UTAWALA WA SASA IRAN UNAMULIKWA KWA KURUNZI KALI, NA SABABU ZA IRAN KUFADHILI VURUGU MASHARIKI YA KATI
Interview na Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza Pahlavi
View: https://m.youtube.com/watch?v=Gn_glW0wGQ8
Source : Valuetainment
Crown Prince Reza Pahlavi akiangalia history ya mageuzi aliyoanzisha babu yake miaka ya 1920 na kisha baba yake mtukufu Shah Mohammad Reza Pahlavi na mageuzi hayo yakazimwa na Ayatollah Khomeini mwezi Agosti 1978 aliyeirudisha Iran katika enzi ya mawe.
Katika utawala wa miaka 37 ya mtukufu Shah Mohammad Reza Pahlavi, uchumi wa Iran ulikuwa kwa kasi kuliko chumi za mataifa makubwa ya USA, UK na mapinduzi makubwa ya kiuchumi na kijamii yalionesha Iran itakuwa Japan ya Mashariki ya Kati pia kuwa mfano wa nchi ya Mashariki ya Kati kuongoza kiviwanda, Teknolojia na elimu ya ugunduzi kama Israel, the Netherlands, USA ....
Crown Prince Reza Pahlavi anawaita viongozi ma ayatollah wa Iran ya sasa ni sawa na genge la kihalifu la mafia linalotumia kila aina ya vitisho, adhabu kwa wanaopinga utawala wa sasa wa Iran ...
Crown Prince Reza Pahlavi anaona tishio linaloikabili dunia ikiwa utawala wa sasa wa Iran unaendelea kuwepo madarakani na utakuwa ni kiini cha kusababisha vita ya tatu ya dunia itakayoanzia Mashariki ya Kati na hivyo utawala huo dhalimu na kandamizi unaounga na kufadhili ugaidi kupitia vikundi mbalimbali duniani unatakiwa kudhibitiwa na kungolewa ...
Mtukufu mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi alikuwa yupo tayarì kukubali mageuzi lakini baadhi ya watu wa vyama vya siasa badala ya kuafiki nia ya mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi, wakaamini kuwa kuhani Ayatollah Khomeini ndiye mtu sahihi wa kupewa jukumu la mabadiliko, kitu ambacho hadi leo raia wa Iran wanajutia kwani huyu mtakatifu / Saint Ayatollah Khomeini hakufanya yale waliyotarajia vyama vya kisiasa.
Mivutano ya kambi za mirengo miwili ya dunia wakati wa vita baridi / cold-war yaani mataifa ya mashariki yakiongozwa na Russia ya kikomunisti na wa magharibi unaoongozwa Marekani katika harakati za mataifa hayo makubwa kuwekeana vigingi kuzuia ushawishi wa mrengo tofauti na yao, kushinda kufanikisha itikadi za kikomunisti au kibepari .... zilivyoweza kusababisha kuangushwa kwa tawala za mashariki ya kati .....
Mfumuko wa bei ukiwa 55%, ukosefu wa kazi, watu kuuza viungo vyao kama figo kulipa madeni huku serikali ya Iran ikitumia fedha nyingi kufadhili vikundi vya kigaidi kama Hezbollah kule Lebanon, Hamas katika ukanda wa Gaza, mgambo wa kiShia Iraq n.k mamilioni ya dolari za Kimarekani huku wananchi wa Iran wakizidi kuumia kiuchumi na kijamii...
Wivu wa utawala wa sasa wa Iran kuona maendeleo makubwa ya kiuchumi na kijamii katika nchi za Dubai, Saudia, Jordan, Egypt ambao unatamaniwa na raia wa Iran waliopo chini ya utawala wa mkono wa chuma wa Iran.
Hivyo watawala wa Iran kujaribu kuzima vuguvugu la kudai mabadiliko ndani ya Iran kwa kuchochea vurugu katika nchi za Mashariki ya Kati zinazopiga kasi ya kimaendeleo kwa kuanzisha vita kwa kisingizio cha nchi hizo kuwa karibu na Israel kupitia mikataba ya Abraham accord / normalization ....

Makosa hayo Mtukufu mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi kuamini vyama vya kisiasa kuongoza mabadiliko na pia bila kuwasahau wanasiasa wa vyama nchini Iran walioona hawaliwezi jukumu la mabadiliko ni moja ya makosa makubwa yaliyowahi kutoa Iran anasema crown Prince Reza Shah mwana wa mfalme...Picha: Ayatollah Khomeini akirejea Iran mwaka 1979 toka France baada ya kuishi uhamishoni kwa miaka 14 katika nchi za Turkey, Iraq na France