CTI Kutumika kukodisha Majenereta ya DOWANS: Fikra Pevu

Kwani, it makes sense for CTI to want Dowans. They are in business that needs UMEME. And DOWANS generate UMEME. How hard is that to comprehend? Damn!

It doesn't make ur argument stronger; it is called the fallacy of pseudo-obviousness..! wengine wanaweza kusema "why can't you see the problem with Dowans that other people seeem to be seeing?"
 
Kama ulikuwa huelewi kuwa mwanakijiji ni fataani sasa ndio utamuelewa. Ushawahi kuona kitu chochote "positive" kutoka kwake? Mimi sijawahi, majungu, fitina, kuponda hayo ndio ayajuwayo yeye. Fikra zake ni kuanzia sasa kurudi nyuma, hana uwezo wa kutazama ya kesho tu licha ya mbele zaidi. Huu ni ugonjwa unaosabishwa na wivu, chuki, roho mbaya za kurithi "genetically". Hauna dawa.

Hasad zimemjaa.

Hiyo ni analysis yangu kwa mwanakijiji kutokana na maandishi yake.

ad hominem per excellence..!
 
Halafu wenye viwanda hao hao ndio wenye kupewa misamaha ya kodi, na kuruhusiwa kupandisha bei wanavyo taka kisa biashara huria, akifanya hivyo mwenye daladala, mwalimu, daktari nk ni muhaini, au anakwenda tofauti na sera za chama tawala

Unategemea nini kutoka katika kiwanda kinachozalisha nusu au robo ya uwezo wake? Kama hutegemei bidhaa zake kupanda bei au kuwacha kabisa kuzalisha utakuwa hujitendei haki.
 
Kwani billions na' lives' zimeanza kupotea mwaka huu? Si JK aliingia madarakani na tatizo hili. Unaposema 'longterm solution' ipi kama miaka 6 hatujaweza kupata. 'Longterm solution' inapatikana kwa kuachia Dowans iendeleze uhalifu.
Hakuna sababu ya kutafuta dagaa wa PPRA, lawyers na officials. Bunge lilimwambia JK hawa ndio mapapa kwa majina, alifanya nini zaidi ya kuwazadia kustaafu, vipi tuwabebeshe mzigo wabeba 'vimemo'.
Kwani huoni Makinda anavyozuia Dowans isijadiliwe, bunge TV itawezekanaje.
Sheria ya manunuzi inabadilishwa kukidhi haja ya mtu mmoja, sasa CTI nayo inaingizwa kutupumbaza.

Dowans ijadiliwe nini bungeni wakati ICC imeshatowa hukumu na suala liko Mahaka Kuu ya Tanzania. Au hilo umesahau? Kuijadili Dowans ni kupoteza muda. Walipwe haki yao, mambo yaishe, Dowans, Dowans, kwa ajili nini? Walimuibia nani dowans? Hakuna hata mmoja aliekuja akasema hawa dowans wameshindwa kuzalisha umeme na kwa hiyo wasilipwe, hapo wote tungeunga mkono. Hakuna hata mmoja aliepinga kuwa Dowans umeme wao ni rahisi kuliko wafuaji wengine. Hakuna hata mmoja aliepinga kuwa dowans wasingeridhiwa kuleta mitambo na Tanesco wasingeileta. Hakuna hakuna hakuna.

Kilichopo ni wivu, majungu, fitina, roho mbaya, hasad. Sababu ni nini? Wanaofitini kuhusu dowans waseme kweli.
 
Nimekumbuka hoja ya PM kuwa sio lazima Serikali inunue mitambo ya DOWANS bali hata watu ama kampuni binafsi zinaweza kununua mitambo hiyo pia..., inawezekana alikuwa anaweka mazingira kwenye mkondo tarajiwa!!!!
 
quote_icon.png
Originally Posted by Majimshindo
Kama ulikuwa huelewi kuwa mwanakijiji ni fataani sasa ndio utamuelewa. Ushawahi kuona kitu chochote "positive" kutoka kwake? Mimi sijawahi, majungu, fitina, kuponda hayo ndio ayajuwayo yeye. Fikra zake ni kuanzia sasa kurudi nyuma, hana uwezo wa kutazama ya kesho tu licha ya mbele zaidi. Huu ni ugonjwa unaosabishwa na wivu, chuki, roho mbaya za kurithi "genetically". Hauna dawa.

Hasad zimemjaa.

Hiyo ni analysis yangu kwa mwanakijiji kutokana na maandishi yake
ad hominem per excellence..!

" Argumentum ad hominem is the logical fallacy of attempting to undermine a speaker's argument by attacking the speaker instead of addressing the argument. The mere presence of a personal attack does not indicate ad hominem: the attack must be used for the purpose of undermining the argument, or otherwise the logical fallacy isn't there. It is not a logical fallacy to attack someone; the fallacy comes from assuming that a personal attack is also necessarily an attack on that person's arguments."

mmmhhh....how interesting!
 
It doesn't make ur argument stronger; it is called the fallacy of pseudo-obviousness..! wengine wanaweza kusema "why can't you see the problem with Dowans that other people seeem to be seeing?"

What is your argument on Dowans? Other than mere hatred and ambiguous discrimination based on deviant nature.
 
It doesn't make ur argument stronger; it is called the fallacy of pseudo-obviousness..! wengine wanaweza kusema "why can't you see the problem with Dowans that other people seeem to be seeing?"

What is your argument on Dowans? Other than mere hatred and ambiguous discrimination based on deviant nature, phobic and envy of prosperity.
 
Lakini hatofanya hivyo kwa sababu akifanya hivyo na kutatuta tatizo hili la nishati said:
Tunasahau kuwa Rais Kikwete alikuwa waziri wa nishati na madini kwa karibu miaka sita na sasa amekuwa rais kwa miaka mitano na katika pande zote mbili ameshindwa kuonesha uongozi kwenye suala la nishati. Tatizo siyo umeme, ni uongozi[/B].

Big up MMM! Sina hakika ni maneno milioni ngapi umeyasema kwenye hiyo paragraph moja hapo juu. Mimi sielewi kwanini watu wanalalamika na mfumuko wa bei, mabomu, mgao sugu wa umeme, ufisadi, migomo na mengine kibao kwamba ndio matatizo yetu. Hapana tunayaonea tu hayo, tungekuwa na uongozi thabiti tusingefika hapo. Chanzo cha hayo yote ni kwamba nchi hii haina UONGOZI period. Yaani ni kama vile tuko kwenye bus la air msae tumejazana kibao vicheko vya kumwaga huku nyuma tunashuka mtelemko wa Wami na KITI CHA DEREVA KITUPU, na kwa bahati mbaya wengi wetu hatuna taarifa ya kutokuwa na dereva, what do you expect?
 
Kama ulikuwa huelewi kuwa mwanakijiji ni fataani sasa ndio utamuelewa. Ushawahi kuona kitu chochote "positive" kutoka kwake? Mimi sijawahi, majungu, fitina, kuponda hayo ndio ayajuwayo yeye. Fikra zake ni kuanzia sasa kurudi nyuma, hana uwezo wa kutazama ya kesho tu licha ya mbele zaidi. Huu ni ugonjwa unaosabishwa na wivu, chuki, roho mbaya za kurithi "genetically". Hauna dawa.

Hasad zimemjaa.
Hiyo ni analysis yangu kwa mwanakijiji kutokana na maandishi yake.

Majimshindo,
Tunajua wewe ni mchanga sana hapa JF. Ningekushauri usome kauli mbiu ya JF na kuelewa changamoto zilizomo kwanza. Pili, unatakiwa urejee kanuni za JF hasa matumizi ya lugha na mahusiano. Kama unataka kufanya dhihaka basi lipo jukwaa lake na kama unamashtaka dhidi ya mtu au maoni binafsi yote yanamajukwaa yake.

Tafadhali usitupotezee muda kusoma post zako wakati tunapokuwa katika mtiririko wa kusoma mambo ya maana. Hoja hujibiwa kwa hoja na si matusi. Matusi ni ushahidi wa fikra finyu zisizo na tija na hapa si jukwaa lake na si dhani kama lipo.

Unapoona katika jamii watu wote wanamtazamo sawa basi ujue kuna tatizo. Mshindo una uhuru wa kusoma jambo na kuchangia au kutochangia. Hulazimishwi kukaa mbele ya computer ujibu usichokitaka.

Mwanakijiji nadhani humjui vema, tunathamini michango yake kama ya watu wengine, na hata wakati tunatofautiana naye basi ni kwa hoja zenye kufikirisha, kwa stara na hekima.
Kama una matatizo naye tafadhali m-PM (sijui kama unajua ni nini) ili umueleze duku duku lako na si kutuchafulia mtiririko wa majadiliano.
Kuna msemo unaosema 'if you can't take the heat get out of the kitchen'.

Huu ni ujumbe kwako na sitarajii malumbano.

Nguruvi
 
Big up MMM! Sina hakika ni maneno milioni ngapi umeyasema kwenye hiyo paragraph moja hapo juu. Mimi sielewi kwanini watu wanalalamika na mfumuko wa bei, mabomu, mgao sugu wa umeme, ufisadi, migomo na mengine kibao kwamba ndio matatizo yetu. Hapana tunayaonea tu hayo, tungekuwa na uongozi thabiti tusingefika hapo. Chanzo cha hayo yote ni kwamba nchi hii haina UONGOZI period. Yaani ni kama vile tuko kwenye bus la air msae tumejazana kibao vicheko vya kumwaga huku nyuma tunashuka mtelemko wa Wami na KITI CHA DEREVA KITUPU, na kwa bahati mbaya wengi wetu hatuna taarifa ya kutokuwa na dereva, what do you expect?

Nyerere miaka 24 alifanya nini kwenye hili? Mwinyi 10, Mkapa 10, Kikwete 6. Let's be fair, mikataba tu ya umeme iliyokwisha sainiwa na Kikwete katika kipindi chake, baada ya kutekelezwa (imeshaanza) ni 100x kuliko awamu zote kabla yake ukizichanganya.
 
mh!mambo yanatokea mchana kweupe mbuzi anakula majani.Kweli Wabongo msumari viongozi nyundo
Tehe tehe, nafikiri wanasiasa ni nyundo, mafisadi ni misumari na watz ni mbao; sijui za kutengenezea jeneza vile.
Kaazi kweli kweli
 
Majimshindo,
Tunajua wewe ni mchanga sana hapa JF. Ningekushauri usome kauli mbiu ya JF na kuelewa changamoto zilizomo kwanza. Pili, unatakiwa urejee kanuni za JF hasa matumizi ya lugha na mahusiano. Kama unataka kufanya dhihaka basi lipo jukwaa lake na kama unamashtaka dhidi ya mtu au maoni binafsi yote yanamajukwaa yake.

Tafadhali usitupotezee muda kusoma post zako wakati tunapokuwa katika mtiririko wa kusoma mambo ya maana. Hoja hujibiwa kwa hoja na si matusi. Matusi ni ushahidi wa fikra finyu zisizo na tija na hapa si jukwaa lake na si dhani kama lipo.

Unapoona katika jamii watu wote wanamtazamo sawa basi ujue kuna tatizo. Mshindo una uhuru wa kusoma jambo na kuchangia au kutochangia. Hulazimishwi kukaa mbele ya computer ujibu usichokitaka.

Mwanakijiji nadhani humjui vema, tunathamini michango yake kama ya watu wengine, na hata wakati tunatofautiana naye basi ni kwa hoja zenye kufikirisha, kwa stara na hekima.
Kama una matatizo naye tafadhali m-PM (sijui kama unajua ni nini) ili umueleze duku duku lako na si kutuchafulia mtiririko wa majadiliano.
Kuna msemo unaosema 'if you can't take the heat get out of the kitchen'.

Huu ni ujumbe kwako na sitarajii malumbano.

Nguruvi

Hakuna tusi hata moja hapo juu nililoliandika, nioneshe tusi liko wapi?

Kumwambia hana hoja zaidi ya uhasidi ndio tusi?

Uchanga wangu JF haumaanishi nna uchanga wa kupembuwa mahojiano na kuburuzwa kimantiki na mambo ya uzushi usio na msingi. Let's be productive in our arguments. What is wrong with you? Au ndio fitina zenyewe hizo?

Hiyo sentensi yako ya mwisho, inakufaa sana wewe. Jee, nimegusa pazuri? Au pabaya?
 
Its getting old. Seeing and reading Dowans everydays is taking a toll in me. It seems like we as a country are obsessed with smallness. We should be ashamed of ourselves for discussing Dowans since 2006. What a country! Maybe wabongo tumelaaniwa. If as a country we can't reach a consensus on Dowans, we are doomed.
At least you can console yourself on the fact that what people are so seriously discussing is actually beneficial to you and your children and your friends and your kins as well. the issue is not that something is getting old or is not, the issue is not one of fashion, it is one of doing the right thing for your country. so far we have not reached a consensus. how can we? if there are people like you out there who do not think that if a group of our own leaders entrusted with running the country can betray that trust, is wrong and should be addressed.

Siasa, paranoia, propaganda and chuki got into reality and grown people cannot make their minds up on small issues like Dowans or Kiwira. Whatever happened to commonsense? Wabongo tuna matatizo.
the Dowans issue is not a small one. it is not about what amount is involved, it is an issue of principle. if a leader can cheat on Tshs. 10 and get away with it, why not cheat on Tshs 10,000,000 tomorrow, and even more and more and more...? if greed is involved, you can be sure that the amount will get bigger everyday. we do not want to wait for that in order to solve the problem. by the way, are you aware just how much we are talking about? and Dowans is not the only issue here. the issue is we have unprincipled leaders and as many Tanzanians as possible must know about this, and that is one reason we can never get tired of shouting about these things

Kwani, it makes sense for CTI to want Dowans. They are in business that needs UMEME. And DOWANS generate UMEME. How hard is that to comprehend? Damn!
You have fallen for the trick. that is exactly the way you are supposed to think, and the smart guys who are pushing this game are nodding their heads and congratulating themselves. trace where the money comes from to CTI, and trace again where the proceeds go. that will lead you to your culprits
 
Ukimuuliza mtu humu, kosa la Dowans ni lipi? Hamna anaekuja na jibu lililonyooka.
 
so what...? watu wanaumiza vichwa kutafuta suluhu ya kujenga nchi na kuleta maendeleo kizalendo wewe umeshupalia ubishi tuu ..... ninawasiwasi wewe siyo mzalendo wa nchi hii na nia yako ni watanzania waendelee kutaabika ......

God forbid
 
Mindi,

Ikiwa "argument" yako ni "where the proceeds go", nasikitika sana kusema kuwa hiyo ndio hasad yenyewe haswa.

Tazama "ku-prosper" kwa viwanda instead of "where the proceeds go".

Proceeds of course, zitagawanywa kwa kampuni iliyoleta mitambo, kampuni iliyo "install" mitambo. Benki zilizowezesha kultwa mitambo, viwanda vilivyotengeneza mitambo. Ni mlolongo mrefu. Jee tukizuwia hizo "proceeds" tunajenga au tunabomowa?

Leo umeme hatuna wakutosha, walioleta mitambo hatutaki kuwalipa, hatutaki kuinunuwa, imekaa Ubungo ina nyewa na kunguru, kisa nini? Na ujuwe ikitumika isitumike tutailipia tu. Kama si leo kesho, hakuna anaekwepa malipo ya biashara halali na iliyoamuliwa na ICC.

Kama unabisha rejea habari za Tiny Rowlands (LONRHO) na nyerere.
 
Majimshindo,
Tunajua wewe ni mchanga sana hapa JF. Ningekushauri usome kauli mbiu ya JF na kuelewa changamoto zilizomo kwanza. Pili, unatakiwa urejee kanuni za JF hasa matumizi ya lugha na mahusiano. Kama unataka kufanya dhihaka basi lipo jukwaa lake na kama unamashtaka dhidi ya mtu au maoni binafsi yote yanamajukwaa yake.

Tafadhali usitupotezee muda kusoma post zako wakati tunapokuwa katika mtiririko wa kusoma mambo ya maana. Hoja hujibiwa kwa hoja na si matusi. Matusi ni ushahidi wa fikra finyu zisizo na tija na hapa si jukwaa lake na si dhani kama lipo.

Unapoona katika jamii watu wote wanamtazamo sawa basi ujue kuna tatizo. Mshindo una uhuru wa kusoma jambo na kuchangia au kutochangia. Hulazimishwi kukaa mbele ya computer ujibu usichokitaka.

Mwanakijiji nadhani humjui vema, tunathamini michango yake kama ya watu wengine, na hata wakati tunatofautiana naye basi ni kwa hoja zenye kufikirisha, kwa stara na hekima.
Kama una matatizo naye tafadhali m-PM (sijui kama unajua ni nini) ili umueleze duku duku lako na si kutuchafulia mtiririko wa majadiliano.
Kuna msemo unaosema 'if you can't take the heat get out of the kitchen'.

Huu ni ujumbe kwako na sitarajii malumbano.

Nguruvi

Agreed (150-50)%
 
Nyerere miaka 24 alifanya nini kwenye hili? Mwinyi 10, Mkapa 10, Kikwete 6. Let's be fair, mikataba tu ya umeme iliyokwisha sainiwa na Kikwete katika kipindi chake, baada ya kutekelezwa (imeshaanza) ni 100x kuliko awamu zote kabla yake ukizichanganya.

Mikataba miiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi-manufaa zerooooooooooooooooooooooooooo! wizi kibaoooooooooooooooooooooooooo!
 
Back
Top Bottom