumba zile hazikuwa na uhusiano wowote na muungano, wizara ya ujenzi si ya muungano. Lakini huyu Pombe Magufuli hana haki ya kumiliki ardhi Zanzibar.

Foum Jnr
, W. J. Malecela, Chris Lukosi, Kibunango, Nguruvi3

Unanikumbusha zile hadithi za jinsi wakoloni walivyoingia Afrika... Kuna walioambiwa wafumbe macho na kukabidhiwa Bibilia ili wabarikiwe , lakini walipofungua macho nchi zao tayari zimeshachukuliwa. Kuna waliopewa vioo wajiangalie , wao wakatoa almasi na dhahabu.

Seifu Iddi na Dr,Mohammed S. Khatibu hawa wanajulikana kama ni vibaraka ... wako tayari kuuza nchi yao kwa kupewa nyumba, mashamba au viwanja Tanganyika. Huu ndio ukweli, wanataka uongozi lakini uwezo wao wa kuona mbali ni masafa ya masaa 24 tu.

Hakuna na hututokubali sheria sawa kumiliki ardhi , kwasababu sisi hatuna hiyo ardhi ya kuwapa. Rudisheni Tanganyika yenu muweke sheria zenu.
 
mimi naongelea "uamuzi wa kuvunja Muungano ukifika" hali ya ubaguzi itaonekana tu, nani ni mpemba na nani ni muunguja na nani si mzanzibar
bdo,

Kwani kabla ya 26/4/1964, Pemba ilikuwa nchi mbali na Unguja nchi mbali? Mimi naona Muungano umekuja na kuificha Tanganyika yenu na sasa mnaitaka Zanzibar muimeze at all costs. This is 21st Century dunia imekuwa global village msidhani Zanzibar mtaigeuza C.A.R

Sisi tumezungukwa na bahari nayo ni ngome ya aina yake tuliyonayo na tunajuwa kuitumia.
 
Last edited by a moderator:
Punguza hasira we mpemba makanisa yametoka wapi kwenye hoja hii na ninani anamiliki ardhi zenji kutoka bara labda ya shea

kibo10,
Usiruke wewe Makanisa hayakai angani yako ardhini na Zanzibar haikuwa na makanisa mengi kwani yaliyokuwapo tokea enzi za ukoloni yalitosha kutokana na idadi ya wkristo waliopo Zanzibar yanatosha.
Kwa hiyo Makanisa mepya yapo na yamepata ardhi kutoka Serikalini. Pia kuna majengo kadhaa yanamilikiwa na wabongo ten katika kitovu cha Zanzibar within Stone Town.
Pia kuna Taasisi za JMT zinamiliki ardhi katika miji ya Zanzibar. Pia kuna wabongo wanashirikiana na wadau wengine wanamiliki ardhi katika ubia wa uwekezaji katika sekta za kitalii. Kuna msukuma mmoja enzi za serikali ya Komandoo alimiliki eneo kubwa kule east coast ameuza kwa wazungu kwa dollar 250,000 USD karudi kwao Kahama kwenda kula faida za matunda ya mapinduzi.
 
hakuna wa kuigeuza Zanzibar CAR isipokuwa ni wao wenyewe wapemba na waunguja,
na kwa taarifa yako Tanganyika (Tanzania bara) kama kipande cha ardhi katika Afrika kipo na kitakuwepo na wala hakijamezwa na yeyote yule kama ilivyo zanzibar "unguja na pemba).

Hivi kama "zanzibar na pemba" zilikuwa nchi mbali nani aliziweka pamoja?
bdo,

Kwani kabla ya 26/4/1964, Pemba ilikuwa nchi mbali na Unguja nchi mbali? Mimi naona Muungano umekuja na kuificha Tanganyika yenu na sasa mnaitaka Zanzibar muimeze at all costs. This is 21st Century dunia imekuwa global village msidhani Zanzibar mtaigeuza C.A.R

Sisi tumezungukwa na bahari nayo ni ngome ya aina yake tuliyonayo na tunajuwa kuitumia.
 
Last edited by a moderator:
hakuna wa kuigeuza Zanzibar CAR isipokuwa ni wao wenyewe wapemba na waunguja,
na kwa taarifa yako Tanganyika (Tanzania bara) kama kipande cha ardhi katika Afrika kipo na kitakuwepo na wala hakijamezwa na yeyote yule kama ilivyo zanzibar "unguja na pemba).

Hivi kama "zanzibar na pemba" zilikuwa nchi mbali nani aliziweka pamoja?
bdo,

Kwani kabla ya 26/4/1964, Pemba ilikuwa nchi mbali na Unguja nchi mbali? Mimi naona Muungano umekuja na kuificha Tanganyika yenu na sasa mnaitaka Zanzibar muimeze at all costs. This is 21st Century dunia imekuwa global village msidhani Zanzibar mtaigeuza C.A.R

Sisi tumezungukwa na bahari nayo ni ngome ya aina yake tuliyonayo na tunajuwa kuitumia.
 
Last edited by a moderator:
Mie ni mbaara kabisaa, lakini nina miliki nyumba huko Zanzibar, hayo maneno mangine nani kakunywesha..?

Na hakuna Mzanzibar wala Mpemba ang'ang'aniaye ati Tanganyikwa, bali Wazanzibar wana madai yao ya muhimu na tatizo kubwa kabisa laanzia pale katika ule ati Muungano.

Ina maana jambo hilo hulifahamu ama watumia uburu wa jirani yako kutafakari mambo..?

Wakati mwangine jaribu kuketi pekeako na utafakari kwamba, hivi wanachodai Wazanzibar kina maana au ni wameamua tu..? Kisha picha hiyo ijenge upande wako kuwa weye ndo Mzanzibar na viongozi wako wamekutenda kiasi hicho, je, utapata muda wa kuleta maropoko kama hayo...?!!

Choyo wanacho wahodhio madaraka na wenye tamaa kama waliopo SIASANI.

Hapo namaanisha wale waililiao ati kukamata madaraka ilhaali uadilifu waishaanza uvunja hata kabla hawajapewa nchi.

Na weye jigeiye muda ili kutafakari mambo kwa faida ya kuonesha uendeaji wa mambo na si kufuata fuata kiushabiki.

asilimia mia wewe sie mbara hicho kiswahili chako tu kinaonyesha ila hata mimi nikitaka siku yoyote namiliki arddhi Zanzibar na hakuna wa kunizuia kwa sababu moja tu kwamba katiba ya Tanzania bara ambayo ndio katiba mama inasema mtanzania yoyote anao uwezo wa kuishi na kumiliki ardhi popote ndani ya jamhuri ya muungano
 
hakuna wa kuigeuza Zanzibar CAR isipokuwa ni wao wenyewe wapemba na waunguja,
na kwa taarifa yako Tanganyika (Tanzania bara) kama kipande cha ardhi katika Afrika kipo na kitakuwepo na wala hakijamezwa na yeyote yule kama ilivyo zanzibar "unguja na pemba).

Hivi kama "zanzibar na pemba" zilikuwa nchi mbali nani aliziweka pamoja?
bdo,

Unaongea Kiswahili? Kama unakijua basi soma vizuri, soma niliyokuuliza mimi halafu unijibu sio unigeuzie masuala yangu.
 
Last edited by a moderator:
mimi naongelea "uamuzi wa kuvunja Muungano ukifika" hali ya ubaguzi itaonekana tu, nani ni mpemba na nani ni muunguja na nani si mzanzibar

Ubaguzi upo na utaendelea na hilo la kuvunjika muungano sifikirii ingawa mabadiliko yatakuwepo kwa nyakati tofauti.
 
unajichanganya mwenyewe na imani yenu ya kibaguzi itawaumiza, mimi nimekujibu kulingana na hoja zako, sasa ukitaka kupima kiswahili mie huko sipo, ila nyie wazenj acheni umaruhani, hivi wakati muungano unasainiwa kulikuwa na Bunge huko Zenj?
bdo,

Unaongea Kiswahili? Kama unakijua basi soma vizuri, soma niliyokuuliza mimi halafu unijibu sio unigeuzie masuala yangu.
 
Last edited by a moderator:
Siyo ange "surrended" bali ange surrender. Kuna shida gani ukiandika Kiswahili Mkuu?Sent from my iPhone using JamiiForums
iyo ni typing error tena ya herufi 1..thenkwani kiswahili spelling 1 haiwezi kukosewa mkuu???
 
hakuna wa kuigeuza Zanzibar CAR isipokuwa ni wao wenyewe wapemba na waunguja,
na kwa taarifa yako Tanganyika (Tanzania bara) kama kipande cha ardhi katika Afrika kipo na kitakuwepo na wala hakijamezwa na yeyote yule kama ilivyo zanzibar "unguja na pemba).

Hivi kama "zanzibar na pemba" zilikuwa nchi mbali nani aliziweka pamoja?

Hapa ndio umeonesha udhaifu wako wako wa fukira na mawazo, ndio maana tunawambia Watanganyika akili zenu ni copy and paste, yan Nyerere aliwafany kama watumwa wa fikra zake, na akakutieni kasumba za kuichukia Zanzibar zikawajaa tele moyoni, anyway; ila hebu pia jiulize, ni lini kabla ya Muungano huu ulisikia mapigano ya Wapemba na Waunguja...? hizo ni fitna za babu yenu yule mulimgeuza Mungu wenu wa kuchonga!!
lakin tunakwambia Zanzibar ni moja, hakuna muungano wa Unguja na Pemba, nature ilishatuchagua tuwe pamoja tokea dahari zamani, huku mila, silka , utamaduni wetu ukiwa mmoja, na haufanani kabisa na Watanganyika, lakini pia Dini yetu ni moja, na hiyo ndio nguzo madhubuti iliyituweka pamoja hadi leo na hatuna mda wa kujadili wapi tumetokea, hilo tunawaachia nyie vijukuu vya Mzee Kifimbo, mchonga meno, aliyewajaza kasumba ambazo hazina maana kwa wakati wa zama hizii!!
 
Wazanzibar wanatamani mambo ya zanzibar yawe ya kwao, wakati wanataka ya tanganyika iwe ya wote! Huu muungano ni wa kihuni kwelikweli!
Uko sahihi ndg! wenye mawazo hayo sio CUF tu pia hata wana CCM na wananchi wote wa Zanzibar, Upuuzi kabisa.
 
Ameshachelewa huyo, Watanganyika kibao wanamiliki ardhi Zanzibar! Atabaki huko majukwaani tu.

Unguja wageni kibao wanamiliki ardhi, Waitaliano na Wahindi leo inakuwa nongwa kwa Mtanganyika kumili ardhi?!
 
hatukatai kabisa, jambo hilo lipo ulimweng mzima, hoja fedha zako tu mkononi, walichopinga CUF ni kauli ya Bi Samia eti kutakuwa na marekebisho ya katiba ya Zanzibar yatayotoa fursa kwa Watanganyika kumilikia ardhi kisheria, hilo jambo ndio lililopingwa maana Ardhi sio suala la Muungano, hivyo kuweka kipengele hicho ni kama kuwauza Wazanzibar, na katu hilo halitofanyika kwa Zanzibar maana Zanzibar sio mali ya CCM
 
Chama Cha Wananchi(CUF) kimepinga wazo na rai ya kupunguza masharti ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ili kulegeza nguvu zake kisheria na kuwapa fursa Watanzania Bara kumiliki ardhi Visiwani Zanzibar.

Msimamo huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Mwasiliano ya Umma wa CUF Salum Bimani katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana visiwani humo, siku chache baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(Muungano) Samia Suluhu Hassan, kushauri Katiba ya Zanzibar kuangaliwa upya na kuwapa nafasi Watanzania Bara kumiliki ardhi Zanzibar.

Bimani alisema kuwa suala la ardhi siyo la Muungano tangu mkataba wa awali wenye orodha ya mambo ya Muungano na siyo sahihi kufanyika marekebisho ili kuwapa nafasi Watanzania Bara kumiliki ardhi Zanzibar kwani ni ndogo na ndiyo sababu hata waasisi wa Muumgano waliamua ardhi hiyo imilikiwe na wazanzibari pekee. Chanzo mwananchi

Sio Watanzania bara sema Watanganyika. Tanzania bara ndio nini? Hakuna nchi katika historia na kijiografia iliwahi kuwepo kwa jina la Tanzania bara.
 
Back
Top Bottom