CTI Kutumika kukodisha Majenereta ya DOWANS: Fikra Pevu

Habari za kuaminika toka ndani kabisa (ka nzi) zinataarifu kuwa Shirikisho la Viwanda Tanzania linampango wa kuwashaa mitambo ya Dowans baada ya kukodi mitambo hiyo toka kwa wamiliki.

Mpango huu ambao bado unapingwa na
TANESCO unaelekea kufikia hatua za mwisho baada ya vikao kufanyika leo ambapo shinikizo kama lililokuwepo wakati wa kuingia Richmond linaongezeka hatimaye TANESCO wakubali kuingia mkataba na CTI – Confederation of Tanzania Industries.

Kwa mujibu wa chanzo hicho CTI ambayo imekuwa kwenye ukasi haijaeleweka imepata wapi fedha za kukodisha mitambo hiyo na kwanini kusita kwa TANESCO kuingia kwenye mkataba mwingine hakuchukuliwa maanani. Shirika la
TANESCO linadai kuwa hali ya dharura nchini imeanza kutengemaa taratibu na ya kuwa tayari IPTL na hata Kidatu wameanza kuzalisha umeme zaidi na kufidia pengo.

Soma zaidi kwenye saiti dada ya JF(Fikra Pevu) - CTI kukodisha Dowans; Kuiuzia Tanesco umeme? | Fikra Pevu | Kisima cha busara!

Hii sinema kweli inachekesha.
Wanachama wa CTI wengi wao ndio hao hao mafisadi: akina RA, manji, sijui jitu patel, akina mohd enterprises na wengineo wa aina hiyo. Sasa ccm wanatutoa kwenye msitu wenye simba wakali, wanatupeleka kwenye msitu wenye nyoka wakali na wenye njaa huku wakituaminisha kuwa wanatuponya. HATARI KUBWA HII.
 
Nadhani inabidi tufikie "point" ya kukubali kuwa for whatever means at our disposal umeme upatikane haraka iwezekanavyo!

Hivi ile mitambo ya DOWANS/Richmond ndiyo tatizo au MIKATABA ndiyo tatizo?

Tunahitaji umeme, na kama mitambo ya DOWANS inaweza kuzalisha umeme na izalishe!

Wajasiriamali wa kati na chini wanaathirika vibaya sana na huu mgawo to the extent kwamba hata hizo pesa za kuwalipa DOWANS ni cha mtoto!

No fikra potuvu ukilala dowans ukiamka dowans jiulize tokea kipindi chote serikali imeshindwa kununua mitambo yake? mpaka takriban mwaka sasa topic ni dowans? ndio nyinyi mnataka sheria ya kununu vitu chakavu serikalini ipitishwe kwa uchfu wenu na sasa naona dowans wanapitia kwa mgongo wa CIT hapa kuna nini?
 
Huku ni kuleta propaganda kwenye masuala ya maendeleo ya nchi. Ni upumbavu kila wakati kufikiria kwamba kila uamuzi unalenga uchaguzi wa mwaka 2015. Inaonyesha kuna watu wanaweweseka na uchaguzi wa mwaka 2015 na kudhani kwamba kila mtu akili yake ni huko huko. Ni upumbavu kwa sababu haiwezekani kila mradi wa maendeleo unaofikiriwa basi kuna watu wanataka ulaji. Kuna watu tunaendeshwa na fikra za kutenda na kupata matokeo ya kutenda. Haiwezekani tuwe watu wa kuzungumza tu kila siku.

I have no connection whatsover with RA na EL kwenye Urais au mpango wowote wa kisiasa. I say this loud and clear. I am not supporting anybody. I, myself, am ambitious. Siwezi kuingia kwenye miradi ya watu kutaka Urais kwani wote mnaowataja na kuwaunga mkono au kuwapinga naona hawana uwezo wa kuongoza Taifa hili.

Usinifanyie propaganda za kijinga. Ninafanya kazi yangu kwa mujibu wa kanuni za Bunge. Sasa kama unataka niwe mwenyekiti posho, kukaa bila kutoa masuluhisho ya maendeleo ya nchi, go and hang yourself. I am not like that. I am action oriented. Call me arrogant or whatever the names, i am different. Mark my words! Acha propaganda kwenye maendeleo ya nchi.

NSSF
Sitafuti support ya mtu yeyote yule. Hoja za NSSF kukabidhiwa Kiwira nimeziweka wazi. Wala sijajificha kama wewe unavyotumia pen name hapa kwa unafiki wako. NSSF wameikopesha sana TANESCO. NSSF wana haki ya kuwekeza kwenye jambo lolote litakaloleta faida kwa mfuko. Hoja zako za kitoto eti why not TANESCO. Mbona Ngaka na Mchuchuma watakaozalisha umeme ni NDC? Nao tuwatoe tuwape TANESCO? Hayo ni mawazo mgando. It is stupidity to stay out there and wait for people to come with solutions and start criticising the solutions. It is even more stupid to link every initiative in Tanzania with Rostam Aziz! Who is Rostam Aziz anyway to be linked to everything. This is cheap propaganda. Yeye amekuwa Pweza anajitandaza kila mahala?

Tuogope kufanya maamuzi kwa kuwa atahusishwa Rostam Aziz? Acha upuuzi.

Kwamba Caspian watapewa tender ya kuchimba makaa. Huu ni upuuzi tu ili kujenga chuki na fikra hasi za initiative ya kuhakikisha Kiwira inafufuliwa. I dont care nani atachimba makaa pale. What i care ni kuona Kiwira inafufuka, makaa yanachimbwa na umeme unazalishwa. Hizi mbinu za kuhusisha makampuni yanayomilikiwa na watu wenye mawaa ya ufisadi na miradi ili ikwame ni mbinu za kitoto, za kijinga na za kipuuzi.

Hizi ni propaganda za kishenzi kabisa!

On my agenda - moja mchuchuma na Liganga miradi ianze. Mbili, Ngaka coal fields mradi uanze. Tatu, Kiwira ifufuliwe. Nitahakikisha kwa kupitia kamati yangu tunawezesha NDC na NSSF wanatekeleza miradi hii na kuliondoa taifa kwenye tatizo la umeme katika muda wa kati.

I dont care about the next election. I do about the next generation.

Endelea kumwaga sumu zako. Sibabaiki. I do the right thing and inshaallaah i will succeed for the benefit of my country!

Hon. Zitto

I adore you and your great contribution towards our country developments especially in energy sector ..... but your attitude towards someone comment is emotional rude, blatant and militant ..... at the level of leadership and a representative of our citizens it is completely unethical to react like this .... i will sought that the same personal attitudes may be related to decisions that are of public interests and this is very dangerous ..... please a calm contribution from you would have been the best show in this matter with vivid references and in time add credentials to your bravery coffer ..... advice and insist on the best way of tackling our energy problems ....

retract on this
 
If you go out of your way kutafuta mchawi huwezi kumkosa. But does it worth it? We care if there is umeme na taifa halihujumiwi. If you can show me how CTI kununua mitambo ya Dowans taifa linahujumiwa then tutaelewana. Tatizo ni conspiracy na paranoia (part of it is serikali to blame) that folks are not using their common sense kupembenua kati ya mchele na pumba.

The notion that we have been discussing about Dowans since 2006 bila suluhu inaonesha tusivyokuwa serious. The society, her people, and her institutions have failed. It sounds like Dowans is the only problem with this country, and that shows our smallness. Sometimes, u get a picture that if Rostam Aziz die today then Tanzania will be the highest economy in the world. That proves our smallness. And we blame opposition for that. Chadema thinks the path to maendeleo is getting rid of Rostam and that narrows the debate humu ndani on other means to alleviate poverty.

Nakubaliana na wewe ila hapo nilipo-bold weka "Kikwete".
 
Its getting old. Seeing and reading Dowans everydays is taking a toll in me. It seems like we as a country are obsessed with smallness. We should be ashamed of ourselves for discussing Dowans since 2006. What a country! Maybe wabongo tumelaaniwa. If as a country we can't reach a consensus on Dowans, we are doomed.

Siasa, paranoia, propaganda and chuki got into reality and grown people cannot make their minds up on small issues like Dowans or Kiwira. Whatever happened to commonsense? Wabongo tuna matatizo.

Kwani, it makes sense for CTI to want Dowans. They are in business that needs UMEME. And DOWANS generate UMEME. How hard is that to comprehend? Damn!

A small issue that is worth an award of 94,000,000,000 shillings?...Damn
 
NSSF
Sitafuti support ya mtu yeyote yule. Hoja za NSSF kukabidhiwa Kiwira nimeziweka wazi. Wala sijajificha kama wewe unavyotumia pen name hapa kwa unafiki wako. NSSF wameikopesha sana TANESCO. NSSF wana haki ya kuwekeza kwenye jambo lolote litakaloleta faida kwa mfuko. Hoja zako za kitoto eti why not TANESCO. Mbona Ngaka na Mchuchuma watakaozalisha umeme ni NDC? Nao tuwatoe tuwape TANESCO? Hayo ni mawazo mgando. It is stupidity to stay out there and wait for people to come with solutions and start criticising the solutions. It is even more stupid to link every initiative in Tanzania with Rostam Aziz! Who is Rostam Aziz anyway to be linked to everything. This is cheap propaganda. Yeye amekuwa Pweza anajitandaza kila mahala?

Tuogope kufanya maamuzi kwa kuwa atahusishwa Rostam Aziz? Acha upuuzi.

Kwamba Caspian watapewa tender ya kuchimba makaa. Huu ni upuuzi tu ili kujenga chuki na fikra hasi za initiative ya kuhakikisha Kiwira inafufuliwa. I dont care nani atachimba makaa pale. What i care ni kuona Kiwira inafufuka, makaa yanachimbwa na umeme unazalishwa. Hizi mbinu za kuhusisha makampuni yanayomilikiwa na watu wenye mawaa ya ufisadi na miradi ili ikwame ni mbinu za kitoto, za kijinga na za kipuuzi.

Hizi ni propaganda za kishenzi kabisa!

On my agenda - moja mchuchuma na Liganga miradi ianze. Mbili, Ngaka coal fields mradi uanze. Tatu, Kiwira ifufuliwe. Nitahakikisha kwa kupitia kamati yangu tunawezesha NDC na NSSF wanatekeleza miradi hii na kuliondoa taifa kwenye tatizo la umeme katika muda wa kati.

I dont care about the next election. I do about the next generation.

Endelea kumwaga sumu zako. Sibabaiki. I do the right thing and inshaallaah i will succeed for the benefit of my country!

Hapo pia naanza kupata mwanga. Huyu Mh. Zitto ni kweli kuna vitu amevifanya kizalendo kwa ajili ya nchi hii na vizazi vyake lakini hiyo haimaanishi kwamba hawezi ingia kwenye kundi la wakoseaji. Hata hao wanaoendeleleza ufisadi leo hii na kutufanya tuwe na woga kiasi hiki huko nyuma walikuwa kwenye mkondo sahihi ila ukweli ni kuwa "we are all human beings".

Mh. Zitto cha msingi hapa utueleze ni kwa nini procurement process za shirika zinaingiliwa na serikari pamoja na KAMATI ZA BUNGE wakati records zinaonyesha TANESCO wana Procurement specialists, economist na lawyers wazuri sawa na hata kuliko walioko serikarini!? (Kumbuka kamati zingine zina wenyeviti/naibu ambao ni STD VII leaver kusimamia hesabu)

Mh. hapo (red) inawezekana ukaja kujilaumu baadae kuwa you led your generation into trouble kwa vile ushahidi uko wazi kuwa DOWANS na walioileta wote wanaangalia zaidi maslahi yao na sio ya hiyo 'generation' yako.
 
Hivi kama NSSF waliikopesha TANESCO na inavyoonekana ni kuwa HAWAKULIPWA, je, hivi sasa wakiwa wanazalisha umeme na Tanesco kuchukua malipo kutoka kwa wateja, kuna uhakika gani kuwa hizo pesa mwishoni zitaenda NSSF na siyo kulipa hela kesi ya Dowans?

NDC ina wahandisi wake wa aina mbalimbali tofauti na NSSF ambao sidhani kama wana wahandisi wa mitambo ya kuzalisha umeme au kuchimba makaa ya mawe (COAL) na mwisho kuya-choma with apsence of Oxygen ili kuyageuza na kuwa COKE ambayo yana energy kubwa zaidi na safi zaidi (kama ilivyo kuni na mkaa).

Wasiwasi wangu ni kuwapa hawa NSSF kila kazi ambayo Serikali au Mashirika mengine yameshindwa. Kwa nini mashirika mengine yanashindwa na lije shirika jingne la Serikali pia na liweze? kujenga UDOM, wao. Kujenga daraja la Kigamboni, wao. Umeme, wao. Sijui mwisho mtawapa hadi ATCL na hilo pia waliendeshe? nk nk.......

Hawa jamaa kujihusisha na mambo mengi, itaishia kulifilisi shirika hili. Tumeona makampuni makampuni ya magari ya USA ambayo walikimbilia kuwekeza kila sehemu duniani na mwisho wake, wamedoda hoi. Hata kampuni kubwa la meli la MAERSK, walijiingiza na wao hadi kwenye BANK na kuinunua NORDEA BANK ila mwisho wakaja shituka na kusema "wao tangu miaka ya 18-- wamekuwa wakitengeneza na kuhodhi meli, mambo ya Bank, hawayajui. Wakauza Share zao na kujitoa.

Kuipachika kila kitu NSSF kwa sababu tu wana hela za bure za wananchi ambao sijui hata kama wanalipwa inavyotakiwa, itapelekea hata haka kashirika pekee kanakozalisha faida (kiwiziwizi) nako wakafilisi maana ndiyo sehemu pekee imebaki Tanzania inaleta hela nyingi baada ya mashirika mengine yote makubwa kuuzwa.

Haya mambo ya ENERGY, nimekuwa nikisema kila siku iendayo kwa Mungu kuwa inabidi yawe chini ya SERIKALI na mashirika binafsi yapigwe marufuku kabisaa kuzalisha au kuuza umeme, maji na usafiri wa RELI. Tumeshuhudia makosa ya kuyapa mashirika binafsi maswala ya ENERGY. USA mwaka jana, BP walichafua sana pwani. Tanzania hadi leo giza baada ya mashirika kuruhusiwa kuuza umeme Tanesco.
Nimalizie kwa kuelezea kilichotokea JAPAN: Japan, kulishawahi kutokea TSUNAMI (hili ni neno la Kijapan) yenye urefu wa mita 10. Sasa kwa nini walijenga ukuta wa mita 6? Kampuni binafsi ilikuwa ikisave pesa. Pia kulikuwa na uwezekano wa kujenga mbali na pwani hiyo mitambo yao Nyuklia. Kama wangelifanya hivyo, gharama zingeliongezeka kwa asilimia 4 au 5%. Wakaona kuwa hizo ni kubwa sana na wakaamua kuiacha baharini. Matokeo yake ni kuwa leo hii dunia nzima imekuwa wimawima kuhangaika na madhara yanayoweza kutokea au tayari yameshatokea huko. Haya makampuni binafsi, wao wanajali zaidi biashara na hawajali kabisa next generation na wananchi kwa ujumla. Sasa hivi, wanalipa zaidi ya hizo walizotaka ku-save. Kibaya, ni wananchi tena watalipa mara mbili.
Ningelipata sana faraja kama hawa wazalishaji wengine wa umeme, wangeliwaachia TANESCO pekee wazalishe.
 
Mzee wewe ni mkongwe mwenzangu hapa; wakati watu wanauliza mambo ya PPRA leo mimi nilianza kuuliza tangu 2006. Tatizo langu huwa sipendi kujirudia huwa nang'ang'ania kitu kwa muda fulani nikiamua kuachana nacho ndiyo hivyo tena. Tatizo ni kuwa lawyers na officials waliotufikisha hapa wanasimamiwa na walio juu. Ndio maana wengine tumewang'ang'ania hawa kwani hawa wasipowajibika hawa waliochini watawajibishwa na nani?

Sidhani kama kuna mtu ana tatizo na majenereta hayo kuwashwa tatizo kubwa ni kuwa hayapaswi kuwasha kana kwamba hakuna sheria na bila kujali jinsi Taifa lilivyochezeshwa shere hapa. Namna pekee ya kuyawasha (kama kweli wanaamini kuna tatizo ambalo ni urgent la umeme) ni kwa Rais kutangaza hali ya dharura; kususpend sheria ya manunuzi, na within days kuagiza majenereta yetu ya kudumu bila kuhangaika na suala la tenda. Haya yamo mikononi mwa Rais.

Lakini hatofanya hivyo kwa sababu akifanya hivyo na kutatuta tatizo hili la nishati, marafiki zake watapata vipi fedha zao. Tunasahau kuwa Rais Kikwete alikuwa waziri wa nishati na madini kwa karibu miaka sita na sasa amekuwa rais kwa miaka mitano na katika pande zote mbili ameshindwa kuonesha uongozi kwenye suala la nishati. Tatizo siyo umeme, ni uongozi.

Mkuu nilikuwa nimeji-ban kwa muda, lakini hii sentence imenifanya nijitoe kifungoni mara moja; hii comment inaweza kuwa comment ya maana na heshima sana katika comments zote za JF mwaka 2011.

Ambaye aielewi amelaanika.
 
Huku ni kuleta propaganda kwenye masuala ya maendeleo ya nchi. Ni upumbavu kila wakati kufikiria kwamba kila uamuzi unalenga uchaguzi wa mwaka 2015. Inaonyesha kuna watu wanaweweseka na uchaguzi wa mwaka 2015 na kudhani kwamba kila mtu akili yake ni huko huko. Ni upumbavu kwa sababu haiwezekani kila mradi wa maendeleo unaofikiriwa basi kuna watu wanataka ulaji. Kuna watu tunaendeshwa na fikra za kutenda na kupata matokeo ya kutenda. Haiwezekani tuwe watu wa kuzungumza tu kila siku.

I have no connection whatsover with RA na EL kwenye Urais au mpango wowote wa kisiasa. I say this loud and clear. I am not supporting anybody. I, myself, am ambitious. Siwezi kuingia kwenye miradi ya watu kutaka Urais kwani wote mnaowataja na kuwaunga mkono au kuwapinga naona hawana uwezo wa kuongoza Taifa hili.

Usinifanyie propaganda za kijinga. Ninafanya kazi yangu kwa mujibu wa kanuni za Bunge. Sasa kama unataka niwe mwenyekiti posho, kukaa bila kutoa masuluhisho ya maendeleo ya nchi, go and hang yourself. I am not like that. I am action oriented. Call me arrogant or whatever the names, i am different. Mark my words! Acha propaganda kwenye maendeleo ya nchi.

NSSF
Sitafuti support ya mtu yeyote yule. Hoja za NSSF kukabidhiwa Kiwira nimeziweka wazi. Wala sijajificha kama wewe unavyotumia pen name hapa kwa unafiki wako. NSSF wameikopesha sana TANESCO. NSSF wana haki ya kuwekeza kwenye jambo lolote litakaloleta faida kwa mfuko. Hoja zako za kitoto eti why not TANESCO. Mbona Ngaka na Mchuchuma watakaozalisha umeme ni NDC? Nao tuwatoe tuwape TANESCO? Hayo ni mawazo mgando. It is stupidity to stay out there and wait for people to come with solutions and start criticising the solutions. It is even more stupid to link every initiative in Tanzania with Rostam Aziz! Who is Rostam Aziz anyway to be linked to everything. This is cheap propaganda. Yeye amekuwa Pweza anajitandaza kila mahala?

Tuogope kufanya maamuzi kwa kuwa atahusishwa Rostam Aziz? Acha upuuzi.

Kwamba Caspian watapewa tender ya kuchimba makaa. Huu ni upuuzi tu ili kujenga chuki na fikra hasi za initiative ya kuhakikisha Kiwira inafufuliwa. I dont care nani atachimba makaa pale. What i care ni kuona Kiwira inafufuka, makaa yanachimbwa na umeme unazalishwa. Hizi mbinu za kuhusisha makampuni yanayomilikiwa na watu wenye mawaa ya ufisadi na miradi ili ikwame ni mbinu za kitoto, za kijinga na za kipuuzi.

Hizi ni propaganda za kishenzi kabisa!

On my agenda - moja mchuchuma na Liganga miradi ianze. Mbili, Ngaka coal fields mradi uanze. Tatu, Kiwira ifufuliwe. Nitahakikisha kwa kupitia kamati yangu tunawezesha NDC na NSSF wanatekeleza miradi hii na kuliondoa taifa kwenye tatizo la umeme katika muda wa kati.

I dont care about the next election. I do about the next generation.

Endelea kumwaga sumu zako. Sibabaiki. I do the right thing and inshaallaah i will succeed for the benefit of my country!

Mh. Zitto

Samahani sana Punguza jazba kiongozi jaribu kupokea changamoto na uzipatie majawabu sio kutoa matusi kama mtu wa kijiweni

Mimi ni supporter mkubwa wa cdm tokea ulipoanza alakati zako, lakini mpaka sasa sikuamini tena maana umekuwa ndumilakuwili mara huku mara huku.

About NEXT GENERATION
Mh Zitto sijui kama haya maneno yametoka mdomoni mwako, did you real feel TAnzania Generation? kwanini ZITTO wa sasa sio ZITTO wa ZAMANI? KIPI KIMEKUBADILISHA?

Connection with RA and LW

Mbona hukijitokeza kupinga haya, naweza kusema niliamini makala ya hili gazeti kwa 40% lakini matendo yako ndo yananipa muelekeo wako mpaka sasa

Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa 15 December 2010

zitto_219.jpg

ZITTO Kabwe, naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amekuwa na mawasiliano ya karibu na na mfanyabiashara na mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, imefahamika.
Kufichuka kwa taarifa za mawasiliano kati ya Zitto na Rostam kumekuja wiki moja baada ya gazeti hili kuchapisha mawasiliano kati ya Zitto na Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa nchini (TISS), Jack Zoka.
Aidha, kufichuka kwa mawasiliano kati ya Zitto na Rostam kumekuja siku mbili baada ya mama mzazi wa Zitto, Shida Salum kunukuliwa akisema, "Mwanangu ni mkorofi."
Mama Zitto alikieleza kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama chake kilichofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, "Namfahamu mwanangu. Ni mkorofi. Si msikivu."
Kwa mujibu wa rekodi ya mwingiliano wa simu za mdomo na maandishi (sms) kutoka kwa Zitto kwenda kwa baadhi ya vigogo wa ngazi ya juu serikalini, TISS na Rostam, watu hao wawili wamekuwa wakijadiliana mambo kadhaa.
Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakijadiliwa na viongozi hao, yanahusu CHADEMA, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na taifa kwa ujumla.
Rostam ambaye CHADEMA imekuwa ikimtuhumu kuhusika katika kashfa mbalimbali za ufisadi, ni mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya CCM.
Gazeti hili limeshindwa kujua mapenzi ya Rostam kwa CHADEMA hadi kujipa jukumu la kujadiliana na Zitto juu ya "uhai bora" wa chama hicho.
Kwa mfano, Zitto na Rostam walifanya mawasiliano ya simu mara tano hapo tarehe 11 Agosti 2010. Simu iliyotumika katika mawasilino hayo, ni Na. +255756809535 ambayo hutumiwa na Zitto na +255754555555 ambayo hutumiwa na Rostam.
Mawasiliano hayo yalifanyika saa 07:08:35, saa 22:09:02, saa 22: 28: 39, saa 22:49:54, saa 22:44:37 na saa 22:45:09.
Wakati mawasiliano hayo yanafanyika simu ya Zitto ilikuwa inasomeka kuwa yuko Uzunguni, Dodoma, huku simu ya Rostam ikisomeka kuwa ilikuwa Area D, Dodoma.
Mawasiliano mengine yalikuwa katika maeneo tofauti. Mathalani mawasiliano ya Zitto na Rostam yalyofanyika 30 Novemba 2010 yalionyesha kuwa Zitto yuko Ohio, Ilala, Dar es Salaam. Yalifanyika saa 14:58:42, saa :16:41:58, saa 15:38:00, saa 16:09:56 na 17:48: 35.
Mawasiliano mengine ya Zitto na Rostam yalifanyika siku mbili kabla ya wabunge wa CHADEMA hawajakutana Bagamoyo.
Mawasiliano hayo yalifanyika tarehe 7 Desemba 2010 saa 07: 57:27, saa 14:32:08, saa 09:44:36 na saa 14:07:07.
Haijaweza kufahamika pia kiini cha mawasiliano kati ya Zitto, Zoka, Rostam na vigogo wengine wa serikali, CCM na usalama wa taifa.
Kwa mujibu wa mtoa taarifa wetu kutoka ndani ya kikao cha CHADEMA, awali mama Zitto alieleza masikitiko yake kuhusiana na taarifa mbalimbali zinazomhusu mwanawe.
"Najua mwanangu ni mkorofi. Lakini kuna njia ya kufanya kuliko kukitia chama msukosuko…Kila mara Zitto, Zitto, Zitto. Haya mambo hayana faida kwa chama," alieleza.
Hata hivyo, vyanzo huru vya taarifa vimeeleza MwanaHALISI kuwa mpango uliopo ni kumtumia Zitto "kusambaratisha CHADEMA."
"Kaka, nakuhakikishia kuwa upo ushahidi wa kutosha kwamba Zitto anatumika kuvuruga CHADEMA. Kuna baadhi ya vigogo ndani ya CCM na serikali, wanaomtia ujinga kwa kumueleza, ‘kwa hali ilivyo ndani ya CCM, wapo baadhi ya watu wanatamani kuondoka. Lakini hawawezi kwenda CHADEMA kwa sababu kinaongozwa na Mbowe (Freeman Mbowe),'" ameeleza mtoa taarifa.
Anasema, "Hivyo wanampampu Zitto kugombea uenyekiti. Wanataka Mbowe ang'oke na CHADEMA kisambaratike. Ni kwa sababu, wote wanaomtumia Zitto, wanajua kuwa huyu bwana mdogo hana uwezo wa kuongoza CHADEMA na haaminiki."
Akiongea kwa kujiamini, mtoa taarifa anasema, "Ni mbinu zilezile zilizotumiwa NCCR- Mageuzi, ambapo baadhi ya vigogo wa idara ya usalama wa taifa walitumia fedha ili kumng'oa Marando (Mabere Marando), katika uongozi wa chama."
Anasema taarifa kwamba wapo watu wanataka kuondoka ndani ya CCM na kujiunga na CHADEMA ni mkakati unaosukwa kwa ustadi mkubwa na baadhi ya vigogo wa serikali kwa kushirikiana na usalama wa taifa.
Inadaiwa ni katika mkakati huo, ndimo linapatikana jina la Rostam ambaye uongozi wa juu wa chama hicho umekuwa ukimtuhumu kuhusika katika kashfa mbalimbali za ufisadi nchini.
"Unajua ndugu yangu hapa Tanganyika, Rostam angependa sana awe na uwezo wa ku-control vyama vyote vinavyokua, hasa CHADEMA kwa sasa; ingawa uwezo wake wa kupenyeza unakuwa mgumu.
"Mkakati wake ni kumweka mtu wao katika uongozi wa juu wa CHADEMA ili waweze kumuendesha. Mpango huo ukifanikiwa, kina RA (Rostam) wataacha ugomvi na CHADEMA. Kwa sasa mtu wao ni Zitto. Na kuna mambo mengi ya siri ambayo RA amekubaliana na Zitto," anaeleza mtoa taarifa mmoja ambaye yuko karibu na Rostam na Zitto.
Mjadala juu ya mwenendo wa mashaka wa maisha ya kisiasa ya Zitto, uliibuka baada ya katibu wa wabunge wa CHADEMA, John Mnyika kuwasilisha taarifa ya shughuli za kamati hiyo mbele ya Kamati Kuu.
Kikubwa kilichojadiliwa ni hatua ya Zitto kuongoza kikundi cha baadhi ya wabunge kusaliti maamuzi halali ya kamati ya wabunge wa chama hicho.
Zitto anatuhumiwa na wabunge wenzake kutotii agizo la kutoka nje wakati Rais Jakaya Kikwete anahutubia Bunge, 18 Novemba 2010.
Katika taarifa yake kwa CC, Mnyika alisema katika kushughulikia suala hilo, hakukuwa na lolote la kuviziana kama ambavyo baadhi ya wajumbe wamedai.
"Hakuna kanuni iliyovunjwa, wala hakuna kinachoitwa kuviziana. Wabunge walikuwa na hasira sana juu ya hatua ya Zitto na wenzake kutotii agizo la kamati na kupita katika vyombo vya habari kupotosha ukweli," alisema Mnyika kwa sauti ya upole.
Akiongea kwa sauti ya kusisitiza, Mnyika alisema, "Mheshimiwa mwenyekiti, kwa kweli, wabunge walitaka hata kuwapiga wabunge walioasi makubaliano yao. Uongozi wa Kambi ukafanya juhudi kulipeleka mbele suala hili, angalau kupunguza munkari wa wabunge," alieleza.
Ni katika kikao hicho cha wabunge kilichofanyika Bagamoyo, ndipo wabunge walipiga kura ya kutokuwa na imani na Zitto.
Kile kilichoitwa, "kuviziana" kiliibuliwa ndani ya kikao cha CC na Dk. Kitila Mkumbo, ambaye amenukuliwa akisema ameshutushwa na hatua ya wabunge kumhukumu Zitto wakati ni mgonjwa.
Alikuwa ni Benson Kigaila, mjumbe wa CC aliyeeleza viongozi wenzake umuhimu wa kujenga chama imara badala ya kuangalia mtu.
"Mtu aliyekosea, lazima aadhibiwe. Tusiangaliea kama ataanguka, au atanufaika. Kwa muda mrefu, chama hiki kimenufaika kwa makosa ya CCM, ambapo kutokana na makundi yanayokinzana, wameendelea kukumbatia maovu. Ni lazima chama kichukue hatua za kukabiliana na magenge haya," alieleza.
Mjumbe mwingine wa CC aliyeongea kwa sharti la kutotajwa gazetini, ameliambia gazeti hili, "Yale mambo yalikuja kama taarifa, si vingenevyo. Jukumu sasa, liko kwa Zitto mwenyewe kujipima kama anaweza kuongoza watu ambao hawana imani naye."
Baada ya kupeleka taarifa hiyo CC, wabunge wameeleza, "…Tunapeleka maamuzi yetu haya kwa Zitto. Anatakiwa kuamua ama kuachia ngazi au kusubiri hatua nyingine zinazofaa kuchukuliwa kwa mtu kama yeye katika kikao chetu kingine."
Mara baada ya mjadala wa Zitto kwa CC kutoingilia maamuzi ya Kamati ya wabunge wake, ndipo uamuzi wa kuunda kamati ndogo ya "kumpa ushauri" Zitto ilipoundwa.
Kamati hiyo inaongozwa na Profesa Mwesiga Baregu.Wajumbe wake ni Nyangali Shilungushela, SylivesterMasinde na Mama Zitto.
Kazi ya kamati ya Baregu ni kufuatilia nyendo za Zitto, kumshauri jinsi ya kujibadilisha ili hatimaye arejee katika njia iliyonyooka

Huku ni kuleta propaganda kwenye masuala ya maendeleo ya nchi. Ni upumbavu kila wakati kufikiria kwamba kila uamuzi unalenga uchaguzi wa mwaka 2015. Inaonyesha kuna watu wanaweweseka na uchaguzi wa mwaka 2015 na kudhani kwamba kila mtu akili yake ni huko huko. Ni upumbavu kwa sababu haiwezekani kila mradi wa maendeleo unaofikiriwa basi kuna watu wanataka ulaji. Kuna watu tunaendeshwa na fikra za kutenda na kupata matokeo ya kutenda. Haiwezekani tuwe watu wa kuzungumza tu kila siku.

I have no connection whatsover with RA na EL kwenye Urais au mpango wowote wa kisiasa. I say this loud and clear. I am not supporting anybody. I, myself, am ambitious. Siwezi kuingia kwenye miradi ya watu kutaka Urais kwani wote mnaowataja na kuwaunga mkono au kuwapinga naona hawana uwezo wa kuongoza Taifa hili.

Usinifanyie propaganda za kijinga. Ninafanya kazi yangu kwa mujibu wa kanuni za Bunge. Sasa kama unataka niwe mwenyekiti posho, kukaa bila kutoa masuluhisho ya maendeleo ya nchi, go and hang yourself. I am not like that. I am action oriented. Call me arrogant or whatever the names, i am different. Mark my words! Acha propaganda kwenye maendeleo ya nchi.

NSSF
Sitafuti support ya mtu yeyote yule. Hoja za NSSF kukabidhiwa Kiwira nimeziweka wazi. Wala sijajificha kama wewe unavyotumia pen name hapa kwa unafiki wako. NSSF wameikopesha sana TANESCO. NSSF wana haki ya kuwekeza kwenye jambo lolote litakaloleta faida kwa mfuko. Hoja zako za kitoto eti why not TANESCO. Mbona Ngaka na Mchuchuma watakaozalisha umeme ni NDC? Nao tuwatoe tuwape TANESCO? Hayo ni mawazo mgando. It is stupidity to stay out there and wait for people to come with solutions and start criticising the solutions. It is even more stupid to link every initiative in Tanzania with Rostam Aziz! Who is Rostam Aziz anyway to be linked to everything. This is cheap propaganda. Yeye amekuwa Pweza anajitandaza kila mahala?

Tuogope kufanya maamuzi kwa kuwa atahusishwa Rostam Aziz? Acha upuuzi.

Kwamba Caspian watapewa tender ya kuchimba makaa. Huu ni upuuzi tu ili kujenga chuki na fikra hasi za initiative ya kuhakikisha Kiwira inafufuliwa. I dont care nani atachimba makaa pale. What i care ni kuona Kiwira inafufuka, makaa yanachimbwa na umeme unazalishwa. Hizi mbinu za kuhusisha makampuni yanayomilikiwa na watu wenye mawaa ya ufisadi na miradi ili ikwame ni mbinu za kitoto, za kijinga na za kipuuzi.

Hizi ni propaganda za kishenzi kabisa!

On my agenda - moja mchuchuma na Liganga miradi ianze. Mbili, Ngaka coal fields mradi uanze. Tatu, Kiwira ifufuliwe. Nitahakikisha kwa kupitia kamati yangu tunawezesha NDC na NSSF wanatekeleza miradi hii na kuliondoa taifa kwenye tatizo la umeme katika muda wa kati.

I dont care about the next election. I do about the next generation.

Endelea kumwaga sumu zako. Sibabaiki. I do the right thing and inshaallaah i will succeed for the benefit of my country!

I am not sure if really this has come from our Zitto.
This is not how leaders responds to issues, leadership.....

Kama kweli wewe ni Zitto, basi haya mambo na uvumi wa kubadilika kwa mienendo yako itakuwa kweli...

YOU HAVE DISAPPOINTED ME.
 
Zitto,

Mimi si mpenzi wa Chadema ki-chama, lakini sito sita kumpa pongezi mwana CHADEMA yeyote au mwanachama wa chama kingine chochote mwenye "positive thinking" kama hii.

Nakupa pongezi sana kwa haya uliyoyaeleza, ni wazi ni kweli na "to the point". I wish kuwa wote tungekuwa "positive" na bila kuwa "biased" tukiongelea na kutimiza manufaa ya nchi yetu.

Ahsante Zitto, nakumbuka uliposema mitambo ya Dowans inunuliwe, hakuna aliyekuelewa, sasa wanayaona.
 
Mh. Zitto

Samahani sana Punguza jazba kiongozi jaribu kupokea changamoto na uzipatie majawabu sio kutoa matusi kama mtu wa kijiweni

Mimi ni supporter mkubwa wa cdm tokea ulipoanza alakati zako, lakini mpaka sasa sikuamini tena maana umekuwa ndumilakuwili mara huku mara huku.

About NEXT GENERATION
Mh Zitto sijui kama haya maneno yametoka mdomoni mwako, did you real feel TAnzania Generation? kwanini ZITTO wa sasa sio ZITTO wa ZAMANI? KIPI KIMEKUBADILISHA?

Connection with RA and LW

Mbona hukijitokeza kupinga haya, naweza kusema niliamini makala ya hili gazeti kwa 40% lakini matendo yako ndo yananipa muelekeo wako mpaka sasa

Hata kama, Jee, Mbunge kuwasialina na Mbunge mwenzake wa chama chochote kile ni dhambi?
 
You still dont get it dude. Who is Rostam after all and what hole did he crawl out of ? Our war is not with Rostam but with the system, the system that lets filthy rats like Rostam roam our streets with impunity plundering everything that crosses their path. Our war is with sycophants and traitors the type of Selemani and Majimshindo, who would rather look the other way as their masters tear and destroy the fabrics that hold us together as one country.

The bottom line is that as long as Tanzania remains a haven for thieves, drug traffickers, con men and what have you, we are dead though we continue to live !

Do not forget the envious ones, who never think of way forward rather than being stagnant in their minds as well as corrupting the minds of many to think that all who prosper are thugs, thieves, drug dealers an so on and so forth. If you could not prosper because you could not identify the vast legal opportunities which are in-front of you, do not be envious of the others who could, learn and be positive in your way of thinking.

[FONT=georgia, bookman old style, palatino linotype, book antiqua, palatino, trebuchet ms, helvetica, garamond, sans-serif, arial, verdana, avante garde, century gothic, comic sans ms, times, times new roman, serif]The envious die not once, but as oft as the envied win applause. ~Baltasar Gracian[/FONT]
 
I am not sure if really this has come from our Zitto.
This is not how leaders responds to issues, leadership.....

Kama kweli wewe ni Zitto, basi haya mambo na uvumi wa kubadilika kwa mienendo yako itakuwa kweli...

YOU HAVE DISAPPOINTED ME.

Ndio hao wenye "envy". Hivi kwa nini hamuwi "positive", Zitto yuko pale kwa manufaa ya wa Tanzania, na kisha sema anafanya kazi zake kwa kufata kanuni na sheria za Bunge. Nini alicho ku-"disappoint"?
 
Nimesoma maneno ya Zito na Nimekuwa nafuatilia mara zote mawazo na fikra za Wabunge wetu wengi naona kuna tatizo kubwa katika kada ya Uongozi Tanzania.

Hivi kwanini Bunge linataka kutawala kazi za Serikali na Mashirika ya Umma? Hawa wabunge wetu wenye taama ya pepo dunia watatufisha wapi? kama Serikali haina mipango yake ya maendeleo na pia Maamuzi yake katika utekeleza wowote.

Bunge ni Policy Makers, sasa Zitto anachanganyikiwa nini? hivi kufuatilia nani afanye nini na nini kifanyike ndani ya Serikali inakuwaje kazi ya Bunge?!!, Maajabu kweli kweli! Eti Mbunge anataja nani atapewa nini katika mradi gani? hivi Serikali haina Taratibu za kufuaata katika kupata wawekezaji mpaka inafikia Mbunge anadiriki kusema nitahakikisha NSSF inapata Mradi fulani? Taratibu zitakuwa wapi? Is this not Biasing in the procedures? is there no any Procurement Procedure to be followed? why Zito is saying he will make sure NSSF is succeeding? is that not part of implementation which Bunge couldn't be involved at all?

Hivi tunaelekea wapi jamani na Wabunge wetu vilazi na wakwasi kiasi hiki?, Serikali inataratibu zake za kupata wawekezaji na kuchagua Bidders katika miradi na hii kazi ni nje ya Policy makers, kwanini wabunge wanataka kuingilia kazi ambayo siyo zao?

Kuna tatizo katika mipaka ya kazi kati ya Bunge na Serikali, Bunge linaingilia Serikali hadi chumbani! hii haikubaliki hata kidogo. Nani atawajibisha mwingine ikitokea makosa baadaye? baadaye Taratibu za zabuni na uendeshaji ukiingi sisimizi nani anaiwajibisha serikali katika mradi ambao Bunge ndio wanatafuta mwekezaji? Mhe. Zitto hayo mawazo yako si sahihi hata kidogo na haya kubaliki serikali inataratibu zake za kufuata wabunge msiziingilie, mkisha tunga sheria na kuhusu kupitisha taratibui za uendeshaji msitake kuwa watendaji, hiyo siyo kazi yenu, Mnataka kushiriki katika mambo ya utekeleza wa mipango ya Serikali huo sio utaratibu, hamuwezi kuwa vigeugeu kiasi hicho?!

Hii ni Tamaa ya utajiri, tena nashangaa sijui UWT wapo wapi? maana hawa watu karibia wote sio watanzania ndio wanatuvuruga hapa, Haikubaliki huwezi kufikia hatua ya kuchagulia Serikali nani apewe kazi gani hapo kuna Sheria tena jamani?!
 
Kwanza unaelewa nini kuhusu IPP in Tanzania au Independent Power Producer ? Kisheria NSSF kama IPTL na Songas sheria inawaruhusi ku zalisha umeme ila TANESCO bado wana monopoly ya distribution

inanekana umeamua ku bwa bwaja bila kuleta ushahidi wowote ule waka kufanya utafiti wowote ule

wapi Capian wamesign mkataba na NSSF au Tanesco?

You cant even think!?
Tatzo la umeme litaendelea endapo hatutaliberalise soko la umeme. Ni wazi monopoly ya distribution ndipo wanapopataka akina Dowans , IPPTL paendelee iliwao wale kwa kuyonza toka TANESCO. Nchi za ulaya, nyingi, zimemaliza ukiritimba huu kwa kuruhusu anayezalisha auze umeme wake moja kwa moja kwa wateja. Analipia kutumia distribution infrastructure na billing ikowazi. TANESCO waendelee kumanage network endapo hawataki kuivunja TANESCO vipande, wanunue umeme toka kwa wengine, kama ilivyo interbank loans, pale wanapozidiwa na mahitaji ya wateja. Tukifanya hivyo kelel yote ya Dowans and company itakwisha . Pengine hata hao wawekezaji watpeli watayeyuka.
 
Huku ni kuleta propaganda kwenye masuala ya maendeleo ya nchi. Ni upumbavu kila wakati kufikiria kwamba kila uamuzi unalenga uchaguzi wa mwaka 2015. Inaonyesha kuna watu wanaweweseka na uchaguzi wa mwaka 2015 na kudhani kwamba kila mtu akili yake ni huko huko. Ni upumbavu kwa sababu haiwezekani kila mradi wa maendeleo unaofikiriwa basi kuna watu wanataka ulaji. Kuna watu tunaendeshwa na fikra za kutenda na kupata matokeo ya kutenda. Haiwezekani tuwe watu wa kuzungumza tu kila siku.

I have no connection whatsover with RA na EL kwenye Urais au mpango wowote wa kisiasa. I say this loud and clear. I am not supporting anybody. I, myself, am ambitious. Siwezi kuingia kwenye miradi ya watu kutaka Urais kwani wote mnaowataja na kuwaunga mkono au kuwapinga naona hawana uwezo wa kuongoza Taifa hili.

Usinifanyie propaganda za kijinga. Ninafanya kazi yangu kwa mujibu wa kanuni za Bunge. Sasa kama unataka niwe mwenyekiti posho, kukaa bila kutoa masuluhisho ya maendeleo ya nchi, go and hang yourself. I am not like that. I am action oriented. Call me arrogant or whatever the names, i am different. Mark my words! Acha propaganda kwenye maendeleo ya nchi.

NSSF
Sitafuti support ya mtu yeyote yule. Hoja za NSSF kukabidhiwa Kiwira nimeziweka wazi. Wala sijajificha kama wewe unavyotumia pen name hapa kwa unafiki wako. NSSF wameikopesha sana TANESCO. NSSF wana haki ya kuwekeza kwenye jambo lolote litakaloleta faida kwa mfuko. Hoja zako za kitoto eti why not TANESCO. Mbona Ngaka na Mchuchuma watakaozalisha umeme ni NDC? Nao tuwatoe tuwape TANESCO? Hayo ni mawazo mgando. It is stupidity to stay out there and wait for people to come with solutions and start criticising the solutions. It is even more stupid to link every initiative in Tanzania with Rostam Aziz! Who is Rostam Aziz anyway to be linked to everything. This is cheap propaganda. Yeye amekuwa Pweza anajitandaza kila mahala?

Tuogope kufanya maamuzi kwa kuwa atahusishwa Rostam Aziz? Acha upuuzi.

Kwamba Caspian watapewa tender ya kuchimba makaa. Huu ni upuuzi tu ili kujenga chuki na fikra hasi za initiative ya kuhakikisha Kiwira inafufuliwa. I dont care nani atachimba makaa pale. What i care ni kuona Kiwira inafufuka, makaa yanachimbwa na umeme unazalishwa. Hizi mbinu za kuhusisha makampuni yanayomilikiwa na watu wenye mawaa ya ufisadi na miradi ili ikwame ni mbinu za kitoto, za kijinga na za kipuuzi.

Hizi ni propaganda za kishenzi kabisa!

On my agenda - moja mchuchuma na Liganga miradi ianze. Mbili, Ngaka coal fields mradi uanze. Tatu, Kiwira ifufuliwe. Nitahakikisha kwa kupitia kamati yangu tunawezesha NDC na NSSF wanatekeleza miradi hii na kuliondoa taifa kwenye tatizo la umeme katika muda wa kati.

I dont care about the next election. I do about the next generation.

Endelea kumwaga sumu zako. Sibabaiki. I do the right thing and inshaallaah i will succeed for the benefit of my country!

Zitto,

Hao NSSF unaowapigia debe kila siku kwamba lazima wapewe mgodi wa kiwira hawana uwezo wowote wa kuzalisha umeme.

Kwanza hawana wataalamu wa mambo ya uzalishaji umeme, kwahiyo sio rahisi kiasi hicho kwamba wao watakuwa mwarobaini wa matatizo ya umeme Tanzania.

Lakini pia nikukumbushe kwamba NSSF hawana mradi wowote wa maana nchi hii ambao wameutekeleza na ukaleta tija kwa watanzania, zaidi sana wameishia kuchezea fedha zetu wanachama na kuishia kugawana mamilioni kwa kukopesha makampuni,mashirika mbalimbali pamoja watu binafsi ambao hawajarudisha hata senti moja kwahiyo NSSF kuishia kuhangaika mahakamani. Hii inaonyesha kuwa hawana uwezo na hawako makini.

Zitto huwezi kuwadanganya watanzania kwamba hauna uhusiano wowote na akina RA, mara ngapi habari zako na hao mafisadi zimewekwa hadharani na wewe hukuthubutu kujitokeza kukanusha?unadhani kweli ndani ya nchi hii unaweza kufanya jambo lisijulikane? kama wewe uliweza kujua kwamba karamagi amesaini mkataba wa mgodi wa buzwagi hotelini london unadhani wengine hawawezi kujua kwamba ulikutana ama unawasiliana kwa karibu na hao mafisadi hata kama unakuwa nje ya nchi??

Bottom line ni kwamba, watanzania hawako tayari kudanganywa na hizo ngonjera zenu za kutaka kuchezea fedha za umma kwa kisingizio cha kutafuta suluhu ya matatizo ya umeme ilihali tunajua kwamba hao mnaowabeba mgongoni kwamba wapewe mgodi wa kiwira na kuzalisha umeme hawana uwezo huo na hawajawahi kufanikisha uwekezaji wowote hapa nchini ili kuwa mfano wa uwezo wao wa kuwekeza.NSSF haina wataalam kama TANESCO kwahiyo haiwezi kutusaidia kuondoa tatizo la umeme, muhimu ni nyie wanasiasa kuacha kuingilia utendaji wa tanesco ili ifanye kazi zake kwa uhuru na kwa ufanisi.
 
Naona hoja ya msingi ya hii topic ilikua ni CTI na mitambo ya Dowans. Sasa ama kwa makusudi ama kwa bahati mbaya, watu wametoka katika mada na kuanza hoja ya Zitto. Nadhani hatuitendei haki hii hoja hata kidogo maana ina maslahi kwa Taifa, na kwa wote wanaojadili inawagusa ama +ve ama -ve, lakini sasa mjadala umehamia kumshambulia Zitto. Kwa wote nadhani ni wakati mwafaka wa kurudi kwenye hoja na mwenye hoja kuhusu mambo mengine aanzishe thread yake kama anaona ina maslahi kwa umma na kama ni kushambulia watu binafsi, nadhani JF si mahala pake hata kidogo. Mashambulizi dhidi ya watu binafsi ambayo hufanywa na wachangiaji wa kawaida wengi wakiwa wageni ama wamejigenisha kwa malengo maalumu, kwa kuwa wana JF makini (wa dhati) huwa hawashambulii watu, bali hujenga hoja na kuweka ushahidi na wanapokosea hujisahihisha na kuomba radhi ama kuondoa hoja potofu. JF si mahala pa kushambuliana ama kutumia maneno ya kuudhi, ni mahala pa watu wastaarabu na wengi tumeipenda na kuithamini kama kisima cha kuchota mambo mengi ya msingi na kupata mahusiano mema ya kujenga nchi yetu, JF ni hazina ya kujenga udugu na mapambano ya dhati dhidi ya maadui wakubwa wa nchi yetu ikiwamo umasikini, ujinga, maradhi, vyote vikiwa vinaguswa kwa kiasi kikubwa na ufisadi unaobebwa na ubinafsi wa watawala na maswahiba zao. JF imekuwa kimbilio la wanyonge waliokosa pa kusemea. Wanyonge ni pamoja na wale wenye uwezo wa mkubwa lakini wakanyimwa uhuru na nafasi ya kusema wanachotaka kusema na hata wale wanyonge wasio na kitu wanaokosa pa kusemea lakini wanaweza angalao kuingia katika intanenti kefu na kuandika wanachoweza. Wamo wafanyakazi wanaoonewa na kukosa pa kusemea kutokana na kubinywa kwa uhuru kunakofanywa na fedha za rushwa, wako wanyonge wengine wanaokosa pa kusema kutokana na nguvu za kisiasa za wanaotaka kuwasema, wote wamepewa nafasi JF, sasa jamani chonde chonde tusiipoteze nafasi hii adhimu ndani a JF kwa kuichafua na kuifanya ionekana ni jukwaa la kutupiana maneno yasiyo na ushahidi na hata tunapijibizana tutumie maneno ya staha kidogo kw akuwa na tafida. Nimeandika haya kwa uchungu na hisia kali maana kuna nia ya makusudi ya watu kuichafua JF na wana JF bila kujua hata huyo anayechafua JF naye ana haki ya kuwa JF, bila kujua hata anayejifanya anichukia JF ni sehemu ya JF na ana haki ya kuitumia yeye na watu wake bila ubaguzi wowote (mod watanisahihisha). Naamini JF si kama magazeti wala redio, ni jukwaa huru ambalo linaruhusu mijadala huru na ya wazi.

Kuhusu Mradi wa Mchuchuma, Liganga, Kiwira/Kabulo, ni miradi ambayo inahitaji umakini wa hali ya juu na uwekezaji wa sasa ambao umekua wa uwazi, hauna budi kujadiliwa kwa umakini bila jazba, maana uwekezaji wa mwanzo kupitia Tanpower (Kiwira) na MM Steels (Mchuchuma/Liganga) uligubikwa na wingu la ufisadi uliosukumwa na wanasiasa na ulikwenda kwa usiri mkubwa. Sitaki kuamini kwamba waathirika wa uwekezaji wa mwanzo hawahusiki katika hii vita ya sasa ya kuzuia uwekezaji mpya. Tujadili bila jazba na kwa hoja na hili litasaidia sana kupata uwekezaji makini na itasaidia pia kuchukua hatua ikiwa kuna ushahidi wa ufisadi ama uhujumu. Jamani tuangalie TAIFA KWANZA na ubinafsi baadae.
 
Huku ni kuleta propaganda kwenye masuala ya maendeleo ya nchi. Ni upumbavu kila wakati kufikiria kwamba kila uamuzi unalenga uchaguzi wa mwaka 2015. Inaonyesha kuna watu wanaweweseka na uchaguzi wa mwaka 2015 na kudhani kwamba kila mtu akili yake ni huko huko. Ni upumbavu kwa sababu haiwezekani kila mradi wa maendeleo unaofikiriwa basi kuna watu wanataka ulaji. Kuna watu tunaendeshwa na fikra za kutenda na kupata matokeo ya kutenda. Haiwezekani tuwe watu wa kuzungumza tu kila siku.

I have no connection whatsover with RA na EL kwenye Urais au mpango wowote wa kisiasa. I say this loud and clear. I am not supporting anybody. I, myself, am ambitious. Siwezi kuingia kwenye miradi ya watu kutaka Urais kwani wote mnaowataja na kuwaunga mkono au kuwapinga naona hawana uwezo wa kuongoza Taifa hili.

Usinifanyie propaganda za kijinga. Ninafanya kazi yangu kwa mujibu wa kanuni za Bunge. Sasa kama unataka niwe mwenyekiti posho, kukaa bila kutoa masuluhisho ya maendeleo ya nchi, go and hang yourself. I am not like that. I am action oriented. Call me arrogant or whatever the names, i am different. Mark my words! Acha propaganda kwenye maendeleo ya nchi.

NSSF
Sitafuti support ya mtu yeyote yule
. Hoja za NSSF kukabidhiwa Kiwira nimeziweka wazi. Wala sijajificha kama wewe unavyotumia pen name hapa kwa unafiki wako. NSSF wameikopesha sana TANESCO. NSSF wana haki ya kuwekeza kwenye jambo lolote litakaloleta faida kwa mfuko. Hoja zako za kitoto eti why not TANESCO. Mbona Ngaka na Mchuchuma watakaozalisha umeme ni NDC? Nao tuwatoe tuwape TANESCO? Hayo ni mawazo mgando. It is stupidity to stay out there and wait for people to come with solutions and start criticising the solutions. It is even more stupid to link every initiative in Tanzania with Rostam Aziz! Who is Rostam Aziz anyway to be linked to everything. This is cheap propaganda. Yeye amekuwa Pweza anajitandaza kila mahala?

Tuogope kufanya maamuzi kwa kuwa atahusishwa Rostam Aziz? Acha upuuzi.

Kwamba Caspian watapewa tender ya kuchimba makaa. Huu ni upuuzi tu ili kujenga chuki na fikra hasi za initiative ya kuhakikisha Kiwira inafufuliwa. I dont care nani atachimba makaa pale. What i care ni kuona Kiwira inafufuka, makaa yanachimbwa na umeme unazalishwa. Hizi mbinu za kuhusisha makampuni yanayomilikiwa na watu wenye mawaa ya ufisadi na miradi ili ikwame ni mbinu za kitoto, za kijinga na za kipuuzi.

Hizi ni propaganda za kishenzi kabisa!

On my agenda - moja mchuchuma na Liganga miradi ianze. Mbili, Ngaka coal fields mradi uanze. Tatu, Kiwira ifufuliwe. Nitahakikisha kwa kupitia kamati yangu tunawezesha NDC na NSSF wanatekeleza miradi hii na kuliondoa taifa kwenye tatizo la umeme katika muda wa kati.

I dont care about the next election. I do about the next generation.

Endelea kumwaga sumu zako. Sibabaiki. I do the right thing and inshaallaah i will succeed for the benefit of my country!

Kama hajanunuliliwa siwezi kuamini; Mbunge yeyote halipaswa kufikiria kufufua miradi husika siyo mpaka kufikia nani apewe mradi upi, nani apewe ni kazi ya Sheria ya Taratibu tulizojiwekea! hii ni hatari sana kama hawa ndio Wabunge wetu.

Kama hujali nani atachimba makaa mbona unajali nani apewe mradi huo? kuna tofauti gani hapo?!

Kesho ataibuka M/kiti kamati ya Miundombinu; nitahakikisha kupitia kamati yangu Mradi wa barabara ya Nangurukuru - Mingoyo wanapewa M/s CHADRY Co. Ltd, sibabaiki, I do the right thing and Bwana yesu asifiwe sana I will success.

Alafu ni hili neno "kamati yangu", "Wizara yangu" nilikuwa sitegemei kulisikia midomoni mwa watu walioelimika na kuelewa maana ya Utawala Bora! Siku zote uwa nawadharau sana viongozi wenye dhana hii.

Kesho kutwa wa Usalama, duh Tumekwisha safari hii, maana huyo wa Usalama nasikia, sitaki kuamini kuwa ni Lowasa!
 
Back
Top Bottom