Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Status
Not open for further replies.
Graph ilipanda sana weekend iliyopita kwasababu kwa mara ya kwanza wali run ads poocoin. Investors wapya wakaipaisha mpaka ikafika $0.18 kutoka $0.01. Baadhi wakachukua profit ila $0.037 imekuwa ni support level.
Kwa jinsi ile graph nilivyoicheki, trust me, ONLY few players ndo walikuwa wana-influence the trend. Hawa wanaweza kuwa Whales au Developers. The problem nimeshindwa kupata BSScan Data, na kwahiyo can be anything kwa trend ninayoiona.

Muhimu ni kwamba, kama Developer wapo serious, project itakuwa mzuri sana kwa Investors lakini amini usiamini, kwa jinsi ninavyoona bado pale itaendelea kushuka hadi natural market force itakavyoanza kufanya kazi.
Ndiyo hivyo, marketcap yake bado ndogo sana na inaweza kupaa haraka. Hii bado hawajaifanyia marketing ya kutosha, ikiwekwa kwenye exchange kubwa kiasi kama hotbit au bitmart, ni rahisi sana kuongenzeka hata mara 1000.
Hii nakubaliana na wewe... na sio tu Market Cap bali Circulating Supply. Kwa sababu MC inaweza kuwa ndogo lakini CS ikawa kubwa ile mbaya. Hapo kubutua ndani ya muda mfupi inakuwa ngumu unless itokee miujiza ya Shiba!
Katika crypto mpya nilizonunua mwezi uliopita hii pekee ndo imenipa faida ya zaidi ya 10X. Nyingine zote ni hasara, baadhi nimekuwa rugged kabisa.
 
Kwa jinsi ile graph nilivyoicheki, trust me, ONLY few players ndo walikuwa wana-influence the trend. Hawa wanaweza kuwa Whales au Developers.
Bado mpya sana ina holders 162 hivyo mtu akiweka au akitoa $1000 hivi inabadilika sana.
The problem nimeshindwa kupata BSScan Data, na kwahiyo can be anything kwa trend ninayoiona.
Muhimu ni kwamba, kama Developer wapo serious, project itakuwa mzuri sana kwa Investors lakini amini usiamini, kwa jinsi ninavyoona bado pale itaendelea kushuka hadi natural market force itakavyoanza kufanya kazi.
Founder yuko very active telegram. Alikuwa na mpango wa kufanya marketing zaidi ili kupata investors
Hii nakubaliana na wewe... na sio tu Market Cap bali Circulating Supply. Kwa sababu MC inaweza kuwa ndogo lakini CS ikawa kubwa ile mbaya. Hapo kubutua ndani ya muda mfupi inakuwa ngumu unless itokee miujiza ya Shiba!
Kila kitu kinawezekana, angalia hata Saitama, wale waliowekeza $100 June 2021 walitengeneza $1,000,000 November 2021.
Iangalie token analysis ya hii CIRA hapa;
 
Uliza tuu, usiwe na wasi. Kuna mmoja aliuliza nakampa muhustasari kwenye bandiko #155
Inshort nipo zero kabisa kuhusu hii secta ya crypto isipokuwa huwa nasikia tu na huwa natakaga sana kujifunza ikiwepo kuwekeza ktk hizi mambo itapendeza kama utanipa mwongozo wap nianzie hatua kwa hatua
Natanguliza shukran mkuu
 
Njia rahisi na haraka ya kujifunza ni kwa vitendo, katika hiyo post ya 155, nimeonesha hatua za kuchukua kuanza kufanya trading za crypto.

1. Jiunge binance.com (wanayo app unaweza kudownload playstore)
2. Kama uko Tz uliza watu hapa jinsi ya kununua BNB (hii ni coin ya binance) kwa kutumia simu.
3.Download trust wallet app kwenye simu yako.
4. Hamisha BNB zako kutoka binance.com kwenda kwenye trust wallet.
5. Kwenye trust wallet jifunze kutumia pancakeswap ili uweze kufanya trading.

Anza na hizi hatua, kama kunatatizo uliza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom