CUF sasa wawapigia magoti CHADEMA

Hawa jamaa walishafunga ndoa na CCM, hapo hapo wanahitaji kujamiiana na CDM, je wana mapenzi kweli na CDM?
iNAWEZEKANA wakawa na nia ya ukombozi lakini approach yao haikuwa nzuri sana, kwani toka mwanzo wamekuwa wakiikandia CDM kama wao sio chama cha Upinzani.
Pili, kuwa kuwakubali kama wakiwa na nia nzuri will be a milestone idea kwa sababu kila hoja itakayoibuliwa bungeni wapinzani watakuwa na nguvu sana wala hawatayumbishwa...
Tuko pamoja Mallaba nilikuwa nasahihisha tu ile sentensi ya CDM kufanya maamuzi mepesi au magumu.
 
Kweli ukipenda chongo utaona kengeza, kama ni hivyo ina maana CCM na wasomi wake wote inahangaishwa na wasomi wawili tu wa CDM, basi mbumbumbu mko wengi sana humo CCM.

Vyama vyote ukipima kwa usomi chama chenye viongozi wasomi ni CUF peke yake
 
CDM mliona body language ya Lipumba na Mama Kombani siku ya kongamano UDASA? Najua kuna intelligent people ndani ya chadema wanaoweza kufanya maamuzi yenye akili.
Yes, Intelligent people are those who can work shoulder to shoulder with emenies.
 
Vyama vyote ukipima kwa usomi chama chenye viongozi wasomi ni CUF peke yake

Mbona una hangaika mkuu? nataka kukufananisha na tambwe.. nini wasiwasi? kwamba cuf mtakataliwa na chadema? subiri vichwa vilivyo enda shule viwatathmini kama kuna umuhimu wa kuwajumlisha mtajumlishwa. kikubwa maendeleo ya kweli tunahitaji, sio kuchakachua mpaka noti mpya. laanakum shishiemu.
 
Ninawashauri CDM watumie busara ya hali ya juu kabisa katika hili. Busara yangu inanieelekeza kwanza wakae pamoja na kusafisha hali ya hewa iliyojitokeza wakati wa mdahalo. CDM ipime kama maombi yao ni ya dhati. Wakisharidhika hilo, basi wapewe nafasi tatu za mawaziri vivuli. wasipewe wizara nyeti hata moja. CUF wapewe wizara ya Michezo na Utamaduni na Wizara ya Mazingira; NCCR wapewe wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, TLP asipewe kitu kwani huyu ni mchafuzi na ndumila kuwili. Baada ya hapo waanze kupimwa utendaji wao. Wakionekana kuzorotesha mambo, basi waondolewe.
 
waziri kivuli anakazi gani zaidi ya kupewa muda zaidi wa kuchangia wakati wizara yake ikijadiliwa kwenye kikao cha bunge?
 
Ninawashauri CDM watumie busara ya hali ya juu kabisa katika hili. Busara yangu inanieelekeza kwanza wakae pamoja na kusafisha hali ya hewa iliyojitokeza wakati wa mdahalo. CDM ipime kama maombi yao ni ya dhati. Wakisharidhika hilo, basi wapewe nafasi tatu za mawaziri vivuli. wasipewe wizara nyeti hata moja. CUF wapewe wizara ya Michezo na Utamaduni na Wizara ya Mazingira; NCCR wapewe wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, TLP asipewe kitu kwani huyu ni mchafuzi na ndumila kuwili. Baada ya hapo waanze kupimwa utendaji wao. Wakionekana kuzorotesha mambo, basi waondolewe.
Nimezipenda hizo wizara ni kama JK na kina 6 vile.
 
You are quite right ndiyo maana CUF imejichimbia Pemba kwa hilo naungana na wewe.

CUF ni chama tofauti na CCM na CHADEMA.. CUF kimekaa kitaifa zaidi kina wabunge sehemu zote za Tanzania. Bara kina viti vya ubunge. Pemba kina viti vya ubunge, Unguja kina vitu vya ubunge. nadhani umeona tofauti ya CUF na vyama vingine
 
Hivi kweli CUF na CDM mnaanza gombana. Mnanifanania na wapalestina. Wanapigana wao kwa wao ndani ya nchi ambayo wote wamenyanganywa. Its fighting to be the master slave while forgettin u r all slaves.
 
CUF ni chama tofauti na CCM na CHADEMA.. CUF kimekaa kitaifa zaidi kina wabunge sehemu zote za Tanzania. Bara kina viti vya ubunge. Pemba kina viti vya ubunge, Unguja kina vitu vya ubunge. nadhani umeona tofauti ya CUF na vyama vingine

Yeah -- ni kweli. Kura zote walizopata wabunge wa CUF huko Pemba na Unguja hazizidi kura alizopata Halima Mdee kule Kawe. Uko nami?
 
Mbona una hangaika mkuu? nataka kukufananisha na tambwe.. nini wasiwasi? kwamba cuf mtakataliwa na chadema? subiri vichwa vilivyo enda shule viwatathmini kama kuna umuhimu wa kuwajumlisha mtajumlishwa. kikubwa maendeleo ya kweli tunahitaji, sio kuchakachua mpaka noti mpya. laanakum shishiemu.

mkuu nadhani wewe unaweza kuwa pacha wa tabwe kwa kusema uhongo JF watupime kwa maneno yetu. wewe unasema Chadema viongozi wake wasomi. mimi nasema sio kweli wasomi ni wawili tu wamesoma UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM. ZITTO na LISU nadhani JF wamejua nani pacha wa Tambwe
 
CUF ni chama tofauti na CCM na CHADEMA.. CUF kimekaa kitaifa zaidi kina wabunge sehemu zote za Tanzania. Bara kina viti vya ubunge. Pemba kina viti vya ubunge, Unguja kina vitu vya ubunge. nadhani umeona tofauti ya CUF na vyama vingine
Sawa nani kakataa basi undeni serikali kivuli kama mnaweza, wakati huo huo tunaishughulikia barua yenu ya posa tuone kama hamjaolewa sehemu nyingine lakini habari za kiintelijensia tulizo nazo zinasema mmewekwa kinyumba unaweza kanusha hilo.
 
You are totally confused upstairs!!! Unless you elucidate.

Cijaona alipokosea wote(CUF,UDP,SSR,TOLP et) walisifia uchaguzi ulopita,wakakumbatiana na Jk,wakanywa pombe nae wakamcheka CDM,leo wanaona CDM chama akifi maana wanakitabilia kila kukicha.
 
Wewe unajua kwa nini SABODO kada CCM anawapa Chadema pesa? Muhindi mtu hatari mtakuja juta. Watch out!!

Mzee SABODO ni muadilifu, pesa anazowapa CHADEMA zimepatikana kihalali kama za "NDESAPESA" tofauti na pesa za mwivi RA. Ingekuwa Mzee Sabodo amepata pesa hizo kwa kampuni kama Kagoda, Door Ones, Meremeta ama Richmonduli wangesha mfilisi!

Kama ni kujuta, tunajuta kwa kumuachia mtu hatari zaidi Muiran Rost al Aziz kututawala na si vinginvyo. Tumo kwenye "UTUMWA MAMBOLEO" Tunamtumikia yeye!
 
Vyama vyote ukipima kwa usomi chama chenye viongozi wasomi ni CUF peke yake

hahahaha!!!

kwani ukihitimu madrasa al sul unakuwa msomi?

kama ni hivo mimi nitaslimu kwa kuwa nina ham kweli ya kuitwa msomi.
 
Naamini cdm hawawezi kuwapa chochote..kwakuwa ni walafi wa madaraka

Hata wakiwapa it does not change anything...in Tanzanian politics..nothing
 
Mzee SABODO ni muadilifu, pesa anazowapa CHADEMA zimepatikana kihalali kama za "NDESAPESA" tofauti na pesa za mwivi RA. Ingekuwa Mzee Sabodo amepata pesa hizo kwa kampuni kama Kagoda, Door Ones, Meremeta ama Richmonduli wangesha mfilisi!

Kama ni kujuta, tunajuta kwa kumuachia mtu hatari zaidi Muiran Rost al Aziz kututawala na si vinginvyo. Tumo kwenye "UTUMWA MAMBOLEO" Tunamtumikia yeye!

Sabodo ni muuza unga..kama mbowe hizo pesa ni halali?
 
Back
Top Bottom