Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Vipi naye alikuwa mkorofi na mtundu ka huyu? 😂😂

Joanah.
Alikuwa mkorofi haswa na mtu wa vibe sana na anapenda kujiweka Kistar na kuishi kama celebrity.

Kuna siku aliwahi kunicholoza kuniambia live eti sipo romantic, nikamwambia unataka niwe romantic kwako Mimi wewe kama nani na Mimi nimefuata masomo shuleni au unataka niwe romantic kwa kila mtu si utakuwa uchizi huo ? 😂 😆
 
Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? 😄

Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.

Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?

Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No

Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.

Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani 😄

Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?



ShesRise_1 🤚
Aisee
 
Back
Top Bottom