ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,836
- 44,495
- Thread starter
- #981
Ngoja nikutag sehemu nione uwezo wako Utanipenda tu
Sawa nimeona umenitag,nakujaNgoja nikutag sehemu nione uwezo wako Utanipenda tu
KaribuSawa nimeona umenitag,nakuja
Wewe mtumie elaa kwanzaMimi bwana nina husudu sana mwanamke mwenye upeo wa mambo, hapo awali I had one but it turns out to be a man
Ila anayefuatia ni mtoa mada, nakukubali sana,kwahiyo nikija pm please text zangu zisikae kwenye foleni zijibiwe chap
Sitakiii hela ya mtuWewe mtumie elaa kwanza
Huyo sio ntuSitakiii hela ya mtu
Ni nani sasa huyoHuyo sio ntu
My love..if you real a woman..i will buy jf servers for youthank you
My love..if you real a woman..i will buy jf servers for you
HIi napita kama naaga maitiAchana na servers za jf ......
Nipige madini shingoni na masikioni
Babe umefutwa Yes na hata sijui shida ni niniShesRise_1 ule uzi wako mwingine umefutwa au? na kama ni yes nin shida na kama ni no mbona siuoni
duh humu ndani kunaanza kuzingua,, au kuna watu walianza kupost violenceBabe umefutwa Yes na hata sijui shida ni nini
Kwani wewe unaona una tatizo lolote ule uzi? Maana hata mimi sielewi
Sijaona violence yoyoteduh humu ndani kunaanza kuzingua,, au kuna watu walianza kupost violence
pole mwaya anzisha tenaSijaona violence yoyote
Sifanyi upuuzi huo aiseepole mwaya anzisha tena
upuuzi upiSifanyi upuuzi huo aisee
Wa kuandika uzi mwingine kama ule tena 🤣🤣upuuzi upi