CUF yapinga bara kupewa ardhi Z’bar

CUF yapinga bara kupewa ardhi Z’bar

Ardhi yenyewe ipi hata haionekani vizuri kwenye raman
 
Na ardhi uliopewa kinyemela kwa kuhonga rushwa utanyanganywa maana umevenja Katiba ya nchi
Ile niliyokuambia pale thatch house?

Yaani niache mapori yote kalenga niende kununua ardhi kwenye swamp?

Vipi, vile viwanja vya mazoezi ya mpira vimeishamezwa na maji?
 
Chris Lukosi,

Wewe wanaume wakiongea nyamaza kimya!!, wazanzibari wanakusaidia hapo London unawaita kupe, wwe beba boxes kisha funga mdomo wako huo.
kahtaan, gombesugu, mfumo

Sis tunasema mambo ambayo wenyewe wanasema hadharani wala sio mafichoni unawatetea nini wakati inajulikana ndio tunaowasaidia sisi tunapata nini kutoka kwenu zaidi ya lawama zisizo na maana
 
Sis tunasema mambo ambayo wenyewe wanasema hadharani wala sio mafichoni unawatetea nini wakati inajulikana ndio tunaowasaidia sisi tunapata nini kutoka kwenu zaidi ya lawama zisizo na maana

Weye binafsi umewahi kuwasaidia kipi!?

Ahsanta.
 
Hii picha inatoa majibu mengi sana hayo aliyosema ni sehemu ya mambo mengi yaliyojaza moyo kuhusu tanganyika


Embu tudadavulie na sie hapa jamavini baadhi tu...ya hayo "majibu" unayodai ati wayapata kutokana na kutazama hiyo picha!? Daah!

Ahsanta.
 
Wananisaidia nini???

Mkuu,

Punguza hamaki na chuki kwa Wazanzibary,japo kiduchu! Daah!

Wajua mwenzio Muhsin nasikia nae yumo humu-JF...na anakusoma!? Teeh! Teeh! Teeh!

Au Mkuu Ritz na Averoes hawajakwambia!?

Ahsanta.
 
Du! suala la muungano haliwezi kuisha jambo la msingi wazanzibar wakaechini watafakari, kwann vya bara tu na sio vya kwao?
 
Hakuna haja ya kulumbana cha msingi kila mtu abaki na ardhi yake. Ni vema kutenda wema ambao haukufanyi kujutia baadaye. Sijui ni nani aliyewapa ardhi ya Tanzania bara wazanzibar?
Wazanzibar wanatamani mambo ya zanzibar yawe ya kwao, wakati wanataka ya tanganyika iwe ya wote! Huu muungano ni wa kihuni kwelikweli!
 
Huu sio muungano bali ubabaishaji unaungana na nchi eti itamezwa kama utaki kumezwa usiungane.Muungano wa kweli nchi 1 serikali1. Tumewalea vya kutosha sasa waache wajitegemee wasije wakamezwa.Mchelea mwana kulia....
 
Back
Top Bottom