Inaonekana Crypto kwako ni kama umepigwa na likitu kizito kichwani...We ni mpigaji kama umewekeza hiyo kampuni ulowekeza huitaji ni ipi na nchi gani hili tuichunguze kama ni sahihi Weka mambo hadhalani usikalie inalipa onyesha na hizo payment zako kwa kwa kuattach hapa,maana ushalipwa sio?? Nyie watu jamani.Ya MO Dewji waloitangaza mtandao bado ina trend,watu wako makini na fedha zao.Tutamkumbuka.Ushenzi unarudi.
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Unafikiri hawa watu wanaelewaga hili sijui huwa wapoje tu..😂Buy lower sell high, ndo wakati mzuri wa kununua sasa inavyoshuka
Pump and dump kama kawaida...acha wenye hela wendelee kula hela. Same as with crypto ya dogecoin, squid game na meme coins nyingine nyingi.Ile coin iliyojizoelea umaarufu kwenye Crypto currency nakununuliwa kwa wingi kwa matarajio ya kutajirisha watu inazidi kushuka Kwa kasi.
Shiba Inu inaendelea tu kushuka na kuleta taharuki, huzuni na kukata tamaa. Wengi hawaanini na kujuta kwanini waliwekeza na wengi wanafanya kutoka hela yao hata KWA hasara.
Wachumi walitabiri ikifika November Shiba itapanda Hadi one cent$. Kuna member humu majuzi alileta uzi akiomba ushaur jinsi ya kununua Shiba Inu. Pia kuna Latvia alidai kanunua 110 m Shiba coins.
Hadi navyoandika huu uzi Shiba inazidi kushuka. Je wadau tusikate tamaa unaweza ikapanda? Wengine wanashaur ni vizur kuinunua Sasa hivi ilivyoshuka.
Wanadai Shiba Inu ilianzishwa kuiangusha Doge coin na sasa ni zamu yake kuanguka. Sasa coin ya Elon ndio mpango mzima.
Gushleviv mud-oil-chafu Greg50
Nainunuaje?View attachment 2022845
Mpango nzima ni Sand Coin
Nainunuaje?
Ile coin iliyojizoelea umaarufu kwenye Crypto currency nakununuliwa kwa wingi kwa matarajio ya kutajirisha watu inazidi kushuka Kwa kasi.