tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,440
Naomba mwenye kuijua hiyo sheria au kipengele, akiweke hapa tufanye reference
Chama Cha Wananchi(CUF) kimepinga wazo na rai ya kupunguza masharti ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ili kulegeza nguvu zake kisheria na kuwapa fursa Watanzania Bara kumiliki ardhi Visiwani Zanzibar.
Msimamo huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Mwasiliano ya Umma wa CUF Salum Bimani katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana visiwani humo, siku chache baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(Muungano) Samia Suluhu Hassan, kushauri Katiba ya Zanzibar kuangaliwa upya na kuwapa nafasi Watanzania Bara kumiliki ardhi Zanzibar.
Bimani alisema kuwa suala la ardhi siyo la Muungano tangu mkataba wa awali wenye orodha ya mambo ya Muungano na siyo sahihi kufanyika marekebisho ili kuwapa nafasi Watanzania Bara kumiliki ardhi Zanzibar kwani ni ndogo na ndiyo sababu hata waasisi wa Muumgano waliamua ardhi hiyo imilikiwe na wazanzibari pekee. Chanzo mwananchi
Ok ardhi ni ndogo, basi suala la mafuta libaki kwenye muungano.Lazima Tuwe wakweli. Hivi wakija Watu millioni 2 tu kutoka Bara wakataka ardhi kweli tunayo ardhi hiyo. WaZanzibari wapo 1.2 million kuna matatizo ya kugombea ardhi
mkuu ni walewale waarabu wenye kubobea zenjibar!Bimani mwenyewe aliyetoa press conference huyo hapo kwenye picha. Mwangalie kwa makini halafu tuambie umegundua nini. Kazi kwako.
View attachment 143741
Hahaha! Hii kibokoHapa nilipo kuna jirani yangu ambaye ni mzanzibar pure na anamiliki ardhi ya kutosha. Sasa huu uzi umenifungua macho kuwa kumbe ile ardhi inaweza kuwa yangu muda wowote,ni suala la muda tuuuu. Huyu jirani yangu alishawahi kumkatalia mtoto wangu wa mwanaume alipoenda kuchumbia kwake kwa kigezo cha kwamba suala la kuoleana si la muungano!!!!, kumbe hata ardhi nayo cyo suala la muungano!! Huyu jamaa atanikoma kwenye hili suala la ardhi lazima alikimbie jiji la sivyo akubali kijana wangu amuoe binti yake.
kwa ubaguzi huu zanzibar iachwe iende salama! Umejaa ubaguzi mpaka kwenye kope.!Mkuu utakuwa umezaliwa juzi tu basi. Kwa sababu mi tangu nizaliwe Cuf nimegundua kuwa CUF ya zanzibar ipo kutetea maslahi ya WAZANZIBARI, sera zake zimejikita zaid katika UZANZIBARI, na pia haina sera ya kuvunja muungano bali serikali 3!!! Chadema tangu nzaliwe naona wao wapo katika ukanda tu, ukabila, udini, kutafuta umaarufu kupitia matukio, kutafuta sympathy ya wananchi, kufuja mali za chama kwa kukopeshana, kuzuia demokrasia na kumfukuza kila anaitishia kuchukua madaraka ya bamkwe na padre, kikubwa Zaidi, CHADEMA hakina nia nzuri na zanzibar, wala zanzibar hawana time nayo. Nikuweke wazi kidogo, fikra inayokufanya uone kuwa CUF ni cha cha waislam ambayo ni fikra batil, tambua kuwa Cuf ni waasi wa Ccm, na zanzibar tangu kipindi icho waislam ni 99% sasa sijui ingetosha vipi 1% wakristo kuonekana katika chama icho na hasa ukizingatia wakristo wao ni CCM kwa zanzibar, mngelikuwa cdm mpo zenjy mngeliwachukua wakristo weni
nkongu ndasumkuu ni walewale waarabu wenye kubobea zenjibar!
Lazima Tuwe wakweli. Hivi wakija Watu millioni 2 tu kutoka Bara wakataka ardhi kweli tunayo ardhi hiyo. WaZanzibari wapo 1.2 million kuna matatizo ya kugombea ardhi
kwani hiyo kauli wewe umeifurahia? Je hicho alichozungumzia sio chuki?nkongu ndasu
Kwani Mhe. Al Arfi ni Msukuma? Nyoyo zenu zimejaa maradhi ya chuki na Mwenyezi Mungu atawazidisha hayo maradhi yawaangamize.
kahtaan, gombesugu, Ritz
ninavyojua mimi ni kwamba wako Watanzania bara wengi tu wenye
kumiliki ardhi huko visiwani pamoja na makanisa ambayo ni ya bara;
au vp? Kiongozi anaemiliki hecta 500 Morogoro, 300 Bagamoyo, 250
Mbeya na bado anatamaa ya hect 400 Zanzibar ili azihodhi tu haiewzekani.
Hivi watanganyika mna matatizo ya ardhi mpaka mupewe na ardhi ya zanzibar?sie wenyewe haitutoshi kaeni huko kwenu tanganyika mulime,zanzbr kwanza.
Lazima Tuwe wakweli. Hivi wakija Watu millioni 2 tu kutoka Bara wakataka ardhi kweli tunayo ardhi hiyo. WaZanzibari wapo 1.2 million kuna matatizo ya kugombea ardhi
Cuf kina wabunge unguja na pemba. Ccm kina wabunge unguja tuhivyo ccm ni chama cha wabara walokuja na mwenge na vibaraka wachache
Wanajuwa vizuri kuwa huko si kwao ni shamba la Bibi tu, wajomba wakichacha watarudi kwao!Kwa kuwa suala la ardhi si la muungano basi hata Wazanzibari walioko bara wasiruhusiwe kumiliki ardhi bara. Wapemba waliojazana bara watambue kwamba wao ni wapangaji tu. Wakamiliki ardhi kwao na si bara!
Mkuu Averoes.nkongu ndasu
Kwani Mhe. Al Arfi ni Msukuma? Nyoyo zenu zimejaa maradhi ya chuki na Mwenyezi Mungu atawazidisha hayo maradhi yawaangamize.
kahtaan, gombesugu, Ritz
Wazanzibar wanatamani mambo ya zanzibar yawe ya kwao, wakati wanataka ya tanganyika iwe ya wote! Huu muungano ni wa kihuni kwelikweli!