CTI Kutumika kukodisha Majenereta ya DOWANS: Fikra Pevu

hakuna ubaya wowote kwa CTI kuinunua mitambo ya Dowans kwani hawabanwi na sheria za PPRA. Labda wanaegotiate na TANESCO jinsi ya kulipia miundombinu ya kusafirisha umeme kwa wanachama wao na 'ziada' wawauzie TANESCO. Hapa ndipo kwenye ulaji. TANESCO WAOMBE SHERIA YA UKIRITMBA WA KUSAMBAZA UMEME KWA WATEJA IVUNJWE. Na CTI wauze wenyewe hiyo ziada, si tayari mtakuwa mumewaruhusu kutumia miundombinu yenu mpaka kwa wanachama wao wammalizie mbuzi
 

The immediate alternative is to kutaifishi hiyo MItambo kwa mujibu wa sheria ya uhujumu uchumi. Mengine yote ni wizi mtupu
 
Tunasahau kuwa Rais Kikwete alikuwa waziri wa nishati na madini kwa karibu miaka sita na sasa amekuwa rais kwa miaka mitano na katika pande zote mbili ameshindwa kuonesha uongozi kwenye suala la nishati. Tatizo siyo umeme, ni uongozi.

this ends all discussion! Alafu cha kushangaza point kama hizi Chadema hawatoi. Sijui nani aliwafundisha siasa! Kuwa Waziri wa Nishati for 6 years uboronge alafu uje kuomba urais? Ivi kwa nini tunakuwa wajinga hivi?
 

Mkuu SLIDINGROOF,

Moelex23 amegusa maslahi yako au ni uzalendo tu ndiyo umekusukuma kuandika hivi?

Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu do you really believe kuwa NSSF wanaweza kuendesha mradi ma "KUZALISHA UMEME" on their "OWN"?

Mimi sidhani - CASPIAN anaweza kuingia kupitia "MLANGO wa NYUMA" ... But .. Let me wait and see (that is the best I can do)!
 

Even if it (DOWANS, KIWIRA, e.t.c) will be discussed for over a century - Wale waliongia kwenye mikataba ya kihuni (of which you call smallness) they have to be held accountable!

Bado Kuna washitakiwa wa UNAZI mpaka leo - wanaletwa mahakamani kwenye vitanda vya kubebea wagonjwa!
 
this ends all discussion! Alafu cha kushangaza point kama hizi Chadema hawatoi. Sijui nani aliwafundisha siasa! Kuwa Waziri wa Nishati for 6 years uboronge alafu uje kuomba urais? Ivi kwa nini tunakuwa wajinga hivi?

Una hakika na hilo lekundu? Umeshamsikiliza Dr Slaa vizuri ndugu?
 

Dah! Zitto

Mbona "temper" ipo juu sana? Ungebandika hii post ukiwa kwenye "normal state" probably jamii ingepata uelewa fulani...

Hizo "red spots" ni nyingi sana kwa Mh mbunge kuzitumia - Anywayz haiwezi kuwa proved kama ni wewe ume-post hilo bandiko hapo juu!
 

Mimi nimehudhunika sana na ukali wa maneno ya NAIBU KATIBU MKUU wangu....naamini si yeye
 
..terms za mkataba zitakuwa mpya au ni zilezile zinazoinyonga Tanesco?

..isije ikawa CTI ni geresha tu, lakini wamiliki bado ni walewale Dowans.

..what is so difficult kwa Tanesco kununua mitambo mipya? kuna disadvantage zozote kwa Tanesco kuchukua uamuzi huo?
 

Mods mnafanya kazi zenu ipasavyo au mnaangalia sura? Kwani zito ndiye mmiliki wa jf au ana hisa humu? mbona anachafua mazingira ya jamvi halafu mnamchekea? FANYENI KAZI ZENU BILA WOGA WALA UPENDELEO.

 
Mimi nimehudhunika sana na ukali wa maneno ya NAIBU KATIBU MKUU wangu....naamini si yeye


Kiongozi,
Zitto anapoandika habari za kuwafurahisha,mnampongeza bila kuhoji kama ni yeye ama ni mtu mwingine. Lakini anapomwaga utumbo mnageuka kusema hamuamini kama ni yeye, mambo gani haya sasa.

Hata kama ni katibu mkuu wako inabidi uweke mapenzi binafsi pembeni na uwajibike kukosoa bila kuuma uma maneno kama vile unavyopongeza bila kuumauma maneno.

Huyu Zitto siku hizi haaminiki tena, tangu enzi za dowans ndipo alipopotezea mwelekeo na kupoteza uaminifu wake miongoni mwa watanzania. Hivi nchi hii haiwezi kupata umeme wa uhakika bila mitambo ya dowans??

Ukimuona Zitto anamsifia mtu ama shirika ama kampuni unatakiwa kujiuliza mara mbili mbili. Zitto huyu huyu alikuja hapa kumsifia Dr. Rashid kwamba ndiye the best CEO miongoni mwa maCEO waliokuwepo bongo, leo hii tena anageuka kusema tanesco hawafai kupewa kiwira (labda kwa kuwa dr. Rashid hayupo tena) isipokuwa NSSF ndo wanaweza kuiendesha bila kuonyesha mafanikio yoyote waliyopata katika uwekezaji walioufanya katika sekta nyengine walizo na uwezo na utaalamu nazo ili tuamini kwamba wataweza pia kuzalisha umeme. Si ajabu Zitto akaja kutuambia kwamba ana imani NSSF inao uwezo mkubwa wa kuiendesha kiwira kwa kuwa Dr. Dau wa NSSF ndiye the best CEO miongoni mwa maCEO wa mashirika ya umma kwa sasa hivi!!
 
Your have made my day Mkuu!
Unajua ukisoma magazeti unaweza kuamini hii kamati ndio Tanesco na Tanesco ndio hiyo kamati ya bunge...
anyway... ngoja nikamsalimie mama pima kwanza...
 
Your have made my day Mkuu!
Unajua ukisoma magazeti unaweza kuamini hii kamati ndio Tanesco na Tanesco ndio hiyo kamati za bunge...

yes mkuu .... umerudi kwenye point .... kamati za bunge ni kutoa ushauri au tunaweza kusema ni watchdog ... sasa Lyatonga mrema anasema watu wakamatwe .... hivi huu ndio utaratibu na mwenendo wa kazi au...? mimi nakubali sasa kuwa TANESCO inaingiliwa kimaamuzi tena na watu wasio na experience ya sector hiyo just wao ni wanakamati za bunge.... bullshit
 

Hao Tanesco wenye "experience" wamefanya nini kimoja cha maana miaka yote? kazi kuimba ngojera zisizo na mwisho?
 

Terms za mkataba hazikuwanyonga Tanesco, umeme bei chini kutoka Dowans kuliko mwingine wowote, waliojinyonga ni wenyewe kukataa kulipia huduma waliokwisha itumia, kuwaambia watu waondoe mitambo halafu mkawazuwia kuondoa mitambo yao, hayo ndiyo yaliyowaumiza Tanesco, manguli wa sheria za biashara ICC wakaona hilo. Tusitafute sababu zisizo kuweko.
 


Kwani uongo kuhusu Dr. Rashid, he is the best, mlivyokataa kununuwa mitambo ya Dowans alisema mapema, nchi itaingia kizani, mkamuona mjinga, sasa giza totorooo na deni tutalipa tukitaka tusitake, na yeye kuona hakuna cha maana Tanesco, huyo kajiondokea zake tartiiiibu. Leo kawa mbaya? na Zitto leo kawa mbaya? Basi Tanzania nzima wabaya, wazuri ni nyinyi, mbona hatuwaoni kuwania nafasi za uongozi, mko na sisi hapa tulio semi-retired, tunapoteza wakati pamoja JF.
 

Hizo zote zinatokana na fitna za mzeemwanakijiji.
 
Ni kama ule wa KIwira,Nyerere's gorge(stieglers') ulikoishia...ili waendelee kutukamua

I am doing something related to energy issues kama a rescue to climate change mitigation..Sasa katika ujinga wangu nikawa na propose taxing ifanyike kwenye maji kwani upande wa Tanzania watu wengi wanakuwa covered kuliko umeme, ili kuhifadhi vegetation ambayo itasababisha hydro power energy production iendelee badala ya ku embark into fossil fuels. Panelist wenzangu wakanishangaa...mmoja akaniuliza are you serious? Sikumwelewa akasema where in the world umeshasikia taxing inafanywa kwenye maji? Taxing inafanywa kwenye energy maana income itakayokuwa generated ni reasonable hata kuleta double dividend wakati mwingine kupunguza taxing kwenye labour ambayo ina leta sana distortion kwenye economy ya nchi...Akaendelea kusema kuwa kwanza maji ni social service so itasababisha social unrest...Kweli nilijiona mjinga kabisa maana policies za wenzetu duniani zinatofautiana sana ki uhalisia na ya nyumbani kwetu...Wenzetu wanaangalia social welfare zaidi.

Coming to the point now energy being a point where a reasonable income can easly be generated, have come to my senses and I can imagine why Mafisadi hawajishughulishi ku develop hii sector kwanza isaidie economy ya nchi kwani wao objective is to fill in their pockets, maswala ya nchi na welfare ni secondary agenda na siyo priority at least wakati huu ambao democracy na awereness siyo kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…