Wewe mpaka ntakumiliki 😁😀Nakutumia control namba, hisa 20 tu za NMB zinanitosha dr 😹
Anza kunikatia bima kabla ya kunimiliki. 😹Wewe mpaka ntakumiliki 😁😀
Bima ya nini? Ya life au NHIFAnza kunikatia bima kabla ya kunimiliki. 😹
Ukute na hapa ulijitag mwenetu.
Kacomment juu yako mbona.Ukute na hapa ulijitag mwenetu.
Aiboo.
Nilikuambia kipindi kile napost yule jamaa anajifutia spika bendera ya Chadema.Kacomment juu yako mbona.
😂😂 pls naomba. Wivu tuuweke pembeni kwanzaNamfahamu nina namba yake ila kwa wivu ulionikaba sikupi.
PoleMimi bwana nina husudu sana mwanamke mwenye upeo wa mambo, hapo awali I had one but it turns out to be a man
Join Friday tayari unanikubaliIla anayefuatia ni mtoa mada, nakukubali sana,kwahiyo nikija pm please text zangu zisikae kwenye foleni zijibiwe chap
Mimi uniambiii kitu kwa Madame BNi nani unaye crush naye hapa jukwaani? 😄
Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.
Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?
Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No
Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.
Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani 😄
Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?
ShesRise_1 🤚
Safiiii
Mimi ni mkongwe humu na huwa tuna interact sana,yani nikifanya kosa moja tu la kiufundi utanijua, nimeamua tu kuwa na back up I'dPole
Join Friday tayari unanikubali
Asante lakini🙏🙏
Ohoooo sawa mkuu hakuna tabuMimi ni mkongwe humu na huwa tuna interact sana,yani nikifanya kosa moja tu la kiufundi utanijua, nimeamua tu kuwa na back up I'd
Just curious tu coz nasikia watu wana I'd siju 10 au 20 nikaona eeh ngoja nijaribu niwe na hii mojaOhoooo sawa mkuu hakuna tabu
Sasa hilo parody umetengeza la nini 😂
Kuna ladha yoyote unaipata kwa hili fekero🙄Just curious tu coz nasikia watu wana I'd siju 10 au 20 nikaona eeh ngoja nijaribu niwe na hii moja
Uliona ukinimwagia maua kwa I'd yako utashusha brand et 😂😂Ila it's a nice experience napishana na watu ambao tuna interact everyday kimya kimya without much noise,kama wewe now hunijui hahaha,yani kama nimevaa mask vile
Unakuja halafu unakataa😎Tofauti na wengine ambao ni wengi huzitumia kwa ugomvi,matusi na ujinga mwingine mwingi, my conscience does not allow that ,I will always be me
Yap kuna ladha fulani amazing sana yaniKuna ladha yoyote unaipata kwa hili fekero🙄
Uliona ukinimwagia maua kwa I'd yako utashusha brand et 😂😂
Unakuja halafu unakataa😎
Ohooo asante mkuu nimezipokea pongezi zakoYap kuna ladha fulani amazing sana yani
Hapana sishushi brand coz huwa sitoi cheap compliment,kwahiyo kama nimekukubali basi unastahili
Nikwambie kitu, hivi ndivyo watu wa jf wanavyofanya,utawasikia siku nyingi sana sijaingia jf kumbe ndio kama hivi wanaingia halafu wanajifanya hawaingii,kama mimi now I'd yangu ambayo inajulikana imechill,waeza ona mbona huyu mwamba hayupo,kumbe nipo around nawazoom tu