CUF sasa wawapigia magoti CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF sasa wawapigia magoti CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jan 23, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wapinzani wamsihi Mbowe

  Kambi ya upinzani isiyo rasmi bungeni imemuandikia barua Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuomba wachaguliwe kuunda Baraza la Mwaziri Kivuli kwenye Bunge ili waweze kushirikiana kwa dhati kama kambi ya upinzani.

  Katika barua ya kambi hiyo iliyosainiwa na mwenyekiti wa kamati hiyo Hamad Rashid na katibu wake David Kafulila kwenda kwa Mwenyekiti wa Chadema wamesema wanaomba ushirikiano huo uanze kwenye Mkutano wa Bunge unaotarajiwa kuanza Februari mwaka huu.

  Kambi hiyo ilimsihi Mbowe kuunda kambi ya upinzani imara ikishirikisha vyama vyote vya upinzani ili kuimarisha nguvu ya upinzani bungeni na kuibana serikali ya CCM kwa pamoja.

  Vyama vilivyotoa ombi hilo ni CUF chenye wabunge 33, NCCR Mageuzi chenye wabunge wanne, TLP mbunge mmoja na UDP mbunge mmoja wakati Chadema kikiwa na wabunge 47.

  Chadema ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani kimeunda kambi ya upinzani peke yake huku mwenyekiti wake akichaguliwa kuwa kiongozi wa kambi hiyo na nafasi nyingine za mawaziri kivuli zikijazwa na wabunge wa chama hicho pekeeĀ…..


  Habari zaidi katika Mwananchi Jumapili.

   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  CDM wasithubutu kabisa kabisa kufanya kosa kama hilo...please CDM! Hivi hamfahamu kama CUF inafadhiliwa na RA -- ambaye ni hasimu mkubwa CDM?

  Puuzeni ninalowaambia mtakuja juta. Hili suala la Dowans ndilo RA anataka kuanza nalo Bungeni kwa kuitumia CUF. Watch out!!!!
   
 3. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Jamani hebu CDM wasikilizeni hao na mkiona kuna dalili ya usaliti au mkigundua wametumwa na green guard muwakatilie mbali
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuna haja ya kuchangamana nao bse lengo ni kujenga nchi sio kubomoa
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Imekuwaje tena? Huyo Hamadi Rashidi alikuwa anawakandia sana CDM na hasa Mbowe. Mnakumbuka ule mdahalo wa ITV?

  Mie pia nina wasi wasi kwamba hawa CUF wanataka kuwafanyia CDM kitu mbaya.
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Jamani, waacheni waje. Kama Hamadi Rashidi au Kafulila wakienda kinyume cha azma ya upinzani si Mbowe anaweza kuwatimua kutoka kwenye Bara Kivuli?

  Hamadi Rashidi (mkuu wa kambi wa upinzani bunge lililopita) alisha mtimua John Cheyo wakati wa kikao cha bajeti mwaka jana pale Mbunge huyo wa UDP alipotoa kauli ya kuiunga mkono bajeti kwa asilimia 100!
   
 7. kagumyamuheto

  kagumyamuheto JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hicho ni chambo kwa CDM. Ukinasa unasalimika na ukikwepa mtego umeliwa!
   
 8. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  cuf ni tawi la ccm,cdm kumbukeni jinsi walivyowazomea wakati mlipotoka bungeni,hakuna haja ya kuwakubali,,,,
   
 9. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  You are totally confused upstairs!!! Unless you elucidate.
   
 10. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,535
  Trophy Points: 280
  Hakuna haja hata ya kuwasikiliza. CUF ni ndumilakuwili. Hivyo CHADEMA tafadhalini msiwasikilize hao.

  AMANDLA.
   
 11. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mbwe usithubutu kufikilia kitu kama hicho . Naamini watumwa na ccm kuwamaliza . be very carefuly
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 12,035
  Trophy Points: 280
  CDM inachotaka ni ukombozi wa wananchi na si ukombozi wa vyama, kama CUF watakuwa wameona makosa yao na kuyajutia wanaweza kukaribishwa wakienda kinyume wanafukuzwa kama alivyofukuzwa Cheyo.
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kama wanaona kuna haja ya kuwashirikisha basi wawashirikishe ila tu
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sio mbaya kama wakishirikishwa wakaweka watu wawili kutoka CUF kwa kuwa wamewaandikia barua kuwaomba basi CDM wawafikirie
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  H aha ha ha ha
   
 16. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi naona bora wawakubalie ili wawe na nguvu kumbukeni Caf wapo 33 Cdm 44 hapo namba hizo zikiwa pamoja kwa CCM ni mwiba wa samki mkiwabwaga imekula kwenu watakuwa na CCM
   
 17. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  CDM msiwe wabinafsi....mi nashauri muunganishe nguvu kwa kila anayetaka mapinduzi ya kuikomboa nchi yetu dhidi ya utawala dhalimu wa mafisadi.
  Kuungana na vyama vingine haina maana ndo watawaharibia ...maana lazima kutakua na miongozo na maadili ya kufanya kazi katika huo muungano....Lingine ni kwamba sisi wananchi tupo makini sana kwa sasa na twajua ni nani wa ukweli na ni nani wa uongo.
  Msiwaogope kamwe wachukueni kwenye muungano ili mladi wafuate kanuni za huo muungano.
   
 18. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jamani si walidai hawataki kuwaachia nguruwe (CCM) kumaliza shamba, sasa wamesahau nini?
   
 19. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #19
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  o
  Umenifurahisha sana hilo la RA kuifadhili CUF, ofcourse ni unfounded allegation! Lakini la CDM kufadhiliwa na Kada wa CCM Sabodo mbona unalifumbia macho? Acha unafiki!
   
 20. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  KAFU mbona wanakua kama ma...laya ...kule zanzibar wameshirikiana na sisiem wakaunda serikali ya mapinduzi ... huku bara wanataka waungane na CDM waunde serikali kivuli ya upinzani.... sasa wachague bwana mmoja tu...sisiem au CDM .... kama wanataka kuungana na CDM waipe talaka sisiem
   
Loading...