Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,140
- 9,430
Basi na uulize nani kaiona na nani hajaiona?🚫This message only appears to people who bath
😁😁😁,hawakawizi.Kapiga kwa mwarabu,watu wabaya
Forever.Nilijua kashapepea kama winga kisheti😅
Kaambiwa awe mpole itamletea shida🤣🤣🤣Hahahaha,atajwe mchambane na mtajaji ?
Kusikose pombe lakinForever.
Juisi ya tende na harua😁Kusikose pombe lakin
Siji , nina allergy na vitu vinakaribisha nyukiJuisi ya tende na harua😁
🤣🤣🤣 unataka kusemaje shindii?Acha janja janja shindii
Wewe chenga kama baba yako🤣Kwahiyo mie je 😔
Mimi sio fala shindii ,unatokea kwa pembeni ila nimekudaka dakuu😅🤣🤣🤣 unataka kusemaje shindii?
Vurugika tu🤣🤣🤣Daaah😁
Mnanivuruga mwenzenu🤣🤣
Sio kweli shindii🤣🤣Mimi sio fala shindii ,unatokea kwa pembeni ila nimekudaka dakuu😅
Utakuja nazo🤣🤣Siji , nina allergy na vitu vinakaribisha nyuki
Acha ulamaya🤣🤣🤣Yule joined ni 2010, huyu ni rafiki yangu.
Nimecheka kwa sautiii🤣🤣Acha ulamaya🤣🤣🤣
Kawadanganye wanaosinzia shindii 😅Sio kweli shindii🤣🤣
Nisamehewe sijui nitendaloWewe chenga kama baba yako🤣