CUF yapinga bara kupewa ardhi Z’bar

CUF yapinga bara kupewa ardhi Z’bar

Tanaganyika ina makablila zaidi ya 120. Unapotaka kuandika jambo jiridhishe kwanza kwamba unalifahamu vinginevyo unatueleza habari kuhusu wewe na uwezo wako bila sisi kuomba

Wanyamwezi na Wakurya wana tatizo gani? Jiografia haionyeshi kuwa wapo karibu
Wapare wanatoka Kilimanjaro, Warangi Singida, mikoa hiyo haina mpaka

Tatizo la znz ni kusikia hadithi na ni mafundi wa kueneza hadithi za kusimuliwa. Muda wa kwenda library ni kidogo sana.
Wznz tatizo lenu si muungano, ni zaidi ya hapo
Tatizo lenu nyinyi ni muungano ili kuweza kuitawala zanzibar na kunyakua rasilimali zake, kamwe hilo halitowezekana kwa kizazi hiki, mukwangwe uchi bungeni lakini mtaimbo umewaganda.

Tatizo kubwa linalo wasumbue eti zanzibar kujitangaza nchi, hivi mulikuwa hamuelewi kuwa zanzibar ni nchi ? Sasa muliiungana na nani kama zanzibar sio nchi ? Ndio mufahamu kuwa zanzibar ni nchi ina mipaka yake na ramilimali zake, hivyo basi rasilimali za zanzibar zitabakiwa kuwa za wazanzibari wenyewe, mukitaka musitake ndo ivyoo, vunjeni huo muungano tugawane mbao.

Ole Sendeka analia bungeni kura ya siri na wazi, ni wazi kwamba hofu yake kurudi kwa Tanganyika, na dhahiri kwamba wanao taka huu muungano ni Watanganyika kutaka kuitawala zanzibar na kuiba rasilimali zake, sasa munatumia vitisho kuwatisha wazanzibari watakao kwenda na msimamo wa DODOMO . Yagujuu

Mamlaka kamili kwanza ya Zanzibar.

P.S

Mujiandae kugawana mikoa, 120 makabila ? Hakutaishi salama ever and never. Soon utasikia mafia nao wanataka kujitenga, Na mkoa wa Tanga nao watataka kurudi himaya ya zanzibar, ,mombasa kenya harakati zimeanza kudai kutaka kujiunga na zanzibar. kazi kwenu.
 
Kama ni nchi Dodoma wamekuja kufanya nini?
 
Bimani alisema kuwa suala la ardhi siyo la Muungano tangu mkataba wa awali wenye orodha ya mambo ya Muungano na siyo sahihi kufanyika marekebisho ili kuwapa nafasi Watanzania Bara kumiliki ardhi Zanzibar kwani ni ndogo na ndiyo sababu hata waasisi wa Muumgano waliamua ardhi hiyo imilikiwe na wazanzibari pekee. Chanzo mwananchi

Wakati mwingine hawa watu wanazungumza utadhani kichwani kuna madudu fulani hivi... yaani hata hisabati za seti hawazielewi... Wazanzibari hawana ardhi ndogo... NO THEY DON'T...ila utakapofika wakati kweli watakuwa na ardhi ndogo kwelikweli.
 
MM nimesema mara nyingi tatizo la wznz siyo Muungano ni kitu kingine.

Wznz wanashangilia maneno ya Biman bila kujua kuwa wanchochea kuni. Siku moto ukiwaka watajua walikuwa wanachochea moto kuelekea vyumbani na si jikoni.

Namuunga mkono Bimani kwasababu anajenga uhalali bila kuombwa.
Hisabati ni somo la kuchagua siyo la lazima kule znz.
 
nkongu ndasu
Kwani Mhe. Al Arfi ni Msukuma? Nyoyo zenu zimejaa maradhi ya chuki na Mwenyezi Mungu atawazidisha hayo maradhi yawaangamize.
kahtaan, gombesugu, Ritz

Mkuu Averoes hawa wanafiki wala wasikupe tabu,
Maradhi yao na chuki zao za muda mrefu ni UISLAMU! ndio sababu wakautaja huo UARABU!

We umeshawahi kuona wana waongelea wale wala viti moto wenzao wanaomiliki mpaka viwanja vya kutua zile ndege zao ndogo ndogo zinazoleta unga huko Zanziabar!?
Huwezi kuona wanawakashifu hao wazungu au kuwabagua! Kisa!?
Eti wanafanana na mungu wao!
Na ngozi zao na yule mnyama wampendao mla kinyesi zinafanana!

Hizo chuki zitawamaliza wao wenyewe!

Na Waislamu.wataendelea.vizuri tu inshallah.
 
Last edited by a moderator:
Duh! huu mungano wa aina yake.vunjilia mbali.km hauna faida afu vikwazo vingi 2pilia uko wakalime karafuu.
 
Nyie Watanganyika mnapenda kukurupuka kama ni uzushi basi si ungetaka uthibitisho? Nakwambia tena Mtanganyika anaweza kumiliki ardhi akifuata utaratibu na hili la utaratibu si kwa Mtanganyika tu bali hata Wazanzibari wenyewe.
ili tumalize ubishi naomba tuwekee huo utaratibu hapa, maana mkielezwa ukweli mnaruka! Wazanzibar wabaguzi sana nyie!
 
Unajuwa mimi huwa nakushangaeni nyie na wengine ni viongozi wakubwa tu serikalini wakilizungumza hili la ardhi ya Zanzibar kama ni tofauti na ardhi ya Tanganyika. Hivyo wapi kusiko na utaratibu wa kumiliki ardhi?
Jee pale wafugaji na wakulima wanapozuiliwa kutumia ardhi watakavyo inakuwa nini ni ubaguzi au ni utaratibu. Utaratibu wa makazi uko duniani kote na taratibu huwekwa kwa sababu maalum. Inakuwaje tabu kwa Zanzibar kuweka taratibu za makazi na umiliki wa ardhi na kwanini iwe nongwa kwa wanaotaka kuhamia wasifuate taratibu za kupata ardhi hiyo?

Makelele yanayopigwa ni ya bure kwani hakuna kipengele hata kimoja cha katiba kilichomzuia Mtanganyika kumiliki ardhi lakini tatizo ni kuwa taratibu zilizowekwa hawataki kuzifuata na wachache walioelewa mbona wanamiliki ardhi Zanzibar!
yakhe, usilete uzushi katika mambo ya msingi, tafuta katiba yako ya hicho kisiwa chenu kiitwacho nchi ya zanzibar, utajua nini cuf wanachokisemea kuhusu kumiliki ardhi.
 
HII NI HOJA YA MSINGI NI LAZIMA WABARA WAWEZE KUMILIKI ARDHI VISIWANI ILA KWA KIWANGO MAALUMU NA NDIO UTAKUWA UDUGU WA KWELI NA MUUNGANO WA HAKI,ONA WALIVYOJAZANA BARA NA MAEKARI WANAYOMILIKI! bara ni lazima tushinikize hilo ati!
 
Mkuu Averoes hawa wanafiki wala wasikupe tabu,
Maradhi yao na chuki zao za muda mrefu ni UISLAMU! ndio sababu wakautaja huo UARABU!

We umeshawahi kuona wana waongelea wale wala viti moto wenzao wanaomiliki mpaka viwanja vya kutua zile ndege zao ndogo ndogo zinazoleta unga huko Zanziabar!?
Huwezi kuona wanawakashifu hao wazungu au kuwabagua! Kisa!?
Eti wanafanana na mungu wao!
Na ngozi zao na yule mnyama wampendao mla kinyesi zinafanana!

Hizo chuki zitawamaliza wao wenyewe!

Na Waislamu.wataendelea.vizuri tu inshallah.
katika kupigania kupatikana kwa tanganyika yetu hakuna cha uislamu wala ukristo au hata upagani, tanganyika kwanza, ndugu yangu, hatutarudi nyuma nchi ya mababu wetu irudi kwanza! Zanzibar iwe nchi jirani, tumechoka na makelele yenu! Allah atatuongoza katika kupata nchi yenu iliyouliwa na nyerere kwa kisingizio cha muungano, kwa kuibakiza hai nchi ndogo iitwayo zanzibar!
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine hawa watu wanazungumza utadhani kichwani kuna madudu fulani hivi... yaani hata hisabati za seti hawazielewi... Wazanzibari hawana ardhi ndogo... NO THEY DON'T...ila utakapofika wakati kweli watakuwa na ardhi ndogo kwelikweli.

MM nimesema mara nyingi tatizo la wznz siyo Muungano ni kitu kingine.

Wznz wanashangilia maneno ya Biman bila kujua kuwa wanchochea kuni. Siku moto ukiwaka watajua walikuwa wanachochea moto kuelekea vyumbani na si jikoni.

Namuunga mkono Bimani kwasababu anajenga uhalali bila kuombwa.
Hisabati ni somo la kuchagua siyo la lazima kule znz.

Sasa kama msemavyo ni kweli!
Na nyie mna busara kuliko hao wazanzibari wenyewe. Kiherehere cha nini cha kuung'ang'ania huo MUUNGANO!?

Yaanini basi kila mara mna waasa hao wazanzibari kuwa ohh mtaataabika! Ohh mtakuwa na ardhi ndogo ohh nyie busara zenu chache n.k.

Huu ndio tuuitao UNAFIKI!
RAIA Wa zanzibar HAWATAKI HUU MUUNGANO!
Sasa kama watataabika au kuathirika na huo utengano waacheni wao waathirike! Nyie kisebusebu cha nini!?

Au leo imekuwa wagalatia wanasimamia maslahi ya Waislamu na kujaribu kuwashauri waislamu Wasije pata tabu??

Pilipili ziko shamba nyie zinawawasha kivipi?

Mnasema wazanzibari hawa na busara wala akili nzuri ya kuamua mambo yao na hizo hesabati mnazijua nyie kuliko wao!
Sasa nauliza;@
nyie ndio wenye akili ya kuwapangia watu WASIOTAKA HATA KUONA SURA ZENU mambo yao?

Hivi ni nani aliyewataka ushauri ktk kutaka kuuvunja huo muungano wa kinafiki!?

Ajeeb kabisa!
 
katika kupigania kupatikana kwa tanganyika yetu hakuna cha uislamu wala ukristo au hata upagani, tanganyika kwanza, ndugu yangu, hatutarudi nyuma nchi ya mababu wetu irudi kwanza! Zanzibar iwe nchi jirani, tumechoka na makelele yenu! Allah atatuongoza katika kupata nchi yenu iliyouliwa na nyerere kwa kisingizio cha muungano, kwa kuibakiza hai nchi ndogo iitwayo zanzibar!

Hakuna kitu kinachoitwa tanganyika " yetu" hapa!
Hio tanganyika ingekuwa yetu basi na haki zote za kimsingi zingekuwa kwa kila mtanganyika! Lkn hilo halipo, na hizo haki zimeegemea imani moja kuliko imani zengine!

Na yule nyerere naomba MUNGU. amuongezee adhabu huko aliko!
Ametudhulumu kupita kiasi.
 
Ningeshangaa kama ungechangia bila matusi. Hoja zako hazisimami ila kwa matusi
-Ningeshangaa usingeingiza mambo ya imani, kwako wewe hata mlima kilimanjaro una dini.

-Lakini jiulize wznz kama hawataki muungano kwanini wapo Dodoma.
Wasingietaka leo kungelikuwa hakuna majadiliano maana wangekuwa na nchi huru.
Kinyume chake Pandu Kificho ndiye mwenyekiti hadi hatua hii.
Duni Haji anamsaidia kuandika kanuni, Ismail Jusa ni mshiriki wa kamati ya kuandika kanuni, Idd Seif yupo, Prof Sheriff yupo.
Kila kundi kutoka znz limewakilishwa, vipi useme hawataki muungano. Waliokataa muungano hawapo Dodoma.

Ningekusihi utangulize busara maana picha unayotoa si nzuri.
Nasikia wewe ni msomi basi tumia usomi wako kujenga na kujadili hoja bila matusi au uchefu chefu.

Kwasasa mahali ulipo unadhalilisha kile unachiokisimia. Sidhani kama kuna mtu au kitu kinachoweza kujinasibisha nawe maana ni dhalili.
Umemdhalilisha Mohamed Said katika nyuzi hadi amekimbia jamvi, mzee wa watu ameonekana dhalili kwani wanafunzi wake kama wewe mumemtia aibu. Nyuzi za Mzee Said ndio uwanja wa badhi yenu kujifunzia matusi mitandaoni. Huonekani kujifunza kwa dhahma uliomsababishia Mo

Uislam ni imani na dini na inasimama kwa taratibu na sheria zake. Uislam hausimamishwi kwa matusi na wala Daawa ya kuwafikia wasioamini haikuwahi kuwa matusi.
Imeelezwa walinganieni kwa kauli njema ili muwavute katika dini, matusi na kauli mbovu si ulinganifu.

Kila mara wewe ni chanzo cha kuharibu nyuzi za watu. Unapokimbiwa si kwamba unaogopwa bali watu wanakuogopa hata kujinasibisha katika mnakasha nawe. Najisikia huzuni ninapojua hujaliona hilo

Kuna wakati unapaswa ukue na kama umekuwa ufungue akili.
Niwie radhi ndugu yangu nayasema haya kwasababu anayekwambia ukweli ndiye akupandeya.
Na wala sina nia ya kukutaftish nina nia njema ya kukusaidia, ulipo sipo na wala hapafai, jirudi na jitazemae upya

Masalam
 
Ningeshangaa kama ungechangia bila matusi. Hoja zako hazisimami ila kwa matusi
-Ningeshangaa usingeingiza mambo ya imani, kwako wewe hata mlima kilimanjaro una dini.

-Lakini jiulize wznz kama hawataki muungano kwanini wapo Dodoma.
Wasingietaka leo kungelikuwa hakuna majadiliano maana wangekuwa na nchi huru.
Kinyume chake Pandu Kificho ndiye mwenyekiti hadi hatua hii.
Duni Haji anamsaidia kuandika kanuni, Ismail Jusa ni mshiriki wa kamati ya kuandika kanuni, Idd Seif yupo, Prof Sheriff yupo.
Kila kundi kutoka znz limewakilishwa, vipi useme hawataki muungano. Waliokataa muungano hawapo Dodoma.

Ningekusihi utangulize busara maana picha unayotoa si nzuri.
Nasikia wewe ni msomi basi tumia usomi wako kujenga na kujadili hoja bila matusi au uchefu chefu.

Kwasasa mahali ulipo unadhalilisha kile unachiokisimia. Sidhani kama kuna mtu au kitu kinachoweza kujinasibisha nawe maana ni dhalili.
Umemdhalilisha Mohamed Said katika nyuzi hadi amekimbia jamvi, mzee wa watu ameonekana dhalili kwani wanafunzi wake kama wewe mumemtia aibu. Nyuzi za Mzee Said ndio uwanja wa badhi yenu kujifunzia matusi mitandaoni. Huonekani kujifunza kwa dhahma uliomsababishia Mo

Uislam ni imani na dini na inasimama kwa taratibu na sheria zake. Uislam hausimamishwi kwa matusi na wala Daawa ya kuwafikia wasioamini haikuwahi kuwa matusi.
Imeelezwa walinganieni kwa kauli njema ili muwavute katika dini, matusi na kauli mbovu si ulinganifu.

Kuna wakati unapaswa ukue na kama umekuwa ufungue akili.
Niwie radhi ndugu yangu nayasema haya kwasababu anayekwambia ukweli ndiye akupandeya.
Na wala sina nia ya kukutaftish nina nia njema ya kukusaidia, ulipo sipo na wala hapafai.

Masalam

Nadhani nilishakuonya muda mrefu huko nyuma kuwa.l, ninapo jadili na wewe SIPENDELEI uingize watu wengine ktk mjadala! Lkn kutokusikia kwako ni dalili tosha ya hizo busara zako zilivyo nyingi!
Suala la wazanzibari Kwenda huko kwa wagogo Dodoma limekuwa HALINA BUDI! Na cha kushangaza ni kuwa nyie mjifanyao na busara za kuwapangia wazanzibari mambo yao mnashindwa kutambua kuwa Systems zilizowekwa na wagalatia ni kuwa HUWEZI KUFIKISHA UJUMBE WAKO NA MAHITAJI YAKO mpaka uwe nao huko dodoma!
Ya laiti kama hilo baraza la wawakilishi lingekuwa na nguvu km hilo la Dodoma SIDHANI KAMA UNGEKUTA MZANZIBARI MMOJA HUKO Ugogoni!

Wanasema Waungwana mtaka cha uvunguni.....!
Na hao wazanzibari walioko huko dodoma m kilicho wapeleka huko Sio kutamani au KUPENDA kujiingiza ktk System za kigalatia bali HAWANA BUDI kufanya hivyo ili na wao WAPATE JAPO KUSIKIKA VILIO VYAO!
Ni km mfano wa Leo Palestine kujiingiza ktk BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA!
Sio mapenzi ya wapalestina kujiunga na wale makafiri wa UN bali ni moja ya njia ya kuweza KUSKIKA SAUTI ZAO Juu ya dhulma na inda wanazifanyiwa na MAKAFIRI WA Israel!

Narudia tena kukwambia WAACHENI WAZANZIBARI NA MAMBO YAO! Kiherehere kwa mwanamme madhbuti HAKIFAI!
Na km hayo unayaita matusi basi let be it!
Mimi nakwambia ukweli tu! Tatizo lako wewe na wenzako mnataka muambiwe mnacho kitaka nyie!

Na mwisho nakuonya tena!
Mnakasha wangu mi na wewe usiingize wasio kuwemo.

Au utanilazimisha nikuvunjie heshima yako!

Waacheni WAZANZIBARI WAAMUE WAKITAKACHO WAO! Nyie kalimeni mahindi huko uziguani. Mvua zimeshaanza!
 
Last edited by a moderator:
katika kupigania kupatikana kwa tanganyika yetu hakuna cha uislamu wala ukristo au hata upagani, tanganyika kwanza, ndugu yangu, hatutarudi nyuma nchi ya mababu wetu irudi kwanza! Zanzibar iwe nchi jirani, tumechoka na makelele yenu! Allah atatuongoza katika kupata nchi yenu iliyouliwa na nyerere kwa kisingizio cha muungano, kwa kuibakiza hai nchi ndogo iitwayo zanzibar!

Kama wew ni Muisilamu wa kweli basi unajidanganya, wenzio hawapiganii Tanganyika yao bali huweka mbele UKAFIRI wao kama ilivyokuwa kwa huyo baba yao wa Taifa aliyewasaliti babu zako Waisilamu waliomkaribisha kweny TANU yao akina Sykes na Takadiri, hapo bado hujajifunza endeleza upuuzi wako!!
 
Hakuna kitu kinachoitwa tanganyika " yetu" hapa!
Hio tanganyika ingekuwa yetu basi na haki zote za kimsingi zingekuwa kwa kila mtanganyika! Lkn hilo halipo, na hizo haki zimeegemea imani moja kuliko imani zengine!

Na yule nyerere naomba MUNGU. amuongezee adhabu huko aliko!
Ametudhulumu kupita kiasi.
ngoja uone nisemacho, zanzibar iachwe iende salama, tanganyika lazima irudi, hatuwezi tukawa na muungano wa changu ni chetu, halafu chako ni chako kamwe! Otherwise zanzibar must surrender her identity!
 
Back
Top Bottom