Ritz, busara kidogo inaweza kuhamisha mlima. Kusoma UDSM sio tija, nimesoma hapo, JK amesoma hapo so what? Viongozi wengi walioko madarakani wamesoma hapo lakini tupo hapa tulipo!!
Usomi sio kigezo pekee cha uongozi bora.
hahahaha!!!
kwani ukihitimu madrasa al sul unakuwa msomi?
kama ni hivo mimi nitaslimu kwa kuwa nina ham kweli ya kuitwa msomi.
Kwa habari ya CDM kufadhiliwa na kada wa CCM, Sabodo, sioni tatizo. Tatizo ni USAFI wa ufadhili wenyewe. Mzee Sabodo usafi wa biashara zake hautiliwi shaka, ni miongoni mwa matajiri wachache wa nchi hii ambao ni wafuasi safi wa falsafa za Mwalimu na mchambuzi aliyebobea wa masuala mbalimbali ya kiuchumi na kijamii - laiti kama ungekuwa umewahi kusoma angalau makala zake ungefahamu kitu fulani kumhusu. Huwezi hata kwa nukta wala yodi moja kumlinganisha Mzee Sabodo na sijui na mijizi gani ile.
Kuhusu CUF kuipa kwanza talaka CCM ili kunda kambi ya upinzani Bungeni mimi nadhani ni kinyume chake; CUF waombe kwanza talaka (na sio kutoa) - na bahati mbaya mwenye mke anaweza kuamua kutoitoa hiyo talaka - kazi ipo.
Hawa jamaa walishafunga ndoa na CCM, hapo hapo wanahitaji kujamiiana na CDM, je wana mapenzi kweli na CDM?
iNAWEZEKANA wakawa na nia ya ukombozi lakini approach yao haikuwa nzuri sana, kwani toka mwanzo wamekuwa wakiikandia CDM kama wao sio chama cha Upinzani.
Pili, kuwa kuwakubali kama wakiwa na nia nzuri will be a milestone idea kwa sababu kila hoja itakayoibuliwa bungeni wapinzani watakuwa na nguvu sana wala hawatayumbishwa...
Hivi wewe una akili timamu kweli unafikiri kusoma UDSM ni usomi basi kuanzia leo niite msomi kwa vile nimesoma UDSM, sina haja ya kulumbana na wewe kwa sababu ndani ya uongozi wa CDM si kuwa kuna viongozi waliosoma pale tu kuna ma-lecturer bado wanafundisha pale leo.1.Ibrahim lipumba UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
2.Juma Duni UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
3.Ismail Jussa UNIVERSITY OF HULL CITY. UK
4.Hamad Rashid UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
5.Julius Mtatiro UNIVERSITY OF DAR ES SALAA
6.Maalim seif UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
hiyo ndio safu ya viongozi wa CUF sasa sijui utasilimu dini kama ulivyosema..basi kama uwezi kusilimu nipe tig...unadhani watu wote wajinga kama wewe kwanza na wasiwasi na Elimu yako kama umesoma chuo basi chuo cha kata kama viongozi wako kina mbowe na wenzake..Viongozi wasomi Chadema ni wawili tu ZITTO na LISU..UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM.
Mbowe alishaweka wazi kuwa CDM iko tayari kufanya kazi na chama makini but they are not bounded, kama CUF & co. wametubu na wamevunja kambi yao then they are welcome lakini wasije kwa nia ya kupata vyeo.Kama kuna kipindi Muhimu katika siasa za CHADEMA Basi ni hiki, Uamuzi wa CUF, NCCR,TLP,UMD wa Kumuandikia Baruwa Mhe Mbowe na Kumuomba awashirikishe katika Kambi ni Ujasiri na Ukomavu wa Kisiasa wa Vyama hivyo nasema Hongera hAMAD rASHID na Viongozi wa Kambi ndogo, Ushauri wangu kwa Mhe Mbowe kuwa jasiri yasahau ya Nyuma weka Maslahi ya Kambi Mbele ubinafsi utupe mbali, nyosha Mikono yako uwapokee wenzako kwania safi ufanmye nao kazi kwaaslahi ya Watanzania Wanyonge walio wengi waliokandamizwa na CCM, vyenginevyo ukiwapuuza na Kuwakatalia wenzako ukasahabikia Utengano na kusaikiliza Kiburi cha Wapambe wako basi majuto yatakuja baadae. nchi hii haiwezi kukombolewa na Chama Kimoja bali vyama vyote dhidi ya CCM.
Nakuomba tena Mwenyekiti Mbowe tujengee historia Mpya ya Upinzani ndani ya Mkutano Huu unaoanza sasa ndani ya Bunge. DAMU za Mashujaa waliodhulumiwa ARUSHA zinataka Kutetewa na zile zilizopotezwa kila palipo na wanamageuzi nazo zinataka Kuenziwa.
Mbowe alishaweka wazi kuwa CDM iko tayari kufanya kazi na chama makini but they are not bounded, kama CUF & co. wametubu na wamevunja kambi yao then they are welcome lakini wasije kwa nia ya kupata vyeo.
Nani amewataka.Give and take rule, hivi mnawataka bila kuwapa chochote..
Wakikubali watakuwa maf..ala
Hivi wewe una akili timamu kweli unafikiri kusoma UDSM ni usomi basi kuanzia leo niite msomi kwa vile nimesoma UDSM, sina haja ya kulumbana na wewe kwa sababu ndani ya uongozi wa CDM si kuwa kuna viongozi waliosoma pale tu kuna ma-lecturer bado wanafundisha pale leo.
1.Ibrahim lipumba UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
2.Juma Duni UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
3.Ismail Jussa UNIVERSITY OF HULL CITY. UK
4.Hamad Rashid UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
5.Julius Mtatiro UNIVERSITY OF DAR ES SALAA
6.Maalim seif UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
hiyo ndio safu ya viongozi wa CUF sasa sijui utasilimu dini kama ulivyosema..basi kama uwezi kusilimu nipe tig...unadhani watu wote wajinga kama wewe kwanza na wasiwasi na Elimu yako kama umesoma chuo basi chuo cha kata kama viongozi wako kina mbowe na wenzake..Viongozi wasomi Chadema ni wawili tu ZITTO na LISU..UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM.
CUF ni chama tofauti na CCM na CHADEMA.. CUF kimekaa kitaifa zaidi kina wabunge sehemu zote za Tanzania. Bara kina viti vya ubunge. Pemba kina viti vya ubunge, Unguja kina vitu vya ubunge. nadhani umeona tofauti ya CUF na vyama vingine