CUF sasa wawapigia magoti CHADEMA

CUF sasa wawapigia magoti CHADEMA

Mbowe alishaweka wazi kuwa CDM iko tayari kufanya kazi na chama makini but they are not bounded, kama CUF & co. wametubu na wamevunja kambi yao then they are welcome lakini wasije kwa nia ya kupata vyeo.

Source: Mtanzania 24/01/2011 UK. 2
Diwani awapiga kijembe waislamu

Diwani wa viti maalum, kata ya Kariakoojijini Dar, Aisha Sururu (CCM), amedai maendeleo duni waliyonayo Waislamu nchini yanasababishwa na uvivu wa kufikiria wa viongozi wa dini hiyo.
Suruna ambaye pia ni muislamu alikiri kuwa, jamii kubwa ya kiislamu ipo nyuma katika maendeleo ikilinganishwa na jamii ya dini nyingine, hali ambayo alidai inachangiwa na viongozi wa dini hiyo kukosa dira na mipango ya maendeleo.
Aliyasema hayo Dar muda mfupi kabla ya kugawa vyeti kwa waitimu wa kozi maalum ya wanawake wa kiislamu...
Mafunzo hayo ya wiki nane, yalihusisha wanawake 41, ambao walijifunza maarifa ya dini ya kiislamu, ikiwa pamoja na somo la Qur-an, elimu ya wanawake, tabia njema (akhlaq), maziko na jinsi ya kusitiri maiti.
Katika mazungumzo yake, Sururu aliwataja Masheick, maimamu na wanazuoni wa kiislmu chini ya BAKWATA, kwamba wote kwa ujumla wamebweteka na hawana mipango yoyote ya maendeleo dhidi ya jamii hiyo.....

Maelezo zaidi soma gazeti
 
watamtangazia fatwa huyo mama...we subiri
 
1.Ibrahim lipumba UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
2.Juma Duni UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
3.Ismail Jussa UNIVERSITY OF HULL CITY. UK
4.Hamad Rashid UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
5.Julius Mtatiro UNIVERSITY OF DAR ES SALAA
6.Maalim seif UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
hiyo ndio safu ya viongozi wa CUF sasa sijui utasilimu dini kama ulivyosema..basi kama uwezi kusilimu nipe tig...unadhani watu wote wajinga kama wewe kwanza na wasiwasi na Elimu yako kama umesoma chuo basi chuo cha kata kama viongozi wako kina mbowe na wenzake..Viongozi wasomi Chadema ni wawili tu ZITTO na LISU..UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM.

Source: Mtanzania 24/01/2011 UK. 2
Diwani awapiga kijembe waislamu

Diwani wa viti maalum, kata ya Kariakoojijini Dar, Aisha Sururu (CCM), amedai maendeleo duni waliyonayo Waislamu nchini yanasababishwa na uvivu wa kufikiria wa viongozi wa dini hiyo.
Suruna ambaye pia ni muislamu alikiri kuwa, jamii kubwa ya kiislamu ipo nyuma katika maendeleo ikilinganishwa na jamii ya dini nyingine, hali ambayo alidai inachangiwa na viongozi wa dini hiyo kukosa dira na mipango ya maendeleo.
Aliyasema hayo Dar muda mfupi kabla ya kugawa vyeti kwa waitimu wa kozi maalum ya wanawake wa kiislamu...
Mafunzo hayo ya wiki nane, yalihusisha wanawake 41, ambao walijifunza maarifa ya dini ya kiislamu, ikiwa pamoja na somo la Qur-an, elimu ya wanawake, tabia njema (akhlaq), maziko na jinsi ya kusitiri maiti.
Katika mazungumzo yake, Sururu aliwataja Masheick, maimamu na wanazuoni wa kiislmu chini ya BAKWATA, kwamba wote kwa ujumla wamebweteka na hawana mipango yoyote ya maendeleo dhidi ya jamii hiyo.....

Maelezo zaidi soma gazeti
 
o
Umenifurahisha sana hilo la RA kuifadhili CUF, ofcourse ni unfounded allegation! Lakini la CDM kufadhiliwa na Kada wa CCM Sabodo mbona unalifumbia macho? Acha unafiki!

nNyekundu ni hatari na kirusi cha Taifa ,ndo maana anafadhili kimyakimya na kwa kkificho. Mr. Sebodo anajenga na anfanya mambo yake kwa uwazi si kificho na anatoa sababu za kutoa michango yake.
 
CDM wasikubali kuwashirikisha cuf kwenye upinzani bungeni.Ni wanafki na hutuko tayari kuwa wake wenza wa ccm.
 
hili nalo neno, ni mtego mkubwa sana kwa chadema. kama wakiamua kuungana nao wawe makini sana kwani cuf ni sehemu ya serikali ya ccm
 
Wabunge karibu wote wa CUF ni kutoka Pemba, hawa watakuwaje na uchungu na Tanganyika yetu? Wasiingizwe, isipokuwa NCCR mimi napendekeza waingizwe tu. Kwa mfano Kafulila amekwenda NCCR kwa bahati mbaya tu na wala ha-fit huko, huyo ni CDM tu na ana shauku ya ukombozi wa kweli wa nchi yetu, huyo anaweza kuingizwa. Mrema hapana, Cheyo hapana.

MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
 
Mimi nashauri Chadema wasiwakaribishe CUF, wao CUF kama wana nia ya dhati kabisa kupambana na CCM kwani ni lazima wawe viongozi? Huyo Hamad Rashid naona ana uchu wa madaraka sana.
 
huu ni mtihani mkubwa sana kwa CHADEMA. maamuzi ya kuwashirikisha CUF na wenzake inaweza ikawa faida kwa kambi ya upinzani au hasara. Ila napatwa na wasiwasi sana na CUF wakati wa uchaguzi wa spika na naibu wake walisema wamepewa maelekezo toka zanzibar kwamba kwa kuwa wameungana na CCM kwa upande wa Zanzibar basi wao ni serikali na hawana budi kuiunga CCM bara. Swali kwani ule muungano wao na CCM Zanzibar umekwisha?kama vp tuwateme labda waje na jipya litalotuingia akilini na sii kukurupuka na kutaka kuungana na washindi wa kila upande. pia ni lazima watueleze dhamira yachama chao.je wao wamelenga kuungana na washindi tu?? au ni kupigania na kutetea haki?
Richard hakuna mtego hapa kila kitu kipo wazi kuwa CUF wana lao jambo ambalo wanataka kulitekeleza kwa kutumiwa na bwana zao CCM.

CUF wameonyesha wazi wao hawako kwa maslahi ya watanzania, hii imejidhihilisha kwenye chaguzi za Spika, Naibu spika na ma meya, baada ya kuona chaguzi zimekwisha leo ndiyo wanajitokeza.

Tutajuaje unafiki walioufanya Mwanza hawataurudia, tutajuaje wabunge wa CUF hawatapokea maelekezo toka Zanzibar kama ilivyofanyika wakati wa uchaguzi wa spika.

CDM iangalie uwepo wao au kutokuwepo kutasaidia kitu gani, je watakuwa na majority votes bungeni? after all kuunga hoja hakuendani na uko chama gani kunategemea hoja hiyo ina maslahi gani kwa taifa hata ukiwa CCM unaweza kuunga hoja ya upinzani kama ina maslahi kwa taifa.
 
Hakuna aliyepigiwa magoti kilichoombwa hapo ni ushirikiano si nafasi ya kuwamo katka baraza la mawaziri kivuli la chadema, ukweli utabaki pale pale kuwa hata wapinzani wote waungane kuwa kambi moja (though there will be differences) lakini hawataweza kukisumbuwa CCM seuze kwa chadema kuujitenga peke yake (it will definetely make no difference), kama uungwana na kwa kuwa CUF haina ugomvi na chadema kama Mbowe anavyojitahidi kufanya ionekane hivyo, ndiyo Mh. Hamad Rashid ametoa pendekezo la kushirikiana. Nawashangaa mnaoshabikia upuuzi eti chadema wasijaribu kufanya hvyo kwa visababu vya kijinga kabisa.
 
Mh!CUF wanatafutata nini kwenye ushirikiano huo?kumbe uwaziri kivuli nao ni dili!!
 
Source: Mtanzania 24/01/2011 UK. 2
Diwani awapiga kijembe waislamu

Diwani wa viti maalum, kata ya Kariakoojijini Dar, Aisha Sururu (CCM), amedai maendeleo duni waliyonayo Waislamu nchini yanasababishwa na uvivu wa kufikiria wa viongozi wa dini hiyo.
Suruna ambaye pia ni muislamu alikiri kuwa, jamii kubwa ya kiislamu ipo nyuma katika maendeleo ikilinganishwa na jamii ya dini nyingine, hali ambayo alidai inachangiwa na viongozi wa dini hiyo kukosa dira na mipango ya maendeleo.
Aliyasema hayo Dar muda mfupi kabla ya kugawa vyeti kwa waitimu wa kozi maalum ya wanawake wa kiislamu...
Mafunzo hayo ya wiki nane, yalihusisha wanawake 41, ambao walijifunza maarifa ya dini ya kiislamu, ikiwa pamoja na somo la Qur-an, elimu ya wanawake, tabia njema (akhlaq), maziko na jinsi ya kusitiri maiti.
Katika mazungumzo yake, Sururu aliwataja Masheick, maimamu na wanazuoni wa kiislmu chini ya BAKWATA, kwamba wote kwa ujumla wamebweteka na hawana mipango yoyote ya maendeleo dhidi ya jamii hiyo.....

Maelezo zaidi soma gazeti

Wewe umesoma seminary kama umesoma seminary yamekukuta haya.CATHOLIC SEX ABUSE CASES. In the united states, Churches have paid more than $2 bilion (£1.25 bilion) in compensation to Victims, in Ireland. reports in to clerical Sexual Abuse have rocked both the Catholic hierarchy and the state. A nine-year government study, the Ryan report published, revealed than beatings and humillation by nuns and Priests were common at institutions that held up 30,000 children. the investigation found that Catholic Priests and nuns for decades 'terrorised thousands of boys and girls. while government inspectors failed to stop the Abuse'
 
Hakuna aliyepigiwa magoti kilichoombwa hapo ni ushirikiano si nafasi ya kuwamo katka baraza la mawaziri kivuli la chadema, ukweli utabaki pale pale kuwa hata wapinzani wote waungane kuwa kambi moja (though there will be differences) lakini hawataweza kukisumbuwa CCM seuze kwa chadema kuujitenga peke yake (it will definetely make no difference), kama uungwana na kwa kuwa CUF haina ugomvi na chadema kama Mbowe anavyojitahidi kufanya ionekane hivyo, ndiyo Mh. Hamad Rashid ametoa pendekezo la kushirikiana. Nawashangaa mnaoshabikia upuuzi eti chadema wasijaribu kufanya hvyo kwa visababu vya kijinga kabisa.
CUF ni ma opportunist hawana lolote kule waungane na CCM huku waungane na CDM hicho kiherehere cha nini kama si uroho wa madaraka ukiongozwa na HR, hiyo roho ya ushirikiano na CDM imeanza lini ina maana Mwanza roho yao iliwatuma washirikiane na CCM, hawa jamaa hawaaminiki hata kwa jumbe.
 
Mimi nadhani CHADEMA iwakalibisha, ila kwa masharti yafuatayo: Mawaziri kutoka kambi hiyo wasipewe kuongoza strategic ministries. Pia isainiwe MoU ikitoa mamlaka kwa CHADEMA kumuengua kiongozi yeyote ndani ya kambi ambaye atakiuka misimamo wa kambi. Makubaliano hayo yasajiliwe kwa katibu wa bunge kuyapa nguvu ya kisheria.
 
Kwenye mdahalo na Mbowe, Hamadi Rashidi alionekana kuumia roho zaidi kuhusu bajeti ya ofisi ya kambi ya upinzania bungeni, kwamba sasa itakuwa inakwenda chadema peke yake.

kule zanzibar walipotupiwa mpunga kidogo wakaharakisha kukubali kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa. tukumbuke awali, maalim seif hakuamini kwamba serikali ya umoja wa kitaifa ikiundwa kwamba atapata ulaji na hivyo alizunguka akihamasisha wananchi wamuombe Karume aendelee kuongoza (kwa sababu tu Karume alianza kumwalika kwenye workshop za serikali)

inawezekana kwa kipindi kifupi ambacho wamekuwa kwenye ndoa ya mashaka na ccm wameona hawatapata chochote kwa hiyo sasa wanataka kurudi kwenye kambi rasmi ya upinzani angalau waambulie mgao kidogo.

hivyo mimi naona maombi yao yanasukumwa zaidi na njaa kuliko nia ya dhati ya kuimarisha upinzani bungeni. naomba mnikosoe please.
 
You'reright buddy! I personally don't trust CUF at all.
 
Gurudumu mbona umetanguliza tukukosoe, mimi nakuunga mkono kwa asilimia 100.
 
Back
Top Bottom